Hakika cheo ni dhamana. Tumia cheo kutenda haki, tenda kazi ya Mungu.
Hili ni funzo kubwa sana kwa wenzetu mnaoteuliwa na kuchaguliwa. Oneni mwenzenu anavyodhalilika. Hamjachelewa sana,huu ni wakati wa kulia na kutubu hadharani
Wanamuziki kwenye nyimbo zao za video wamekua wakibuhusiana wakati mademu hao si wao inasaidia nini?
Unakuta nyimbo ni nzuri kusikiliza ila ukija kutazama video utamani hata watoto wako waiangalie hii wadau mwaionaje?
Yapo mengine unashindwa kuyaeleza hivyo unaiachia video ndio iongee, karibuni sana...
Kama sifa zinalevya, basi Mh Rais Samia Suluhu Hassan kaa chonjo na watu kama hawa!
Juzi kwa mwendazake leo kwako...waepuke wanafiki hawa, kaa mbali nao na waogope kama ukoma!
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
Huyu mzee ana busara sana kwa kweli kila nikiiangalia team yangu simba wazee kama ramesh patel, philemon sarungi,kina kova wanatuchelewesha tu laiti tungekuwa na kina mzee mpili,mzee magoma tungekuwa mbali sana
Naomba nisaidiwe ni njia gani wanazotumia, mfano wakati kuna tukio fulani linaendelea utakuta watu wengine wanaangalia tukio hilo LIVE ni nini kinatakiwa kuwepo? kwa mfano nikiwa Kanisani na ibada inaendelea nataka watu wengine waone ibada hiyo LIVE kupitia youtube je ni vifaa gani...
Wazee wa klabu namba 74 kwa ubora barani africa yanga sc wamekataa kuingiza team tarehe 3 july.Team hiyo ya mitaa ya twiga na jangwani ambayo kwa mujibu wa shirikisho la soka afrika ni ya tatu kwa ubora nchini nyuma ya simba na namungo kikawaida huwa ina utaratibu wa jadi na wa kihistoria wa...
si utani ama kwa hakika hii ni ligi ya 8 kwa ubora africa naomba sana simba na yanga zikutane hiyo fainali halafu siku hiyo makocha wa kigeni wakashuhudie kapeti la lake tanganyika watajua hawajui
Najua kuna watu wanapenda kutengeneza beat za muziki zenye viwango vya juu kwa kutumia FL Studio. Hunabudi kuzijua plugins zitakazokusaidia katika hilo.
Basi kama unataka kujua Plugins zenye vinanda vizuri tembelea video hii.
Ikumbukwe kwamba Leo Mh Mbowe ataongoza kikao cha Kamati ya utendaji ya Kanda ya Serengeti Mjini Shinyanga , Hivi ni vikao vinavyoendelea vya OPERESHENI HAKI vyenye lengo la kudai Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi .
Sasa mapokezi yake ndio kama mnavyoona , siongezi chumvi.
Vikao vya ndani vinaendelea kurindimishwa na CHADEMA kama ada, hii ni katika ule mpango Mkakati wa Operesheni Haki, ambapo zamu ya Shinyanga ni 28/5/2021.
Sasa huu hapa ndio Msafara wao kuelekea huko, jionee mwenyewe.
Nyingine hii hapa
Kwa mtanzania wa kawaida ukisema mbunge wa viti maalum ..
Wazo la haraka linakuja ni 'mdada chepuko wa kigogo wa wa siasa' nchini
Au na siku hizi wadangaji wa huko bungeni...
Ni nadra Sana watu kuwaza 'kiongozi wa kuheshimiwa na kutumainiwa'likitajwa neno 'mbunge wa viti maalum'..
Wakati wa...
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inaujulisha Umma kuwa Jumapili tarehe 23 Mei 2021, Majira ya saa 8 Mchana katika Bandari ya Dar es Salaam, mashine ya kunyanyua vitu vizito (crane) iliyokuwa ikishushwa kutoka kwenye meli ya LCT AJE 1 ilipata ajali ya kutumbukia baharini.
Mashine...
Somo hapo lahusika, naomba nisaidiwe kupata kipande cha video hii kuanzia dakika ya 17:30 na kuendelea ina jambo muhimu kutoka kwa Hayati Mwl J K Nyerere
Video
Inakuwaje wanajamvi!
Mkiambiwa Israel ni taifa teule takatifu la Mungu wa kweli mnabisha. Hii Video inasambaa kwa kasi sana kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha raia wa Iran akichoma moto bendera takatifu ya taifa teule la Israel na badala yake bendera ikamchoma moto mwenyewe.
Mungu mwenyewe...
Wazazi na jamii kwa ujumla hatuna budi kuwapa ulinzi watoto mahali popote pale unapokutana na tukio ambalo si la kiungwana kwa watoto, mtoto hata kama si wako ni wajibu wako kumlinda.
Nimetafakari nikakosa majibu huyu aliyekuwa anachukua video hii alikuwa na roho gani? Badala ya kumuokoa mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.