Vijana ili uhesabiwe mwanaume ni lazima uoe

Vijana ili uhesabiwe mwanaume ni lazima uoe

mtimawachi

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
2,106
Reaction score
3,158
Hapa nawaongelea hawa vijana wenye majina ya kiume kama John, Rashid nk.

Kumekuwa na kundi kubwa la vijana tena linaongezeka siku hadi siku ambalo halitaki kuoa.Ukiwauliza watakuambia bado wanajipanga,sijui wanatafuta pesa,mara ooh mabinti wa siku hizi sio kabisa na majibu mengine kemkem

Lakini haohao ndio utasikia wanazengea shemeji zao(wake zetu tuliooa)kama sio mama zao.Mtu akija humu na uzi kala jimama/mke wa mtu basi ujue tayari washatuibia wake zetu

Na ndio hawa hawa wanaharibu binti zetu kisha kuwaita 'single mother'
Kujihalishia ujinga wao wamejipa jina baharia,
Kutokana na ujinga wa kutotaka kuoa ndio maana
~mnajikuta mnavaa suruali za dada zenu.
-mnajichubua
-vyumbani kwenu kuna dressing table zilizotapakaa poda lotion,injofesi na mazagazaga ya dada zenu
-mnavua nguo zote mnapopaka mafuta na mnapaka mwili mzima ulisikia wapi
-meseji zenu kwenye simu ni kama hao dada zenu zimejaa 'x' na 'c'
-mnasababisha vijana wa jinsia tofauti waongezeke kujiuza au kututaka sisi kaka zenu ili watuvunjie ndoa zetu
-nyinyi wenye kuwa mashoga au kuolewa mimama iliyoshindikana na kupelekea kupewa nuksi au maradhi

OMBI:Kuepukana na hayo muoe kwani ili uwe mwanaume halisi ni lazima uoe,na utakuwa bora zaidi huyo utakayemuoa uzeeke naye pamoja na shurba zote atakazokupa

-Oa ili utengeneze msingi bora wa familia na taifa
-Usimsikilize yeyete atakayekuambia ndoa ngumu sijui nini,huyo hataki wewe uje ufaidi tunayofaidi sisi huku

JIULIZE: Kwa nini baadhi ya vyeo ni mpaka uwe umeoa? ukipata jibu na ndio lengo la uzi wangu
 
Vyeti vya ndoa vina toka mwanzoni,vingekuwa vina toka mwishoni hata wewe ungekuwa huna.

Ndoa ni akili na utashi wako.
Mkuu hapa sizungumzii tu ndoa za vyeti,hata kama mmeridhiana mkaamua kukaa kinyumba na mkaanzisha familia kwangu mimi naitambua kama ndoa.Sababu wote mtayapitia matamu na machungu ya uwepo wenu pamoja
 
Na Mimi..nashangaa mtu anakuja na bandiko eti vijana wachelewe kuoa..Yaaani unachosubiria Nini...unakipato Cha kawaida..kwanini usioe..
Mwanaume kamili Ni yule.mwenye mke

Kabisa mkuu kuna watu humu wanawapotosha sana vijana na hata kuwatishia kuwa ndoa ni ngumu mwisho vijana wanaishia kuwachezea wenzi wao na kuwatelekeza.Mwisho kijana anajileta humu kifua mbele na kichwa cha habari 'USIDATE NA SINGLE MOTHER' na watu wanawasapot!!
 
Kuoa ama kuolewa sio lazima " kila mtu ni vyema aishi maisha yanayomtosheleza hapa Duniani..

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Hili nawaambia mara nyingi mkuu. Kuoa au kuolewa sio lazima. Isitoshe kuoa kwa siku hizi ni kama fashion tu sio kwamba watu wamekuwa wamependana,na ndio maana ndoa hazidumu. Kwanza kuoa ni kujitafutia kifo cha mapema kwa strees
 
Ndio maana ili uwe mwanaume halisi

1. Je mapadri sio wanaume halisi?

2. Je ni kifungu gani cha bilblia kina LAZIMISHA watu wao au waolewe?

3. Je kifungu gani cha katiba kinalazimisha mtu aoe au aolewe?

4. Sisi kama wakristo tuna fwata mafunzo ya Yesu na mitume wengine kama mtume Paulo.

Lakini kiuhalisia ni kwamba hawakuoa je nao unawasemeaje?

NB: Naomba unijibu maswali yote.
 
Hili nawaambia mara nyingi mkuu. Kuoa au kuolewa sio lazima. Isitoshe kuoa kwa siku hizi ni kama fashion tu sio kwamba watu wamekuwa wamependana,na ndio maana ndoa hazidumu. Kwanza kuoa ni kujitafutia kifo cha mapema kwa strees
You nailed it...
 
Hapa nawaongelea hawa vijana wenye majina ya kiume kama John,Rashid nk.
Kumekuwa na kundi kubwa la vijana tena linaongezeka siku hadi siku ambalo halitaki kuoa.Ukiwauliza watakuambia bado wanajipanga,sijui wanatafuta pesa,mara ooh mabinti wa siku hizi
sio kabisa na majibu mengine kemkem
Lakini haohao ndio utasikia wanazengea shemeji zao(wake zetu tuliooa)kama sio mama zao.Mtu akija humu na uzi kala jimama/mke wa mtu basi ujue tayari washatuibia wake zetu,
Na ndio hawa hawa wanaharibu binti zetu kisha kuwaita 'single mother'
Kujihalishia ujinga wao wamejipa jina baharia,
Kutokana na ujinga wa kutotaka kuoa ndio maana
~mnajikuta mnavaa suruali za dada zenu.
-mnajichubua
-vyumbani kwenu kuna dressing table zilizotapakaa poda lotion,injofesi na mazagazaga ya dada zenu
-mnavua nguo zote mnapopaka mafuta na mnapaka mwili mzima ulisikia wapi
-meseji zenu kwenye simu ni kama hao dada zenu zimejaa 'x' na 'c'
-mnasababisha vijana wa jinsia tofauti waongezeke kujiuza au kututaka sisi kaka zenu ili watuvunjie ndoa zetu
-nyinyi wenye kuwa mashoga au kuolewa mimama iliyoshindikana na kupelekea kupewa nuksi au maradhi


OMBI:Kuepukana na hayo muoe kwani ili uwe mwanaume halisi ni lazima uoe,na utakuwa bora zaidi huyo utakayemuoa uzeeke naye pamoja na shurba zote atakazokupa
-Oa ili utengeneze msingi bora wa familia na taifa
-Usimsikilize yeyete atakayekuambia ndoa ngumu sijui nini,huyo hataki wewe uje ufaidi tunayofaidi sisi huku
JIULIZE:Kwa nini baadhi ya vyeo ni mpaka uwe umeoa? ukipata jibu na ndio lengo la uzi wangu
Acheni vijana wajipange kwanza maisha yamebadilika....then ndo waoe kukiwa na ulazima,


Kuoa mapema utajichelewesha malengo yako kama kijana....otherwise you will end up kuwa frustrated tu,


Jenga kwanza Carrier/stable stream of income+komaa kiakili +kula ujana mpaka ukinai then vuta binti Wa watu tulia naye mpaka kifo +sio uko na mtoto wa watu mara sijui ndo unataka kwenda shule(kujiendeleza) mara unaanza biashara(kuna ups and down) mara ndo unataka uchukue mkopo ununue kagari au kiwanja ,mara umeona pisi kali unaitamani ...its a bullshit utatesa binti wa watu
 
1. Je mapadri sio wanaume halisi?

2. Sisi kama wakristo tuna fwata mafunzo ya Yesu na mitume wengine kama mtume Paulo.

Lakini kiuhalisia ni kwamba hawakuoa je nao unawasemeaje?

NB: Naomba unijibu maswali yote.


Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Mkuu...Dini yenu kwangu Mimi naiona Sio Dini...kwaiyo hayo yote ulio andika naona Ni Mambo y ajabu
 
Back
Top Bottom