video

  1. M

    JamiiForums Tanzania Video: Kim Jong Un akiangalia makomandoo wake wakivunja matofali

    Kiongozi wa North Korea pamoja na maafisa wa juu serekalini na jeshini wakiangalia makomandoo wakionesha ukakamavu na mbinu za mapigano ya aina yake. Maonesho hayo ya kipekee ni yalijumuisha uvunjaji wa matofali pamoja na vigae. Ila jeshi la Korea kaskazini ni kakamavu.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Uzembe wa simba kuhusu ulinzi wa CEO Barbara utawagharimu, acheni mazoezi ya wazi kila siku

    kuna kitu sijajua hadi leo simba kinanishangaza, sijui ni uzungu mwingi au vipi? kwanza ni kwanini mazoezi ya simba kila siku ni ya wazi? si muende hata Gymkhana palipojificha? Huyu CEO kule zanzibar watu walimshika matiti na makalio akakimbilia polisi hadi leo kesi hakuna na kwa sasa maadui...
  3. C

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Microphone for live streaming, video / Audio conferencing, podcasting, etc

    Microphone for live streaming, video / Audio conferencing, podcasting, etc New condenser microphone Noise/ echo cancellation YouTube, Skype, zoom meetings, podcast, etc Just plug & play OFFER: 99,000 /- COD: Dar es Salaam/Kibaha but we can ship to all regions. Call: +255 658 700 510
  4. JamiiForums Tanzania Video: Kumbe kabla Rais Samia kwenda kwenye UNGA - New York , waziri Liberata Mulamula alitangulia mwezi mmoja kabla. Why..?

    You may not like this. But it happened... Kumbe bwana, kabla ya Rais Samia Hassan kuhudhuria summit ya kikao cha UNGA, NewYork wiki kadhaa zilizopita, balozi Liberata Mulamula, waziri wa mambo ya kigeni alitangulia mwezi mmoja kabla.... Shida siyo Balozi Mulamula kuwahi kutangulia mwezi mmoja...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA waibua ufisadi kwenye tozo za mafuta ya petrol, diesel & kerosene. Bei badala ya kushuka ndiyo imepanda

    1. Hii serikali ni ya ajabu sana. Inasema uongo mchana kweupe. 2. Yaani kiongozi anatoka anasema tumepunguza tozo hii na ile ili kupunguza bei za nishati ya mafuta ya petrol, diesel na ya taa (kerosene). 3. Lakini cha ajabu, badala ya bei kupungua ndiyo zimeongezeka kwa wastani wa shilingi...
  6. JamiiForums Tanzania Video ya Watanzania waliotekwa Malawi yavuja, waomba msaada

    Hii ni video ya Madereva waliotekwa na kufichwa sehemu kusiko julikana huko malawi Iko hivi Madereva wa malori wa Malawi (sio wa Tanzania) wana mgomo wa kutaka kuongezewa mishahara. Katika hali hiyo, hayatakiwi malori yaonekane yakipita barabarani. Kwa hivyo wameteka malori yanayopita yote...
  7. JamiiForums Tanzania Kesi ya ugaidi wa Mbowe na wenzake: Nini maana ya "submission?". Je, ni kweli kuwa DPP ana mamlaka ya kuingilia majukumu ya mahakama?

    Jana tarehe 29/10/2021 mashahidi wa pande mbili wamemaliza kutoa ushahidi wao katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi ya tuhuma za ugaidi inayomkabili m/kiti wa CHADEMA taifa Mh. Freeman Aikael Mbowe na wenzake watatu... Kesi hii ndogo imezaliwa baada ya upande wa utetezi kupinga kupokelewa...
  8. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ukitumia hii dawa yenye mchanganyiko wa mizizi sita, utavuta wateja kwenye biashara yako mpaka watu washangae (Tazama na sikiliza hii video)

    Na Elivius Athanas. 0745937016. Kifungua kinywa cha asubuhi ni chai lakini kifungua kinywa cha waungwana ni salamu. Salamu kwenu wanafamilia wa JamiiForums, ni imani yangu kuwa mu wazima wa afya na poleni sana mashabiki wa Simba damudamu, kwa shambulizi la risasi moja ya kichwa, mliyofyatuliwa...
  9. JamiiForums Tanzania Unaweza kupata hela kwa kuangalia video online?

    Wataalamu wa mitandao naomba mnijibu Kama ni kweli inawezekana kupata hela kwa kuangalia video online. Nimeuliza kwa sababu Kuna dada flani(rafiki yangu) alikuwa anapost picha za screenshots status zikionyesha ameingiza hela kwa kuangalia video online nikamuuliza kweli unapata hela akasema...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya kusambaa video ya msanii maarufu kuathiika na madawa, huu ndio ushauri wangu

    Kujificha kutumia madawa ni kama kupanda mnazi chooni, huo mnazi utaota kwa kutumia mikojo na mavi kama mbolea, kuna siku utaonekana bila kificho. Haya madawa aidha uanze kuyatumia mwenyewe, ufundishwe ama kutumia visingizio kwamba ulishinikizwe na marafiki au uliyatumia kuondoa stress, nk...
  11. JamiiForums Tanzania Kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake imetufumbua macho. Mahojiano ya polisi na watuhumiwa yawe yanarekodiwa

    Tuhuma za askari polisi kutesa na kupiga watuhumiwa zimekithiri hapa Tanzania. Iwe ni kwa kesi ndogo hadi kubwa linapokuja suala la kuandika maelezo ya onyo ili yatumike mahakamani, watuhumiwa wanalalamika kupigwa na kuteswa. Na baadhi yao wamepata ulemavu na hata kupoteza maisha. Kesi ya...
  12. JamiiForums Tanzania INAUZWA Mobile Phone Video Magnifier for sale

    Kwa Tshs 25,000 Location Bunju, 0625750755
  13. JamiiForums Tanzania Video ya tik tok mtu anayevunjwa shingo je nikweli?

    Tik tok Kuna video imesambaa jamaa anamvunja mwenzake shingo ambae kalala anaonekana amekufa halafu baada ya kuivuta shingo anainyonga nyonga watu wengi wameitag na kuonyesha reaction zao sambamba na hiyo video.
  14. JamiiForums Tanzania Voice video: Tundu Lissu afunguka akiuchambua ushahidi wa shahidi No. 1 wa Jamhuri ACP Ramadhani Kingai

    NOTE: å Nadhani hii ndiyo imefanya jamhuri kuanzisha fujo leo mahakamani ili tu kuzuia usikilizwaji wa kesi inayomkabili m/kiti wa CHADEMA (taifa) ndugu Freeman Mbowe ushindwe kuendelea... å Ni jambo jema kuwa haya mambo yanafanyika mchana kweupe kila mtu akiona. Na uzuri ni kuwa hapa ni...
  15. JamiiForums Tanzania Neural link - Smartphone itakayopandikizwa ndani ya fuvu lako la kichwa, itafanyakazi wirelessly

    Video ni hii hapo chini, kama una muda wakutosha na una bando na lugha ya malkia haikupigi chenga, basi itazame. Siku zijazo, taarifa zako zote binafsi na za kibenki zitatunzwa humo, na manunuzi pia unaweza ukayafanya kwa kutumia kifaa hicho kama ATM kadi yako. Kutumia pesa cash kufanya...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ifahamu historia ya uchumi wa Kenya kulingana na video ya kitaalam ya uchumi

    Sio nchi nyingi za kiafrika ambazo uchumi wao unafanyiwa research na hata kuandaliwa video na wataalam wa uchumi mabeberu.
  17. JamiiForums Tanzania Mama Kimbo

    Hongera sana kwa kujiweka fit
  18. JamiiForums Tanzania Video ya mzee inayotrend amebeba mfuko na amevaa kanzu amepotelea hewani kwenye kontena Kenya ni ya kweli?

    Kuna video inayostua Sana inamuonyesha mzee akiwa sokoni anatembea huku kamera ya mwanahabari ikirekodi taarifa nyingine isiyohusiana na huyo mzee Ila Cha kushtusha mzee anapotea Kama upepo ni video inayotisha. Mwenye nayo aiweke namimi najaribu kuiweka.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Video: Waziri wa Afya alipohimiza wanaume kuwafikisha kileleni wanawake

  20. JamiiForums Tanzania Anatumiwa video za girlfriend wake WhatsApp. Je, afanye maamuzi gani?

    Kuna mambo mengine ya ajabu sana aisee, kuna muhuni anamtumia rafiki yangu videos nyingi 50 kidogo, akiblokiwa anatuma kwa namba nyingine, namba za Whatsapp anazotumia ni za china , india, urusi, n.j binafsi nlicheki video mbili tu kwa lengo la uchunguzi Ili nitoe wazo au msaada ila nilitoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…