Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Chris Embarambamba kupimwa akili kutokana na uchezaji wake kwenye video wenye kutia shaka

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,864
155,820
Watetezi wa haki za binadamu nchini Kenya wametaka mwanamuziki kutoka kabila la Kisii nchini humo afanyiwe uchunguzi wa akili kutokana na matukio ambayo amekuwa akiyafanya kwenye video zake.

Uchunguzi huo unatarajiwa kufanyika katika hospitali ya magonjwa ya akili ya Mathari.

Iwapo atagundulika kuwa na akili timamu anaweza kujikuta akiburuzwa mahakamani kwa kosa la kuyahatarisha maisha yake na watu wengine.

Screenshot_2021-02-28-12-55-01-93.jpg
 
Hehehe!! Jamaa anachekesha ila muacheni bana kwa raha zake maana dunia hii tunapita, ukiwa na fursa ya kufurahi...wewe jiachie tu.
Inaruhusiwa mara moja moja unakua kama chizi vile....haya maisha hayana ramani.....ukivuta cha Arusha basi jiachie wakushangae.
 
Dah.., kwani Hana ndugu na watoto, ambao akiindoka atawaachia majonzi na sikitiko? Pia huyu ni nguvu kazi na rasilimali ya Taifa, kifo chake hakitamwathiri yeye peke yake tu, ila hata sisi mashabiki wa kazi zake za sanaa.
 
Wapi umeona akihatarisha maisha, kuparamia ng'ombe?? Ana tofauti gani na wale jamaa kwenu huko husafiria ungo??? Heheehehe!!!
 
Hatuwasemi mimi na Nani?
Iangalie hii picha, je haijatoka www.kenyanlist.com?
Kwa hiyo ni nyie wa kujisema wenyewe na huyo mtu wenu.
Ngoja nikupe chanzo cha nilikoipata hii maneno.

Wewe na yeyote anayemsema, haijalishi hata kama anasemwa na sijui hao Kenyalist au nani, kimsingi ilipaswa mumuache kwa raha zake, halafu sijaelewa mbona unasema natokwa povu, kwa lipi haswa.
 
Back
Top Bottom