Wimbi la vijana kuachwa ghafla katika nusu ya pili ya 2020

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
66,696
172,654
Wazee kwema,

Aisee kuna haka kaupepo kabaya kanakopitia wana JF wenzangu dizaini kama tunachezea Vi ndula sana hivi karibuni.

Je, kinachochochea hii hali ni nini? Ni kwamba wadada wamekuwa na roho ngumu sana ama ni kitu gani? Reference kuna Msela wa manzese, mara C Programming hatujakaa vizuri Bilgert nae analalama wife anazingua na wengineo siwez wakumbuka. Bado upepo mbaya unazunguka katika mahusiano ya ma baharia wenzangu hivyo labda tujuzane tuchukue tahadahari zaidi.
 
Labda ndo mwisho wa ligi na msimu wa usajili
Form six leaver wanasajili
College na University graduate nao wanasajili
Wa field nao wanasajili, yani tafrani,.
Wanaangalie na position ya timu
 
Mambo ya Lissu na Magufuli yameingia kwenye baadhi ya familia.
Wazee kwema,

Aisee kuna haka kaupepo kabaya kanakopitia wana JF wenzangu dizaini kama tunachezea Vi ndula sana hivi karibuni.

Je, kinachochochea hii hali ni nini? Ni kwamba wadada wamekuwa na roho ngumu sana ama ni kitu gani? Reference kuna Msela wa manzese, mara C Programming hatujakaa vizuri Bilgert nae analalama wife anazingua na wengineo siwez wakumbuka. Bado upepo mbaya unazunguka katika mahusiano ya ma baharia wenzangu hivyo labda tujuzane tuchukue tahadahari zaidi.
 
Jamani tutafute hela, kama huna hela mtaishia kulia lia
Hata huku mtaani nawaambia kila siku lkn hawasikii.
Mwanaume bila kujali umri tafuta pesa na elimu(ongeza ujuzi wa kitu chochote), hizi K hazina maana kama idhaniwavyo.

Kwa Ke, Me ni chombo cha usalama na maendelo binafsi ilihali kwa Me Ke ni chombo cha starehe na maangamizi.

Wanaume wengi wanaumia wanapoachana wa 'wapenzi' wao si kwa sababu hao Ke walikuwa wazuri sana kwa lolote bali kwa sababu waliwekeza mno kwa hao Ke na mwisho wa siku wanaachana.

Mwanaume hakikisha unatumia kila unachopata kwa ajili ya kujiboresha wewe mwenyewe.

"Maana pale ilipo hazina yako ndipo pia utakapokuwa moyo wako.....Mathayo 6:21".
 
Wazee kwema,

Aisee kuna haka kaupepo kabaya kanakopitia wana JF wenzangu dizaini kama tunachezea Vi ndula sana hivi karibuni.

Je, kinachochochea hii hali ni nini? Ni kwamba wadada wamekuwa na roho ngumu sana ama ni kitu gani? Reference kuna Msela wa manzese, mara C Programming hatujakaa vizuri Bilgert nae analalama wife anazingua na wengineo siwez wakumbuka. Bado upepo mbaya unazunguka katika mahusiano ya ma baharia wenzangu hivyo labda tujuzane tuchukue tahadahari zaidi.
Na wewe unaachwa lini ?
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom