video

  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Video: Anayehusika na hii barabara ya Shaurimoyo (Al-haramain), ana akili sawasawa kweli kichwani?

    Hii hali ipo mwaka wa 5 huu, sasa utasema huyo mtu ana akili zilizotimia kichwani kwake, huu si ujinga huu kabisa?! Na hapa ni katikati ya jiji kabisa
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mwanangu ananirekodi video za uchi nikioga na nikilala

    Kutoka Ukurasa wa Instagram wa Idd Makengo Naomba unisaidie kama hiki ni kitu kibaya kwa mwanangu kwani nahisi kuchanganyikiwa. Mwanangu wakiume alinyonya mpaka alipofikisha miaka minne ndiyo nikamuachisha, mimi na mwanangu tuko karibu sana. Namlea mwenywe kwani Baba yake tulishaachana na...
  3. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Video ya Polisi akimshambulia kwa risasi kijana wa miaka 13 yatolewa Chicago

    Polisi wa Chicago wametoa picha za afisa aliyempiga risasi mtoto wa miaka 13 kwenye uchochoro wa giza. Video hiyo inaonesha polisi huyo akipiga kelele “dondosha” kabla ya kumpiga risasi Adam Toledo mara moja kifuani tarehe 29 mwezi Machi. Mvulana haonekani kuwa ameshika silaha katika sekunde ya...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Pamoja na kuteswa sana awamu ya 5 lakini viongozi wa Chadema hawakujali kitu , roho zao kwatu kabisa

    Hii ni moja ya shughuli iliyosheheni viongozi wa juu kabisa wa Chadema , wakisakata rumba bila hata kinyongo na mtu , Hakika Chadema ni furaha tele . Jionee mwenyewe .
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Bavicha yatikisa Mbeya, Kauli Takatifu ya NEVER AND NEVER AGAIN yatawala

    Hebu jionee mwenyewe na ujifanyie tathmini yako.
  6. Quavohucho

    JamiiForums Tanzania Video na picha zinazodaiwa ni za Harmonize zasambaa kwenye mitandao

    Katika hali ya kustaajabisha recorded video call na picha za sehemu za Siri za msanii harmonize zavujishwa; Inasemekana aliyekuwa girlfriend wake (bongo movie) akishirikina na maasimu wa msanii Huyu wavujisha picha hizo. Inasemekana msanii Huyu alikuwa anampigia video call Paula (step daughter...
  7. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Rais Samia alipotua Dar leo

    Mengi yalizungumzwa kuhusu ulinzi wa Rais Magufuli. Wengi wakakosoa kwamba analindwa na maaskari wanaovaa magwanda ya kijeshi jeshi huku wameshikilia mabunduki makubwa. Ni viongozi wengi tu duniani hulindwa hivyo. Hata Rais wa Marekani hulindwa na wanausalama wenye mabunduki makubwa na wanaovaa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Unaweza kupunguza uraibu 'addiction' kwa kucheza michezo ya video

    Michezo ya video 'video game' ina faida kimwili, kisaikolojia, na kijamii. Kutokana na namna michezo hiyo huhusisha akili, ambayo inaweza kumsaidia mtu kukuza uwezo wake wa kuchanganua mambo. Michezo hii inaweza kusaidia wale wanaosumbuliwa na uraibu au hamu ya kupunguza nguvu za tamaa za vitu...
  9. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu ni Kiongozi au tapeli? Kwanini Mamlaka zinamlea kiasi hiki?

    Kama ilifikia mahali kiongozi anatoka eneo la himaya yake yake ya kazi anakwenda kuvamia maduka ya watu, kwanini kiongozi kama huyu asiitwe jambazi? Huu unyang'anyi au uporaji wa mali za watu usiku unatumwa na nani? Halafu mpuuzi moja akitoka hapo anamtaja hadi Mungu. Kwa mujibu wa gazeti...
  10. Mbatizaji Mkuu

    JamiiForums Tanzania Mtozi Alloyce Nyanda: Kuna watu wanamtumia Swai kumchafua Sabaya?

    Anaandika Mtozi Alloyce Nyanda Nimeona Video ya Mfanyabiasha Cathbert imepostiwa na @kumbushodawson Kumbuso ni rafiki yangu sana na kwa kuwa sisi sote huwa ni waumini wa ujenzi wa hoja basi kabla ya kuingia katika mjadala wa msingi napenda maswali haya yajibiwe kisha tuje sasa kwenye Hoja hiyo...
  11. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Paid video view

    Asee wadau hiyo paid video view, kuna mtu alishaitumia yani ni kama website flani hivi wanakwambia uangalie video harafu wenyewe wanakuwa kila ukiangalia video ya dakika wanakulipa, sasa je ni kweli hizo hela utaweza kutoa ukifikisha kiwango wanachotaka maana ni 200$ ndo utaweza kutoa, Je kuna...
  12. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DCI yamkamata mwanaume aliyenakiliwa akitaka kumchoma mshukiwa wa wizi Mombasa

    TAHADHARI: Video huenda 'ikakusumbua akili' Idara ya upelelezi nchini Kenya DCI imemkamata Swabir Abdulrazak Mohammed, mwanaume aliyenakiliwa kwenye video akimpiga mshukiwa wa wizi jijini Mombasa. Swabir, ambaye ni mlinzi katika kiwanda cha Ajab Unga alirekodiwa akimpiga mshukiwa huyo huku...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars yabamizwa 1-0 Equatorial Guinea na kukosa ticket ya kushiriki AFCON 2022...

    TUMETOLEWA RASMI!!!! Ungana nami kuanzia saa 4 kamili kupata updates za video, Mechi ya Equotorial guniea vs taifa stars HIGHLIGHTS KIPINDI CHA KWANZA 1. CHUPU CHUPU 2. MANULA ANATUSAVE 3. MWAMBA. KIPINDI CHA PILI ASANYE MANULA VIJANA WA EWUATRIAL WAMEDOMINATE SANA MSUVA...
  14. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Video: Starter ya kuwasha engine isiyotumia betri

    Ni kwamba badala ya kuzunguka kwa kutumia nguvu ya umeme wa betri, starter hii hufanya kazi kwa kuzungushwa kwa mkono kwa sekunde kadhaa kisha nguvu ya mzunguko huhifadhiwa kwenye spring, kisha ile spring starter ikifyatuliwa, ndio engine inawaka, tazama video
  15. MWINY WETU

    JamiiForums Tanzania Afande Sele atashtakiwa kwa kosa gani baada ya kumtukana Mungu?

    Huenda bwana Selemani Msindi amefanya makosa lakini ni lipi kosa lake kisheria? Nani wakumshtaki? Nani aliefanyiwa kosa? Tukianza na kosa lake kisheria, kifungu namba 129 cha kanuni ya adhabu sura ya 16 kinaeleza kuwa Nikosa kuumiza hisia za imani ya kidini ya mtu mwingine kwa kuweka...
  16. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Harmonize - Ahsante Magufuli (Official Video)

  17. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Mpiga picha wa Rayvanny: Kutoka kubeba mabegi mpaka kuwa msimamizi wa lebo ya Next level (+ Video)

    Huu mzima? Kijana ambaye huonekana karibu sana na @rayvanny na mara nyingine huonekana akimpiga picha erismzava ameeleza ukaribu wake na Rayvanny na kueleza nafasi yake kwa @rayvanny na pia nafasi yake kwenye labo mpya ya Next Level Music Mzava ameelza kuwa yeye chochote atakachoagizwa na...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Full Time: Simba SC 3 - 0 Al Merrikh

    Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba SC leo itakuwa na kibarua cha kumenyana na timu ya Al Merrikh kutoka nchini Sudan katika dimba la Benjamin Mkapa. Mchezo wa kwanza uliopigwa Uwanja wa Al Hilal nchini Sudan, timu hizi zilitoshana nguvu kwa kutofungana. Kikosi cha Simba SC kitakachoanza leo dhidi...
  19. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Facebook kuanzisha mradi wa kufundisha mfumo wake wa ufahamu bandia kwa kutumia video

    Kampuni ya Facebook imesema inaanzisha mradi wa kuifundisha mifumo yake kujifunza picha, video na sauti kutoka katika maudhui yaliyopo katika jukwaa lake. Mradi huo unaoitwa "Kujifunza Kutokana na Video" una lengo la kuufundisha mfumo wa Facebook wa ufahamu bandia (artificial intelligence...
  20. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Video: Tupunguze stress na ban ya mada zetu, ukipenda cheka

Back
Top Bottom