Siasa acha iitwe siasa: Ukiinuliwa na Mungu daima utabaki kuwa juu lakini ukiinuliwa na mwanadamu ipo siku atakushusha chini

Sijaelewa. Hapa kainuliwa au kashushwa?

Kashushwa namna gani? Kainuliwa namna gani?

Honestly, sijaelewa. Video hii haielezi yote. Haijibu maswali haya. Fafanua tafadhali...
 
Back
Top Bottom