tabia ya hawa trafiki kufanya mambo ya ajabu ajabu barabarani yanadhalilisha jeshi la polisi. Hii inaendana kinyume na miiko ya kazi kabisa. Wengine mtapinga ila hii tabia imekuwa too much sasa kwa trafiki. Itapelekea hadi nidhamu kushuka.
Kwenye hii video nimeshangazwa sana na kusikitika.
WATU wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashitaka ya kuendesha Chanel ya Utube bila kuwa na leseni.
Washitakiwa hao Adamu Thabit( 28) kutoka kampuni ya MMJ Steel Ltd na Mkurugenzi wa Bongo News YouTube, Heri Said(29).
Washitakiwa hao wamesomewa mashtaka yao na...
Brother ifunze ku balance shobo basi yaani haihitaji hata mwanasaikolojia akiangalia hiii video kujua kwamba una chuki kwa simba iliyopitiliza, Magori anaongea vitu vya maaaa unajifanya uko bize na simu mara pc huku ukimeza fundo za mate zenye mchanganyiko wa hasira na wivu, pumbavu
Hata...
Shirika la Habari la Aśvaka limeripoti kuwa vijana watatu wamefariki baada ya kudondoka kutoka kwenye ndege walipokuwa wakijaribu kuondoka kutoka Kabul, Afghanistan.
Mapema leo, mamia ya raia wa Afghanistan walionekana wakiwa kwenye uwanja wa ndege wakitaka kupanda kwa nguvu kwenye ndege ya...
Kwakweli Anko magu hakua perfect ila ni Rais ambaye watanzania wengi tulimpenda sana.
Alitufundisha uzalendo,kua proud na utanzania wetu hata kama sisi ni nchi maskini. Hakupenda watanzania waonekane wanyonge sehemu nyingine, aliipenda Africa yake, hakuwaona wazungu kama ndio kila kitu.
He was...
Wengi tunakumbuka miaka ya nyuma Diamond ndie alikuwa msanii pekee aliekuwa ana promote video zake kwenye mitandao ya kijamii kwa kulipia, hiii ikapelekea kuongezeka kwa umaarufu mpaka sasa imefikia hatua kaacha ku promote kwa malipo maana kwa sasa anafaidi mavuno ya mashabiki wapya aliowapata...
Huyu ni daktari mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 50 katika nyanja ya tiba za asili, na haya ni mawazo yake juu ya chanjo ya Corona. Kwakuwa kila mtu ana uhuru wa maoni, basi naomba tumsikiliza ana nini cha kutueleza. Video ipo chini
Video ya ngono iki leak mwanamke aliyomo kwenye hiyo video huwa haangaliwi vizr na jamii yake tofauti na mwanaume aliyehusika pia kwenye hiyo video.
Mwanamke atataniwa kwa aina ya matusi na utani na sometimes inaweza kumpelekea msongo wa mawazo mwisho kujiua lakini kwa upande wa mwanaume yeye...
Hivi mshikaji hela anazo invest kwenye videos zake zinarudigi kweli?
Mfano kwenye inama, Waah!! Unaona kabisa hapa hela ilotumika si ya kitoto...
Video ya IYO ndio balaa, kwanza kuna scenes karibu 30 mule, kuanzia wanafunzi darasani, magodoro, club, wadada wawili, masela wawili, mavazi...
Napata shida sana kuangalia clips za marudio ya hii match. Napata shida kuona mpira ukichezwa kama vita na ugomvi. Najiuliza faida ya rafu hizi ni nini. Mbali na upinzani wa timu lakini wachezaji hawa ni washikaji na wote wanapigania uzima ili kujenga maisha yao. Sasa inakuwaje jitu linacheza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.