vijana

  1. T

    JamiiForums Tanzania Sifa ya vijana wa Kitanzania

    B. Kwa vijana wakiume 1. Yuko tayari kubishana na hata kupigana kisa Simba na Yanga 2. Yuko tayari kubishana na kupigana hata kisa Daimond na Alikiba 3. Yuko tayari kulala njaa aende kwenye fiesta akaambiwe uko tayari, nyoosha mikono juu, mara kushoto kulia etc. 4. Yuko tayari kumuomba mtu hela...
  2. Idd Ninga

    JamiiForums Tanzania IYD-Siku ya vijana duniani,Arusha

    Siku ya vijana kitaifa,maadhimisho yanaendelea katika ukumbi wa mkuu wa wilaya Arusha.
  3. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Tufanye nini vijana waone kilimo can be a proffession too?

    Hello JF, Nimeona trends huku mitandaoni kuhusu kilimo. Nyingi zinaonyesha, vijana 's preference of white collar jobs. Vijana wengi wana negative attitude towards Kilimo. This is sad, because; Vijana ndio wenye nguvu za kilimo sio wazee. I just think, compared to wazee, vijana have got soo...
  4. P

    JamiiForums Tanzania UDSM hii mmewakatisha na kupunguza ari ya kufanya kazi kwa hao vijana wenu

    UDSM mlitangaza nafasi kwa watumishi wa umma kuhamia, na katika tangazo lenu mliweka mpaka scale za mishahara kwa ambao watafanikiwa kupata nafasi hizo. Mdogo wangu ni mmoja wa watu waliofanikiwa kuomba nafasi hizo na kufanikiwa kupata! ana siku kadhaa sasa toka ameanza kazi hapo...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Baraza la Vijanawa CCM kinaendelea

    Nipo naangalia uchaguzi wa wabunge vijana Viti Maalum Chama cha Mapinduzi. Ushauri wangu, kwa kuwa maana ya vijana ni vijana wa kike na wa kiume, basi wagombea wa nafasi za ubunge ziwahusishe vijana wote wa kike na wa kiume kuwakilisha wenzao. Hii ni kutokana tayari kuna nafasi za viti maalum...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Joseph Selasini, aviangukia vyama kuwasamehe vijana walioshindwa kura za maoni baada ya kuvihama vyama vyao

    Mbunge wa Rombo aliyemaliza muda wake Joseph Selasini, ameviomba vyama vyote nchini kuhakikisha vinawapokea vijana wote waliohama vyao vyao na kuhamia vyama vingine lakini wakashindwa kwenye kura za maoni kwa kuwa walishaonesha wanao uwezo wa kufanya kazi. Selasini ametoa kauli hiyo hii leo...
  7. Kennedy

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

    Kumekucha salama, Leo tarehe 06.08.2020 mgombea nafasi ya kazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Chama cha Mapinduzi, atachukua fomu kwenye ofisi ya NEC makao makuu ya Dodoma. Baada ya kuchukua fomu ataongea na wananchi pia wanachama wa CCM kwenye ukumbi wa White House...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Vijana turidhike na kazi/nafasi tulizo nazo

    Habari zenu Wana JF Hivi karibuni nilimsikia Mhe. Rais akisema Vijana wanapashwa kuridhika na nafasi walizo nazo. Binafsi nilihisi analenga watendaji wake (viongozi) kumbe hapana hii kauli inalenga mpaka watu wa kawaida tu. Ninaye jamaa namfahamu yeye ni mtumishi wa TBS lakini Cha kushangaza...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania CCM "wakiharibu" wimbo wa Taifa: Jicho la Mutungi lina makengeza?

    Katibu Mkuu wa BAVICHA Nusrat Hanje na mratibu wa uhamasishaji taifa Twaha Mwaipaya wapo gerezani yapata mwezi sasa kwa kile kinachodaiwa kuuharibu wimbo wa taifa kwa kusema "Mungu ibariki Chadema, wabariki viongozi wake". Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi nae kakipa onyo Chadema kwamba...
  10. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Vijana wasio na ajira wanajipa moyo sana kuhusu ushindi kwa wapinzani

    Nimeamka asubuhi nimecheka sanà. Naona vijana wasio na kazi wanavyohangaika kila kona kutupia post za ushindi kwa wapinzani so sad wakiwa na matumaini ambayo hayapo. Poleni sana msiteseke kamwe chama CCM pekee hao watapiamlo wanapambana sababu ya msosi wa watoto zao. Uamini someni nyakati...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kilio Cha Walimu Wasio na Ajira chasikika: Serikali yajipanga kuajiri walimu mwezi huu

    Habari wanaJF, kile kilio cha ajira kwa Walimu na Wapinzani kutaka kufanya ajenda kubwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu kinaenda kuisha mwezi huu Mkajipange tena sijui mje na sera gani tena ajira za Walimu kutolewa mwezi huu raha ya CCM, raha ya Magufuli ana ahidi na kutelekeza na ikumbukwe hii...
  12. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Umbea tu: Kwa wale vijana wa 1982 (Achana na kilaza Bashite) waliopitia UDSM hasa wa mabibo hostel yule mdada alikua anaitwa kitimoto yu wapi nowdays

    Niko naangalia video music ya Harmonize hapa ya "Falling in love". Kamtumia mke wake yule muitaliano kama Video Queen. Dah mweupe balaa kanikumbusha yule mdada wa miaka hiyo ya UDSM alikua akivuma sana hasa kwa waliokaa mabibo hostel alikua anataniwa kiti moto. Nadhani alikua Law yule. Yuko...
  13. Nyam

    JamiiForums Tanzania Natafuta vijana wa kuniuzia dagaa za kukaanga kutoka Mwanza

    Wapendwa wana JF, Mimi ni mdada mjasiliamali mdogo, natafuta vijana wa kuniuzia dagaa zangu za kukaanga natoa Mwanza naleta Dar, nimezipack na kuzibland vizuri, ntawalipa kwa commission nzuri tu... Ili mradi bidhaa zangu ziuzike, nawatamani sana wale vijana wanaoweza kuuza barabarani kwenye...
  14. Mao Tanzania

    JamiiForums Tanzania Viti Maalumu Vijana Watoto wa matajiri waongoza

    Wajumbeeee! Poleni kwa misiba na maombolezo. Mwenyezi Mungu azipumzishe pahala pema peponi roho za waliotutangulia. Nakumbuka kushuhudia Uchaguzi wa CCM MWAKA 2000 Mimi nikiwa mtia mmojawa of mikoa wa mashariki mwa Tanzania. Hayati Mzee Mkapa akiwa Mwenyekiti wa Chama alikata majina ya...
  15. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Ni vigezo gani hutumika kuchukua fomu Viti Maalum kwa vijana CCM

    Wandugu naomba kujua hawa viti maalum wa CCM ni kipi huwa kigezo tofauti na kura wanazopigiwa na wanachama wenzao hasa wajumbe? Kiukweli wengi wao ukiwaangalia ni wanavutia kwa sura mpaka unasema hivi wanachagua miss Tanzania au pia ni waxuri kwenye kujenga hoja huko bungeni? Naomba mtujuze...
  16. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vijana wa CUF Dar wamchukulia Prof. Lipumba fomu ya kuwania Urais

    Vijana wa Chama cha Wananchi CUF Mkoa wa Dar es Salaam, leo Julai 23, 2020, wamemchukulia na kumkabidhi fomu ya kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwenyekiti wa chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba.
  17. kichomiz

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni kuoa watu wenye jinsia ya kike, oeni wanawake

    Habari zenu wana Jamii Forums Twende moja kwa moja kwenye mada, Vijana wa leo wamekuwa wakurupukaji na malimbukeni,kwenye swala kuoa Wamejikuta wakioa watu wenye jinsia za kike na si wanawake, matokeo yake kuyumbishwa, kupelekeshwa na kurudishwa nyuma kiuchumi. Wengi huendeshwa na tamaa na...
  18. SN.BARRY

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na Humphrey Polepole

    KUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA? Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana. Mwananzila alishika nafasi ya...
  19. Bradson

    JamiiForums Tanzania JKT yatangaza majina ya vijana waliohitimu Kidato cha Sita 2020 wanaotakiwa kujiunga na JKT kwa Mujibu wa Sheria

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2020, kutoka shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria. Sanjari na uchaguzi huo, JKT limewapangia makambi watakayo kwenda kupatiwa mafunzo na wanatakiwa...
  20. dosama

    JamiiForums Tanzania Lema: Vijana wa CHEDEMA wanyimwa dhamana Singida kisa kuimba nyimbo ya Taifa na bendera ya chama

    Nilikwenda Singida kuwasalimu KM BAVICHA Nusrat/ Mwenezi Twaha Mwaipaya, sikuweza kuwaona wanashitakiwa kwa kosa la kuimba wimbo wa Taifa huku wakiwa wameshika bendera ya Chama. Wote wamenyimwa dhamana, kwani hati ya kiapo cha DPP inasema wao kukaa kwao nje ni hatari kwa usalama. Mahakama...
Back
Top Bottom