Kuna uwezekano wa kurekodi video kwenye simu huku Audio ikiendelea ku play in background?

SEASON 5

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
481
1,000
Naombeni msaada ndugu zangu,natumia samsung s6 edge plus,tatizo nililo nalo ni wakati wa kirekodi video huwa natamani audio iwe ina play lakini matokeo yake nikiplay audio Nikigusa video record Ile audio ina acha kuendelea kuimba.

Hii inanifanya nashndwa kucheza huku nikijirekodi,nataka kujirekodi nikicheza na audio itoke kwenye simu na sio kwenye redio yangu ya ndani, wenye ujuzi wa namna ya kufanya ili kuniwezesha kufanya hili nitashukuru.

Asante.
 
Naombeni msaada ndugu zangu, natumia samsung s6 edge plus,tatizo nililo nalo ni wakati wa kirekodi video huwa natamani audio iwe ina play lakini matokeo yake nikiplay audio Nikigusa video record Ile audio ina acha kuendelea kuimba.

Hii inanifanya nashndwa kucheza huku nikijirekodi,nataka kujirekodi nikicheza na audio itoke kwenye simu na sio kwenye redio yangu ya ndani, wenye ujuzi wa namna ya kufanya ili kuniwezesha kufanya hili nitashukuru.

Asante.
 
niliwahi kuona hii feature kwenye sony experia flani hivi niliwahi itumia huko zamani,sijajua kwenye s6 kama yawezekana
 
Jaribu kwanza mi

Mimi nimewahi kuiona kwenye tecno P2
yawezekana,maana niliwahi kuwa na tecno m3 ilikua ikikubali app flani nzuri sana,ila nmekuja otafuta ile app nitumie kwenye hizi latest phones ikanigomea..
 
Back
Top Bottom