Njaa Kali ama ni nini : Wasanii kuweka mpaka Video za matembezi kwenye accnt zao za YouTube

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
10,485
34,788
Hili Jambo linanishangaza Sana , sijaona wasanii wengine hasa wa nje , wakiweka video tofaut na official music kwenye official accnt zao za YouTube , huku Tz ni fujo tupu , unakuta msanii anaoga bafuni anajirekodi anaweka kwenye accnt yake ya YouTube .....

Huyo Zuchu sasa ni hamna kitu , wimbo wa sukari mara dance video , mara audio , mara rylics , mara yupo studio,mara anachomwa sindano na madaktari , mara anatembea yaani haielwek .....ulaya hawafanyi huu ujinga , accnt ipo official Kwa ajili ya mziki ,social life zitapostiwa na accnt zingine na watu huko , ...

Nawaza labda ni njaa Kali hvyo wanategemea hzo view wapate angalau mkate wa kila sku but some how mtindo huo unapoteza consistency ya accnt regards ina subscriber wengi.....

Huu mtindo aliuanza Diamond lakn naona now kapunguza Ila vijana wake wameufakamia Kwa fujo ,sio rayvanny , hata harmonize naye unakuta anatembea kwenye hotel anajirekodi anaweka ....

Ifikie hatua wabadilike , au ndo kutaka kuvunja rekodi ya view wengi huku content nyingi ni utopolo mtupu.....
 
Kwani kila kitu lazima ukopi ulaya?
 
ulaya ndio kwa kina Adelle !!!..
hao kweli hawana hayo mambo sana ila Marekani wapo active sana kwenye hizo issues maana ndio njia pekee inawafanya wasanii kujenga interest ya mashabiki kwao mbali na muziki, pia inawasaidia kujenga brand zao na kuongeza content kwenye platforms zao brother
 
Hili Jambo linanishangaza Sana , sijaona wasanii wengine hasa wa nje , wakiweka video tofaut na official music kwenye official accnt zao za YouTube , huku Tz ni fujo tupu , unakuta msanii anaoga bafuni anajirekodi anaweka kwenye accnt yake ya YouTube .....

Huyo Zuchu sasa ni hamna kitu , wimbo wa sukari mara dance video , mara audio , mara rylics , mara yupo studio,mara anachomwa sindano na madaktari , mara anatembea yaani haielwek .....ulaya hawafanyi huu ujinga , accnt ipo official Kwa ajili ya mziki ,social life zitapostiwa na accnt zingine na watu huko , ...

Nawaza labda ni njaa Kali hvyo wanategemea hzo view wapate angalau mkate wa kila sku but some how mtindo huo unapoteza consistency ya accnt regards ina subscriber wengi.....

Huu mtindo aliuanza Diamond lakn naona now kapunguza Ila vijana wake wameufakamia Kwa fujo ,sio rayvanny , hata harmonize naye unakuta anatembea kwenye hotel anajirekodi anaweka ....

Ifikie hatua wabadilike , au ndo kutaka kuvunja rekodi ya view wengi huku content nyingi ni utopolo mtupu.....
Kwani wakiweka video za matembezi washabiki wao wawaone wewe inakupunguzia nini?

Unawalipia bundle?
 
As long wanacho kifanya kina wabrand na kuwaingizia hela sizani kama kuna ubaya.
 
Kwa hiyo kama ulaya hawafanyi na bongo wasifanye... Acha watu waish maisha yao sio maisha ya watu wa ulaya. Inaonekana unapenda kuiga iga sana vya wazungu mkuu.
Dunia ya Mungu vitu vya mzungu , huwez kumkwepa mzungu , hata YouTube ni ya mzungu na matumizi sahihi mzungu ndo anayajua
 
Hili Jambo linanishangaza Sana , sijaona wasanii wengine hasa wa nje , wakiweka video tofaut na official music kwenye official accnt zao za YouTube , huku Tz ni fujo tupu , unakuta msanii anaoga bafuni anajirekodi anaweka kwenye accnt yake ya YouTube .....

Huyo Zuchu sasa ni hamna kitu , wimbo wa sukari mara dance video , mara audio , mara rylics , mara yupo studio,mara anachomwa sindano na madaktari , mara anatembea yaani haielwek .....ulaya hawafanyi huu ujinga , accnt ipo official Kwa ajili ya mziki ,social life zitapostiwa na accnt zingine na watu huko , ...

Nawaza labda ni njaa Kali hvyo wanategemea hzo view wapate angalau mkate wa kila sku but some how mtindo huo unapoteza consistency ya accnt regards ina subscriber wengi.....

Huu mtindo aliuanza Diamond lakn naona now kapunguza Ila vijana wake wameufakamia Kwa fujo ,sio rayvanny , hata harmonize naye unakuta anatembea kwenye hotel anajirekodi anaweka ....

Ifikie hatua wabadilike , au ndo kutaka kuvunja rekodi ya view wengi huku content nyingi ni utopolo mtupu.....
Ni kukosa ubunifu. At least hata wangeweka kwa mfumo wa reality show ingeleta maana fulani ila hizo content mahala pake ni insta stories
 
Back
Top Bottom