Uzalendo: Video ikionesha wananchi wakisafisha barabara baada ya lori kumwaga mafuta huko Singida

Chadema uandishi wenu uko very shallow

Hilo tukio lilikuwa singida eneo gani speciffically ? na lilitokea lini?

Bila hayo majibu huo ni uzushi kama uzushi mwinhine picha yaseza kuwa ya miaka huko nyuma na wala ikawa sio singida maana kwa uzushiChadema mna Phd
 
Mpaka roho inauma. Huyu jamaa kawasababishia matatizo mengi sana watanzania
Wanaelewa Ila hawana jinsi(high-risk takers)😭😭
mkuu mie naona yuko sawa tu maana kuna video ilikuwa inatembea ile jamaa zake wanamwambia achukue fomu ya uraisi anasema mimi nikiwa raisi watu watalimia meno

ila hatukuelewa tukampa sasa leo mtu anahatarisha uhai wake kuogopa kuendelea kulimia meno.
 
Ninayo hiyo video, na miongoni mwa waliokuwa wanamshauri alimtumbua baada ya kuingia bungeni akiwa amelewa chakariiii😂😂
 
Kuna watanzania ni pumbavu sana maana hawajifunzi.
Ni umasikini tu hakuna kitu kingine!!!maskini siku zote huwa hafikirii sana risk juu ya kile kinachoweza kutokea na kuhatalisha maisha yake, na endapo likitokea anakwambia ni mipango ya mungu!!ajari kama hiyo ikitokea mitaa ya ostabey/masaki, huwezi ukaona wakazi wa kule wakifanya hayo!!!!
 
mkuu mie naona yuko sawa tu maana kuna video ilikuwa inatembea ile jamaa zake wanamwambia achukue fomu ya uraisi anasema mimi nikiwa raisi watu watalimia meno

ila hatukuelewa tukampa sasa leo mtu anahatarisha uhai wake kuogopa kuendelea kulimia meno.
Naomba hiyo fideo Boss
 
hao watu tunaomba wakamatwe maramoja, jeshi la polisi mko wapi. Kamateni hao watu tumechoka kutoa salamu za rambirambi na kusikitika. Kamata hao watu peleka jela.
Polisi wapo hapohapo,nao wanavizia wauziwe kwa bei poa waweke kwenye zile Gari zao za binafusi,wanaxotumiaga kujificha porini ili wapige tochi.
 
nimeandika uzi wa kutunga sheria ya kifungo cha maisha jela.
Mkuu wasameheni tu,wapewe elimu tu maana maisha yamekuwa magumu sana awamu hii.

Hapo kama wakifanikiwa wanapigapo hela hata ya kuishi na familia zao,sio mbaya kufa huku unatafuta mkuu,wabongo wako tayari kwa lolote.

Maandamano tu ndo tunaogopa Mkuu,maana serikali haikawii kuleta jeshi na vifaru.
 
Chadema uandishi wenu uko very shallow

Hilo tukio lilikuwa singida eneo gani speciffically ? na lilitokea lini?

Bila hayo majibu huo ni uzushi kama uzushi mwinhine picha yaseza kuwa ya miaka huko nyuma na wala ikawa sio singida maana kwa uzushiChadema mna Phd
YEHODAYA kumbe wewe Ni msingidani.
Hili tukio hukuliona kwenye magazeti na tiivii mpwa?
 
Ni umasikini tu hakuna kitu kingine!!!maskini siku zote huwa hafikirii sana risk juu ya kile kinachoweza kutokea na kuhatalisha maisha yake, na endapo likitokea anakwambia ni mipango ya mungu!!ajari kama hiyo ikitokea mitaa ya ostabey/masaki, huwezi ukaona wakazi wa kule wakifanya hayo!!!!
It is either death by starvation later or by fire today.
 
Back
Top Bottom