Kuanzisha Duka la vifaa vya umeme na Plumbing

leontiff

Member
Jan 14, 2016
95
94
Habari za Mchana wadau.

Msaada wenu, nina milioni15 niko Dar es salaam nataka kuanzisha duka la kuuza vifaa vya umeme pamoja na plumbing naomba kujua vifaa gani vinatoka sana pamoja na changamoto za hii biashara.
 
Tafuta Site zile ambazi kuna ujenzi mpya.

Bomba
Ips pipe OG na viungo vyake kuanzia 0.5" hadi 2" Eg. T, Elbow, Nipple, Top plug
PVC pipe 4" na viungo vyake
PVC pipe 1.5" na 2" na viungo vyake na vitu kama Tangit na Seal tape
Gate valve ( Kama size za IPS)
P trap na G trap ( Size ya PVC pipe)


Umeme
Heavy gauge Conduit pipe 20mm na Viungo vyake kama Ciuppler/ through socket, JB, Elbow nk.
Metal squire box Single na double
Distibuition board AKA Main switch kuanzia njia 4 hadi 12 ( Tronic / havels)

Hivyo vitu nilivyovitaja vinatumika kwenye stage ya kwanza baada ya nyumba kukamilika au kabla haijapigwa lip/ plaster

Sasa baada ya hapo kuna vitu vingi sana siwezi vitaja hata milioni vinatika. na mara nyingi wateja wanapenda kuvifuata mijini kwenye bei poa.
 
Back
Top Bottom