vijana

  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa tangazo la kuhitaji vijana wa kazi nimeamini vijana wengi waliopo JF hawajui umuhimu wa Jamii Forums

    Nikili yakuwa lile tangazo nililoliweka jukwaa ili limenipatia picha Kamili ya vijana waliomo humu wengi yakuwa hawajui maana ya matumizi ya mitandao. Nitaeleza vyema naomba mnielewe na msome andiko hili na mwelewe vyema sio Kila mtu anae weka tangazo humu anakuwa anataka akuchunguze na kukujua...
  2. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uchumi wa vijana

    UCHUMI WA VIJANA Nchi ya Tanzania ni nchi ambayo ina amani Tunapaswa kumshukuru Mungu kwa hilo kwa kutupa nchi yenye amani na Watanzania wenye kupenda nchi yao. Leo ningependa kuzungumzia uchumi kwa vijana Watanzania maana nchi yetu ina vijana wengi lakini maisha ya wengi yameishia kuwa duni...
  3. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Rais wa Nchi anaitwa Nyapara! CHADEMA ni vyema muwadhibiti hawa vijana wenu akiwemo Mdude

    Rejea kichwa tajwa hapo juu Mimi binafsi natamani CCM iondoke madarakani. Lakini wakuiondoa ni Akiwemo Mdude? Chadema jifunzeni. Hawa wajinga wataharibu image yenu mliyoijenga kwa muda mrefu Mkanyeni huyu. Kuitukana Taasisi ya uRais ni kosa, anaweza kupotezwa vibaya sana Huyu ndio...
  4. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana na tatizo la ajira

    NAOGOPA Kijana Elli akiamshwa na king’ora cha simu alichotega kabla ya kujilaza kitandani kwake huko Kimara Dar es Salaam, anakoishi kwa wazazi wake. Ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Anaamka na kujiandaa Kwenda kutafuta kitu chochote ili kuburudisha tumbo lake. Anarudi chumbani kwake na...
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Je wewe ni kijana wa kitanzania elimu kuanzia kidato Cha nne,?na upo Mkoa wa Kagera,Iringa,na Mbeya na unaweza fanya kazi ya Recovery kwa Saccos ?

    Je wewe ni kijana wa kitanzania? Una umri wa kuanzia miaka 30? Je una elimu kuanzia kidato Cha sita na kuendelea? Je una uzoefu wa kufanya kazi ya Ufatiliaji wa Madeni katika vyama vya ushirika? (Recovery?) Je upo Mkoa wa Mbeya?iringa?na kagera? Kama maswali yaliyo ulizwa hapo juu una sifa...
  6. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Walevi kwenye Uchumi; Japan yatoa wito kwa Vijana kunywa zaidi pombe ili kukuza Uchumi

    Bila kupoteza muda,hii ndio habari ya Mjini huko Japan.. Hata hapa Tanzania TBL wameripoti kuongezeka kwa faida ya Mauzo ya pombe.. Hongera sana Walevi kwa kukuza Uchumi,wale wengine na soda zao sijui wataficha wapi sura zao.👇 -- Takwimu za hivi majuzi kutoka kwa wakala wa ushuru zinaonyesha...
  7. Willima

    JamiiForums Tanzania Ndoa kama chaguo bora zaidi kwa vijana wa kike

    Watafiti wamezungumzia suala la ndoa kwa vijana wa kike, kasikazini mwa Tanzania, wameonyesha sababu za kupamba moto kwa matukio hayo na athari zake kwa waathirika wa mitazamo na mawazo hayo (wanawake). Sababu za kupamba moto kwa matukio haya ni ukosefu wa elimu ya kutosha juu ya masala ya ndoa...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Ujuzi wa kidigitali: Mfumo wa elimu unawaandaaje vijana?

    Vijana hivi sasa wanakua katika ulimwengu wa kidigitali ambapo Ujuzi na Uzoefu katika Masuala ya Digitali ni muhimu hususan katika Ajira Hata hivyo, Mafunzo katika Nchi mbalimbali za Uchumi wa Chini na Kati bado ni changamoto kwani idadi kubwa ya Shule bado hazina vifaa vya kufundishia...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Pesa ya Mwanamke ilivyotamu lazima niilambe! Huo ndio msimamo wangu

    PESA YA MWANAMKE ILIVYOTAMU LAZIMA NIILAMBE; HUO NDIO MSIMAMO WANGU! Anaandika, Robert Heriel Ujumbe huu ni Kwa Hustlers wote. Vijana wote mliotokea kwenye Familia Masikini! Usiogope Kula au kutumia pesa ya Mkeo. Ati nisiitegemee pesa ya mwanamke, Nani kasema? Pesa ya mwanamke lazima Taikon...
  10. kevylameck

    JamiiForums Tanzania SIKU YA VIJANA: Rais Samia na Elimu na Ujuzi kwa vijana

    Na Kevin Lameck Dunia inapoadhimisha siku ya Vijana hii leo, yapo baadhi ya mambo yaliyofanywa na kutekelezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye kuwakwamua dhidi ya changamoto mbalimbali zinazowakwaza Vijana. Changamoto kubwa inayotajwa nchini Tanzania miongoni mwa Vijana wake...
  11. kevylameck

    JamiiForums Tanzania SIKU YA VIJANA 2022: Rais Samia na suala la Ajira kwa Vijana

    Na Kevin Lameck Siku ya Kimataifa ya Vijana inaadhimishwa leo na kila mwaka tarehe 12 Agosti, ikileta maswala ya vijana kwa jamii ya kimataifa na kusherehekea uwezo wa vijana kama washirika katika jamii ya leo. Vijana ni kundi muhimu katika taifa lolote lile duniani. Hii ni kutokana na ukweli...
  12. Azizi Walter

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana tusikatishwe tamaa na hali ya kiuchumi

    Baada ya kumaliza elimu yangu ya ufundi stadi kutoka chuo kikubwa nchini cha serikali (VETA) na kuwa na matarajio makubwa ya kupata ajira hapo baadae au kujiajiri mwenyewe lakini hali ilikuwa tofauti sana na uhalisia hakuna aliyeniamini na kufanikiwa japo kunipa majaribio juu ya kile...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Agosti 12: Siku ya Vijana Duniani (International Youth Day)

    Siku ya Vijana Duniani inaadhimishwa kila Agosti 12 kutambua na kupaza sauti kuhusu umuhimu wa ushiriki wa Vijana katika Masuala mbalimbali Siku hii inasisitizia Haki za Vijana kupata Elimu, Ajira, Huduma za Afya, Huduma za Kifedha na kushiriki katika Jamii CHANGAMOTO YA AJIRA KWA VIJANA Kwa...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa kwa Vijana leo

    Ikiwa leo dunia inaadhimisha siku ya vijana duniani Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito kwa jamii kuwasaidia vijana kwa kuwekeza kwenye kuwapatia elimu na kuwajengea uwezo wa kiujuzi kupitia mikutano pamoja na kufanya mabadiliko katika mifumo ya elimu. Vijana, ni nusu...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia wakumbuke vijana waliomaliza Mkataba JKT, Mirerani

    Nawasalimu wanajamvi, Mh. Rais hongera sana kwa kazi nzuri. Ni kweli sisi watanzania(ingawa sio wote) tunajua kwamba JKT haiajiri bali huwajengea ukakamavu na uzalendo vijana kwa nchi yao. Kuna vijana tunakutana nao mtaani wamelitumikia JKT miaka 3 hadi 4 katika shughuli mbalimbali. Hivyo hawa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Siku ya vijana duniani

    Mawazo ya kuwepo kwa siku ya kimataifa ya vijana yalitolewa mnamo mwaka 1991 na vijana waliokusanyika mjini Vienna nchini Austria kwa ajili ya kipindi cha kwanza cha jukwaa la dunia la vijana la mfumo wa umoja wa mataifa. Kwa mara ya kwanza, Umoja wa Mataifa ulisherehekea mwaka wa kimataifa wa...
  17. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Shaka: Rais Samia ameongeza TZS 700B kwenye kilimo ilikulikabili tatizo la ajira kwa vijana wetu, Bajeti yafikia TZS 954B toka TZS254B

    MABILIONI YA RAIS SAMIA YAMPA IMANI SHAKA KUWAKOMBOA VIJANA KATIKA KILIMO KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema dhamira ya dhati ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuitazama kwa karibu sekta ya kilimo, ikiwemo kuongeza bajeti ya Wizara Kilimo...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kelele , jana NACTVET/ Wizara ya Afya wametoa Ratiba ya mitihani ya vijana wa Afya

    Shame upon you! Mpaka watu walalamike ndio mzinduke. Hamstahili kuwa ofisini nyote mnaohusika na wajibu huu wa kutoa ratiba. Shame upon you!
  19. AMRANI NURUDINI SAMWAJA

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kwanini vijana wa Tanzania wenye ndoto za kupata fursa za kiuchumi, elimu, kujitolea katika nchi za Umoja wa Mataifa huishia kutapeliwa

    KWANINI VIJANA WA TANZANIA WENYE NDOTO ZA KUPATA FURSA ZA AJIRA,ELIMU,KUJITOLEA KATIKA NCHIZA ZA UMOJA WA MATAIFA( NCHI ZA NJE) HUISHIA KUTAPELIWA,KUPATA VYUO VYA UCHOCHORONI AU KUKOSA NAFASI KABISA? Tanzania ina vijana wasomi Tena wengi sana kutokana na wimbi la kukosekana ajira wanajikuta...
  20. Hamza Nsiha

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ni wakati sasa wa kumaliza vita hii ya vijana dhidi ya ukuaji wa sayansi na teknolojia

    VITA YA VIJANA DHIDI YA MAENDELEO YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA. Chemsha bongo! Je! Umewahi kujiuliza kuwa licha ya maendeleo ya sayansi na teknolojia kusaidia katika kuboresha maisha ya binadamu kiujumla lakini bado yameacha malumbano makubwa dhidi ya vijana mbalimbali? Ukweli ni kwamba vijana...
Back
Top Bottom