Nimeona clip ya Polepole akimsifu Magufuli wakati akisoma kitabu ambacho nadhani ni ilani ya chama. Anachokitaja ni idadi ya flyovers zinazopangwa kujengwa; Moroko, Tazara, Magomeni, Mwenge, Chang’ombe na uhasibu, fire, Kinondoni, etc. Huu ni uhuni na ushenzi wa matumizi ya pesa ya taifa hili...