Video: Kocha wa Yanga na Wachezaji wa yanga walivyomfanyia fujo Mwamuzi baada ya mchezo

Refa aliumudu vizuri mchezo wa jana vizuri sana, kwa hili tff naomba huyu kocha na baadhi ya wachezaji wa yanga walihusika wachukuliwe hatua kali hakuna timu iliyojuu ya sheria, hawa yanga ndio walimpiga refa kwenye mechi yao na azam miaka ya nyuma
 
Lile tukio la Yanga dhidi ya Azam kumshambulia Nkongo lilikuwa la aibu kubwa sana. Waamuzi wetu nao ovyoo yule alimpiga mwenzao kiasi kile Bw. Mdogo Stephen Mwasika naye siku hizi ni Mwamuzi. Namuombea sana siku yeye pia akutane na kichapo cha aina ile ile ajue Dunia ni duara.
 
Hii yanga ukiangalia wanatumia maguvu sana kucheza ili wapate matokeo sasa wamekutana na wezao wanatumia maguvu vilevile wanapokosa wanachokitarajia wanahamishia kwa refa, hii ni aibu kwa timu yenye jina kubwa kufanya vitu vya ligi daraja la pili
 
Sahihi kabisa,
IMG-20210214-WA0019.jpeg
 
Kiukweli Kwenye tukio la jana, Cedric Kaze hakufanya fujo kwa marefa isipokuwa alienda kupeana mkono na marefa, ishara ya fair play,na marefarii walilikubali hilo.

Ila kwa vitendo visivyo vya kiungwana dhidi ya refarii vilifanywa na Kaseke na Lamine Moro.

Hvyo TFF wana kila sababu ya kuwaadhibu Lamine na Kaseke kwa vitendo vyao visivyo vya kiunamichezo.

Na kwa Yanga hii tabia huwa ipo sana, ni vile tu ni timu kubwa ndo maana sometime wanachukuliwa poa poa, maana kuna nyakati walishawahi kumdunda mwamuzi Israel Nkongo katika mechi dhidi ya Azam dimba la Mkapa.
 
Refa aliumudu vizuri mchezo wa jana vizuri sana, kwa hili tff naomba huyu kocha na baadhi ya wachezaji wa yanga walihusika wachukuliwe hatua kali hakuna timu iliyojuu ya sheria, hawa yanga ndio walimpiga refa kwenye mechi yao na azam miaka ya nyuma
Kitendo cha kuzozana na refa hakikubaliki kwenye soka, lakini kusema refa wa Jana alimudu mchezo ni kuikosea heshima kada ya waamuzi duniani.
 
Back
Top Bottom