matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,570
- 15,311
Jamaa wana kula Masada aisee.
Yaani mtu unazunguka wiki Tatu mfululizo bila kupumzika. Unavuka mabonde na milima kila Kona Tanzania unapita.
Unapoteza virutubisho vingi kwa kuongea ili ushinde. Cha ajabu hawa wote ni watu wazima miaka 50+.
Sasa wewe Kijana (20-35) unazunguka vimitaa viwili tu jijini DSM umechoka.
Unalalalala na kujigeuza kitandani kama bawabu ya mlangoni.
Tuamke sasa na sisi tuzame humo Tanzania . panda mabus, punda, bodaboda saka Mali popote zilipo nchini bila kujali utatumia muda gani safarini.
Linaloshidikana DSM haimaanishi linashindikana na Karatu.
Nimejifunza.
Yaani mgonjwa aliyewahi kupigwa Masasi zaidi ya 16 bado anarudi na kutembea nchi nzima bila Mafua wala kikohozi vipi wewe Kijana damu changa unaogopa kutawanyika nchi nzima kutafuta Mali.
Nakumbuka Mama mmoja sasa amepumzika mavumbini. Yeye alikuwa anauwezo wa kusafiri Dar Mwanza, akaingia Mtwara, akarudi Moshi, na kwenda tena Mbeya kisha kurudi Mwanza na bado ikitokea tukio papo hapo anarudi Dodoma. Alikuwa 60+.
Tuchangamke