Vijana wanahitaji ushauri. Vijana lazima wasali,watafakari,wamche Mungu.
Watu wengi ambao hawajasoma Msahafu wanataka kuwapotosha vijana.
Vijana wadogo hata hawajafikisha umri wa miaka ishirini, wanaadhibiwa vikali badala ya kupewa ushauri.
Usiku ni wakati wa kupumzika. Sasa ukihangaika...
Habari wakuu, nyie jamaa mnaosukuma subaru dzr, bmw dys na toyota dzk mnawazungumziaje wanenu apeche alolo mlo soma wote sec & primary school?
Iko hivi nimepita mahali dada anazungumza na simu network inazingua anajitambulisha kwa mtu wa pili anaezungumza nae yeye ni mke wa 'ngumi jiwe'...
Nasikitika sana!
Mimi ni kijana mmoja wapo kati ya vijana wengi walioharibiwa maisha yao!
Siku zote ukweli hujitenga na uongo, sisemi uongo utawala wote wa awamu ya tano nimehangaika sana.
Nilihitimu chuo 2015 kada ya afya!
Kutokana na uhaba wa ajira nilikaa sana kitaa nikifanya mishe mishe...
Kuongezeka kwa bei ya bidhaa na kuendelea kwa migogoro ya kisiasa imetajwa kuwa sababu ya wakazi wa Libya hasa vijana kudai kuwa wanaendelea na maandamano katika Mji Mkuu wa Tripoli hata baada ya kuandamana usiku kucha.
Maandamano ya hivi karibuni yameshuhudia matairi yakichomwa moto na...
PASU KWA PASU HAIWEZEKANIKI ENYI VIJANA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtu huchagua maisha yake mwenyewe katika Baadhi ya Maeneo, kuchagua uwe Mmiliki au mmilikiwa ni Moja ya uchaguzi binafsi wa mtu, mtu unajiamuliwa mwenyewe.
Ukishachagua upande wa MMILIKIWA elewa Kabisa hakuna kitu kinachoitwa...
KENANI KIHONGOSI AWASIHI VIJANA KUMUUNA MKONO MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
UVCCM HQ
JULAI 03, 2022
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Ndugu Kenani Kihongosi amewataka Vijana kumuunga mkono Mhe Rais Samia Suluhu Hassan.
Ameyasema hayo alipokua anahutubia katika Mahafali ya UVCCM Seneti ya...
Inawezekana kuwa wengi wanakumbuka kuwa Oktoba mwaka jana, vyombo vya habari vya Zimbabwe vilifichua kwamba ubalozi wa Marekani nchini humo uliwalipa waandishi wa habari wa nchi hiyo kuchapisha ripoti za kuchafua sura ya China kwa bei ya dola za Marekani 1,000 kwa kila makala, jambo ambalo...
Leo waziri wa fedha amependekeza kupunguza kodi kwenye pesa anayoshinda mtu aliyebeti kutoka 15% mpaka 10%.
Kwangu naona hii ni kama kuendelea kuharibu vijana maana watahamasika kutokana na kuona wakishinda watakatwa pesa kidogo.
Bora ingeongezwa ili iwavunje moyo watu wanaobet labda...
Duuuu ni ngumu sana kuelewa watu wa Serikali kusisitiza watu wajiajiri; lakini walau watu hawajengewi mentality ya ki business.
Kwa Tanzania yetu mandatory subjects yangekuwa:
• Book Keeping
• Commerce
• economics
• Computer Studies
Imagine wale F.4 wanaomaliza wakiwa na Div. 0 / IV na hawana...
Habari za mda huu wana jamvi .. juzi kati nlikuwa mikoa ya kusini mwa tanzania kikazi baada ya kufika nlipita kwenye baadhi ya wilaya na vijiji vichache nlipatwa na mshangao kidgo kila kituo cha boda ukifika utasikia .... karibu utaenda kwa Bibi!! Au utaenda kwa Babu ...
Baada ya kuchunguza...
Awamu ya 5 iliwapa nafas za uongozi vijana wengi Sana. Lkn wakawa chanzo cha mateso na vilio kwa taifa.
Mifano tunayo. Kwa kuwataja wachache tu: Makonda, Sabaya, Heri James, Ali Hapi, Mnyeti, Gambo, Polepole, n.k
Ninapoona awamu ya 6 sasa inawarudisha kwenye uongozi wazee kama Kinana na Wasira...
- Habari Wanajamii wenzangu. Awali ya yote ningependa kumnukuu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Kuhusu jukumu la vijana katika Taifa.
Mwl. Nyerere anasema “Tunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini , si vijana waoga ,akina ndiyo bwana mkubwa, vijana wenye ujasiri wa...
Huu mtandao Nimeujua muda mrefu ila nilikuwa sijawahi kabisa kuingia kuna clip nyingi nilikuwa naona zinasambazwa kwenye mitandao mingine kiukweli kama mtu siku hiyo upo bored ukikutana na clip za tiktok zitakufanya ufurahi
Sasa leo ndio nimepakua hiyo app nimeingia kwenye huo mtandao nimeona...
Dar ni mji mbaya sana. Maan watu wanafundishwa uovu toka wadogo. Wanafundishwa kulawati na kulawitiwa wakiwa wadogo. Ndo maana wengi walishalawitiwa inabakia kuwa siri yao tu.
👇
CHADEMA inafanya siasa zake mtandaoni kwa kiasi kikubwa, kutokana na mazingira ya siasa nchini yalivyo tangu enzi za mwendazake
Sasa kuna vijana wa Chadema wamekuwa popular sana huko mtandaoni kuliko hata viongozi wao wa kitaifa, na waki push ajenda fulani inaonekana kama ni Chadema sababu...
Juzi hapa waislamu nchini india waliandamana baada ya kiongozi wa ngazi za juu wa Chama cha Kihindu kutoa matamshi ya kuukashfu uislamu.
Baada ya matamshi ya dhihaka dhidi ya uislamu na mtume Mohamed, nchi nyingi za kiislamu zililaani sana hilo tukio na baadhi ya vijana wa kiislamu huko India...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.