video

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa machinga Dar wakumbana na vurugu wakiwapanga wenzao

    Viongozi wa Machinga Dar es Salaam walijitolea kuwapaga wamachinga wenzao wa Msimbazi, Kariakoo ili kutii amri ya Serikali ya kutofanya biashara maeneo yasiyo rasmi. Baadhi ya machinga wameonesha upinzani kiasi cha kuzua vurugu ambapo polisi walilazimika kuingilia kati ili kuwaokoa viongozi...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Video: Lalamiko la Kocha wa Yanga halijaja "gafla" limeandaliwa. FF wasiliache lipite tu

    Baadhi ya viongozi wa timu hizi kubwa hasa Simba na Yanga wamekuwa na desturi ya kutengeneza mazingira ya kuonyesha kuwa wanaonewa pale mambo yanapoanza kuwaendea kombo kwenye mashindano mbali mbali kwa lengo la kutafuta huruma ya Mashabiki wao. Huu mkakati umesadia kuleta amani ya mda ndani ya...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Video: Pongezi kubwa kwa hawa Askari waliomuokoa kijana aliyetaka kujirusha kutoka juu ya mnara

    Angalia hii video halafu tia neno la pongezi kwa hawa Askari.
  4. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, hizi sauti za Sabaya kwenye hii video ni za kweli au ni za kutengeneza?

    Haya ni mazungumzo ya simu baina ya anaedaiwa kuwa ni Godbless Lema na Ole Sabaya, Je, hizi sauti ni authentic?
  5. DissDotCom

    JamiiForums Tanzania Tumeshazoea Maisha Bila Video za Porn Tanzania

    Kiuweli ni kama siamini hivi ila ndio ishazoeleka tena kwa sasa, kila siku najaribu kubrowse kwenye sites za ngono kuona labda mzigo umeachiwa lakini wapiiiii? Ombi letu kama mlivyofanikiwa kufungia site za ngono tunaomba mdhibiti na wale wa makampuni ya simu wanaotutumia sms bila mpangilio...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Video: Kim Jong Un akiangalia makomandoo wake wakivunja matofali

    Kiongozi wa North Korea pamoja na maafisa wa juu serekalini na jeshini wakiangalia makomandoo wakionesha ukakamavu na mbinu za mapigano ya aina yake. Maonesho hayo ya kipekee ni yalijumuisha uvunjaji wa matofali pamoja na vigae. Ila jeshi la Korea kaskazini ni kakamavu.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Uzembe wa simba kuhusu ulinzi wa CEO Barbara utawagharimu, acheni mazoezi ya wazi kila siku

    kuna kitu sijajua hadi leo simba kinanishangaza, sijui ni uzungu mwingi au vipi? kwanza ni kwanini mazoezi ya simba kila siku ni ya wazi? si muende hata Gymkhana palipojificha? Huyu CEO kule zanzibar watu walimshika matiti na makalio akakimbilia polisi hadi leo kesi hakuna na kwa sasa maadui...
  8. C

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Microphone for live streaming, video / Audio conferencing, podcasting, etc

    Microphone for live streaming, video / Audio conferencing, podcasting, etc New condenser microphone Noise/ echo cancellation YouTube, Skype, zoom meetings, podcast, etc Just plug & play OFFER: 99,000 /- COD: Dar es Salaam/Kibaha but we can ship to all regions. Call: +255 658 700 510
  9. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Video: Kumbe kabla Rais Samia kwenda kwenye UNGA - New York , waziri Liberata Mulamula alitangulia mwezi mmoja kabla. Why..?

    You may not like this. But it happened... Kumbe bwana, kabla ya Rais Samia Hassan kuhudhuria summit ya kikao cha UNGA, NewYork wiki kadhaa zilizopita, balozi Liberata Mulamula, waziri wa mambo ya kigeni alitangulia mwezi mmoja kabla.... Shida siyo Balozi Mulamula kuwahi kutangulia mwezi mmoja...
  10. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waibua ufisadi kwenye tozo za mafuta ya petrol, diesel & kerosene. Bei badala ya kushuka ndiyo imepanda

    1. Hii serikali ni ya ajabu sana. Inasema uongo mchana kweupe. 2. Yaani kiongozi anatoka anasema tumepunguza tozo hii na ile ili kupunguza bei za nishati ya mafuta ya petrol, diesel na ya taa (kerosene). 3. Lakini cha ajabu, badala ya bei kupungua ndiyo zimeongezeka kwa wastani wa shilingi...
  11. britanicca

    JamiiForums Tanzania Video ya Watanzania waliotekwa Malawi yavuja, waomba msaada

    Hii ni video ya Madereva waliotekwa na kufichwa sehemu kusiko julikana huko malawi Iko hivi Madereva wa malori wa Malawi (sio wa Tanzania) wana mgomo wa kutaka kuongezewa mishahara. Katika hali hiyo, hayatakiwi malori yaonekane yakipita barabarani. Kwa hivyo wameteka malori yanayopita yote...
  12. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Kesi ya ugaidi wa Mbowe na wenzake: Nini maana ya "submission?". Je, ni kweli kuwa DPP ana mamlaka ya kuingilia majukumu ya mahakama?

    Jana tarehe 29/10/2021 mashahidi wa pande mbili wamemaliza kutoa ushahidi wao katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi ya tuhuma za ugaidi inayomkabili m/kiti wa CHADEMA taifa Mh. Freeman Aikael Mbowe na wenzake watatu... Kesi hii ndogo imezaliwa baada ya upande wa utetezi kupinga kupokelewa...
  13. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ukitumia hii dawa yenye mchanganyiko wa mizizi sita, utavuta wateja kwenye biashara yako mpaka watu washangae (Tazama na sikiliza hii video)

    Na Elivius Athanas. 0745937016. Kifungua kinywa cha asubuhi ni chai lakini kifungua kinywa cha waungwana ni salamu. Salamu kwenu wanafamilia wa JamiiForums, ni imani yangu kuwa mu wazima wa afya na poleni sana mashabiki wa Simba damudamu, kwa shambulizi la risasi moja ya kichwa, mliyofyatuliwa...
  14. Zacht

    JamiiForums Tanzania Unaweza kupata hela kwa kuangalia video online?

    Wataalamu wa mitandao naomba mnijibu Kama ni kweli inawezekana kupata hela kwa kuangalia video online. Nimeuliza kwa sababu Kuna dada flani(rafiki yangu) alikuwa anapost picha za screenshots status zikionyesha ameingiza hela kwa kuangalia video online nikamuuliza kweli unapata hela akasema...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusambaa video ya msanii maarufu kuathiika na madawa, huu ndio ushauri wangu

    Kujificha kutumia madawa ni kama kupanda mnazi chooni, huo mnazi utaota kwa kutumia mikojo na mavi kama mbolea, kuna siku utaonekana bila kificho. Haya madawa aidha uanze kuyatumia mwenyewe, ufundishwe ama kutumia visingizio kwamba ulishinikizwe na marafiki au uliyatumia kuondoa stress, nk...
  16. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake imetufumbua macho. Mahojiano ya polisi na watuhumiwa yawe yanarekodiwa

    Tuhuma za askari polisi kutesa na kupiga watuhumiwa zimekithiri hapa Tanzania. Iwe ni kwa kesi ndogo hadi kubwa linapokuja suala la kuandika maelezo ya onyo ili yatumike mahakamani, watuhumiwa wanalalamika kupigwa na kuteswa. Na baadhi yao wamepata ulemavu na hata kupoteza maisha. Kesi ya...
  17. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mobile Phone Video Magnifier for sale

    Kwa Tshs 25,000 Location Bunju, 0625750755
  18. Superbug

    JamiiForums Tanzania Video ya tik tok mtu anayevunjwa shingo je nikweli?

    Tik tok Kuna video imesambaa jamaa anamvunja mwenzake shingo ambae kalala anaonekana amekufa halafu baada ya kuivuta shingo anainyonga nyonga watu wengi wameitag na kuonyesha reaction zao sambamba na hiyo video.
  19. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Voice video: Tundu Lissu afunguka akiuchambua ushahidi wa shahidi No. 1 wa Jamhuri ACP Ramadhani Kingai

    NOTE: å Nadhani hii ndiyo imefanya jamhuri kuanzisha fujo leo mahakamani ili tu kuzuia usikilizwaji wa kesi inayomkabili m/kiti wa CHADEMA (taifa) ndugu Freeman Mbowe ushindwe kuendelea... å Ni jambo jema kuwa haya mambo yanafanyika mchana kweupe kila mtu akiona. Na uzuri ni kuwa hapa ni...
  20. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Neural link - Smartphone itakayopandikizwa ndani ya fuvu lako la kichwa, itafanyakazi wirelessly

    Video ni hii hapo chini, kama una muda wakutosha na una bando na lugha ya malkia haikupigi chenga, basi itazame. Siku zijazo, taarifa zako zote binafsi na za kibenki zitatunzwa humo, na manunuzi pia unaweza ukayafanya kwa kutumia kifaa hicho kama ATM kadi yako. Kutumia pesa cash kufanya...
Back
Top Bottom