Lissu, CHADEMA na wapenda Haki wote fundisheni vijana wenu

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,152
33,344
Natoa ombi kwako Lissu ,Chadema wote na wapenda Haki wote.

Kwa kipindi hiki Cha kampeni wafundisheni na wapeni elimu ya kupiga kura vijana jinsi ya kupiga kura.

Kuna vijana wapya kabisa katika upigaji wa kura,Hawa wanaweza kuharibu kura kwa jazba ama hasira zao juu ya mgombea wasiompenda.

Wana mihemko hawa Wana hasira Hawa,Wana chuki Hawa.

Hivyo wanaweza watampigia kura ya ndio Tundu Lissu halafu wakaweka X kwa mtu wasiemtaka,hivyo kasababisha kura kuharibikiwa.

Pia wanaweza kufanya vitu vya ajabu ndani ya chumba Cha kupigia kura na kasababisha kura kuharibika.

Piga kura Linda kura.
 
Back
Top Bottom