vijana

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa, vijana wa kiume kuishi kwa kukata viuno kwenye mabaa ili kupata riziki. Kwa nini wasilime?

    Inashangaza sana eti kunakuwa na mashindano ya vijana wa kiume kukata mauno kwenye mabaa na kujiita wacheza dance. Wanashindwa kulima bustani za mbogamboga? Mbaya zaidi wanakata mauno kuliko hata Wanawake
  2. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa vijana waokota makopo

    Hali sio shwari wadau kuna jambo limeibuka vijana wengi wameji ingiza kwenye hii shughuli ya kuokota makopo na kwenda kupima ili kupata mkate wa kila siku. Miaka ya nyuma tulizoea kuona vichaa na wavuta madawa "mateja" ndio ilikuwa kazi yao hii. Leo hii nimeshangaa kuona hadi wasomi wameingia...
  3. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania inavyoweza kuondokana na changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana

    Tanzania ni miongoni mwa nchi duniani ambayo imekuwa na changamoto ya vijana kukosa ajira mara baada ya kuhitimu masomo. Kumekuwa na mitazamo mingi juu ya tatizo hili ambapo wengine wamefikia hatua ya kusema ni bomu linalojiandaa kulipuka. Kwa vyovyote vile kuna haja ya kulipa kipaumbele suala...
  4. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ujamaa(ubuntu) na ajira ya muda ni mkombozi wa uchumi wa Vijana kuelekea kwenye uchumi wa Kitaifa na kujitegemea

    UTANGULIZI. Ujamaa nitakaojikita nao ni (UBUNTU). Rejea (Kamusi ya karne ya ishirini na moja 21 Toleo jipya uk wa 555) Ubuntu ni mfumo katika jamii unaowawezesha wanajamii kuishi kwa kushirikiana katika kila jambo. Ninaye rafiki yangu niliyepotezana naye muda mrefu kutokana na safari yangu...
  5. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Vijana tupambane, soma hii

    Sirjeff Dennis, CEO Exxon is the influencing leader behind the booming investing mania in Tanzania and East Africa. He started his entrepreneurship career at the tender age of 17 years and found himself fortunate enough to receive significant exposure to global opportunities that helped him...
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Picha Kutoka Maktaba ya Ally Sykes: Vijana wa Nyakati Moshi 1955

    Katika picha hiyo hapo chini aliye hai kadri ya ufahamu wangu ni Mrs. Frank Humplink. Katika watu hawa saba mimi nimebahatika kukutana na wanne: Mrs. Humplink nimekuwa nikienda nyumbani kwake Lushoto wakati wa uhai wa mumewe, Frank Humplink, Peter Colmore nimezungumza na yeye nyumbani kwake...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Vijana tambueni na hili katika ajira; Uwezo mdogo nayo huwa ni CV tosha (incompitence) na Afrika Inalipa zaidi kuliko Ubobezi

    Siyo kila mwajiri huwa anahitaji watu nguli katika fani! Kutokukizi vigezo ni moja ya CV inayoangaliwa zaidi na baadhi ya waajiri hususani nchi za afrika! Nawakumbusha Vijana wakati mnapojitutumua kupandisha mabea CV mkumbuke pia hata CV mbovu na dhaifu INALIPA ZAIDI! Hii mada haihusiani na...
  8. kevylameck

    JamiiForums Tanzania Kenan Kihongosi: Sensa itaharakisha maendeleo kwa vijana

    "Takwimu za kiuchumi zitakazopatikana Agosti 23/2022 zitaonesha uwiano wa vijana wanaojishughulisha na kazi za kuzalisha mali na aina ya kazi tunazofanya. Hii itaisaidia serikali katika kupanga sera na mipango ya maendeleo inayolenga katika kukuza ujuzi kwa vijana, Utoaji wa ajira, Uboreshaji...
  9. njasulu

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tafakuri kwa Vijana wa 2022: Uamuzi ni wetu sisi kama Vijana wa kizazi kinachotarajia kuiona kesho

    Mara nyingi nimekuwa nikitafakari, ni namna gani nimefika hapa nilipo. Siku zote naona ni kama kitendawili kwa maana ni mambo mengi yanahusika hadi mtu kufikia hatua yoyote katika maisha yake, iwe ni kupata kazi, kupata mtoto wa kwanza, kumzawadia mtu wake wa thamani ili apate furaha ndani yake...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Vijana mliokatwa nafasi za maudhui zoezi la Sensa mmeona unafiki wa Wanasiasa

    Nawakumbusha tu zoezi hili lilikuwa ni ajira za muda mfupi ila madudu yaliyofanyika katika kuwaondoa wasimizi wa maudhui limekuwa jambo la kawaida pamoja na vijana kupaza sauti si kiongozi wa chama tawala Wala upinzani ambaye ametoka na kuliongelea hili suala as if hakuna ujinga ukiofanyika mtu...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Geita: Kenani Kihongosi ahamasisha Vijana kujitokeza katika Zoezi la Sensa ya Watu na Makazi

    UVCCM TAIFA 16.07.2022 HISTORIA IMEANDIKWA WILAYA YA GEITA YASIMAMA Katibu Mkuu wa UVCCM TAIFA Ndugu Kenani Kihongosi akiwa Wilaya ya Geita(Katoro) Mkoa wa Geita Kuhamasisha Vijana Katika Zoezi la Sensa ya Watu na makazi amesisitiza vijana kujitokeza Tarehe23.8.2022. Pia amempongeza Rais wa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi na kikao cha Baraza la Vijana Kibondo

    DKT. SAMIZI NA KIKAO CHA BARAZA LA VIJANA KIBONDO. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Dk. Florence George Samizi ameendelea na ziara yake Jimboni ambapo leo amefanya Kikao Maalum na Baraza la Vijana UVCCM Wilayani Kibondo na kupata kuzungumza na Vijana hao masuala mbalimbali yanayohusu...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Viwanda vya kimkakati alivyoanzisha Mwl. Julius Kambarage Nyerere ambavyo ni magodauni na magofu

    Hivi ni baadhi tu ya Viwanda vya kimkakati alivyoanzisha Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere bahati Mbaya vingi ni magodauni na magofu vijana inawezekana mmesahau 1. TANGANYIKA PACKERS - usindikaji,upakiaji na usambazaji wa nyama ya ng'ombe. Kiwanda hiki kilikuwa Kawe na kingine mkoani...
  14. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana "Uchawa" ni Uchafu na Umasikini unasahaulisha ajenda zetu

    Kwenye mnakasha huu nitaangazia Ajenda za vijana na matatizo yanayo wakumba na Suluhu ya Changamoto zao. Kulingana na sensa ya 2012 vijana ndio kundi kubwa kwenye muundo wa demographic ya nchi yetu.Vijana wanachukua kwa makadilio zaidi ya 75%. "Uchawa" vijana wao huita hivyo wakiimaanisha ili...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa vijana wasio na kazi ambao wanashinda tu mtaani na hawajui wafanye nini humu duniani

    (1) Ewe kijana unapaswa kuwa na shauku ya kuacha kutanga tanga. Uwe na nia ya kutulia kwenye kazi moja uliyotumwa kuifanya humu Duniani. (2) Hivyo tenga muda wa kutosha wa kusoma Kitabu chenye Maneno ya kweli,Mazuri,masafi, muhimu ambacho kitakuwa kina kukumbusha mambo muhimu ya wewe kutenda...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Julai 15: Siku ya Ujuzi kwa Vijana Duniani (World Youth Skills Day)

    Siku hii inaangazia umuhimu wa kuwapatia Vijana Ujuzi unaohitajika katika Ajira na Ujasiriamali Inakadiriwa kuwa, nafasi za kazi Milioni 600 zitahitajika kuundwa katika kipindi cha miaka 15 ijayo ili kukidhi mahitaji ya Ajira kwa Vijana Idadi ya Vijana inatarajiwa kuongezeka kwa zaidi ya...
  17. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Nishati kuajiri vijana 139 kusimamia miradi ya Umeme vijijini

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametangaza kuajiri vijana 139 watakaosambazwa katika Halmashauri zote nchini ili wawe waratibu wa Miradi ya REA katika maeneo yao. Makamba amesema hayo Julai 13, 2022 akizingumza Bariadi Simiyu “Vijana hawa 139 kazi yao ni kufuatilia miradi imefikia hatua...
  18. Heaven Seeker

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa vijana mliofanikiwa kupata ajira hasa za hivi karibuni

    Awali ya yote niwapongeze sana. Kama mjuavyo, hizo fursa kuna wengi walizitamani lakini hawakufanikiwa. Kwahiyo hongereni sana. Nimeamua kufungua uzi huu ili ku-share nanyi vitu angalau kwa uchache ambavyo vinaweza kuwasaidia. Hii ndio faida ya JF. 1) Kwanza kabisa, natambua vijana mlio wengi...
  19. Tsh

    JamiiForums Tanzania Serikali iwatambue madalali na kuweka mazingira sahihi ya wao kufanya biashara, ongezeko la vijana wenye tatizo la afya ya akili ni kubwa

    Kuna Kijana kwenye page yake kapost gari na specifications zote, kaweka bei na maelekezo kuwa punguzo lipo. Kapigiwa simu na mtu anayelihitaji gari akatoa maelekezo kuwa gari ni la mtu wake wa karibu anamsaidia kuuza hivyo afuatwe eneo alipo waende kwenye gari likaguliwe likipendwa yeye...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alimpa shamba Bhakresa sasa hivi anazalisha sukari na kaajiri vijana elfu moja

    HilI shamba tungegawia vijana elfu moja wasingezalisha hata sukari guru, tungewakuta mlandizi wakiuza Juice ya miwa
Back
Top Bottom