uzoefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu wa Kutisha kwa Timu ambazo huenda Kucheza Mechi Khartoum Sudan

    1. Mapokezi ya Uwanjani huwa ni ya Kikatili 2. Wachezaji Kulishwa Sumu ni Kawaida sana 3. Basi mtakalotumia kupigwa Mawe si jambo geni 4. Mechi ikiwa inaendelea Wachezaji wenu muhimu Kupigwa Chupa au Kuvamiwa si la Kushangaa 5. Timu ikiwa inaenda Vyumbani wakati wa Mapumziko Wachezaji...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Vijana kunufaika na fursa za mafunzo ya uzoefu wa kazi na uanagenzi

    VIJANA KUNUFAIKA NA FURSA ZA MAFUNZO YA UZOEFU WA KAZI NA UANAGENZI. Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi Taifa Cde. Victoria Mwanziva amefika Wizara ya Vijana, Kazi na Ajira na kukutana na Mkurugenzi wa Ajira na ukuzaji ujuzi Ndugu. Ally Msaki; Lengo likiwa ni kuona namna gani vijana...
  3. Omari Frank

    JamiiForums Tanzania SoC02 Misingi ya ukuaji kiuchumi kwa mtazamo na uzoefu wangu

    Mada Kuu: MISINGI YA UKUAJI KIUCHUMI KWA MTAZAMO NA UZOEFU WANGU. Nimefurahi kupata nafasi ya kueleza jambo kuhusu uchumi kwasababu binafsi nimejikita katika shughuli za kiuchumi kwa muda mrefu hivyo basi ninaweza kuwa na jambo la kusema kwa wadau wa maendeleo na wanajamii Forums. Kimsingi...
  4. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Ambao mlishawahi kudate na watu wenye ulemavu tupeni uzoefu

    Katika circle yangu Sijawahi kuona watu wakiwa na mahusiano na watu wenye ulemavu wa aina yoyote. Si albino wala vilema ila hua nakutana nao wenye watoto. Karibuni mtupe mrejesho mliowahi ilikuaje na mlidumu muda upi
  5. Mamaya

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na Honda Stream

    namba mwenye uzoef na hii gari, naona inafafana na toyota wish, nimeiwazia toyota wish, ila sijaipend pua yake/face, naona honda stream inavutia zaidi. Naomba mwenye uzoefu atiririke hapa, ili yafanyike maamuzi sahihi
  6. bright pledge 255

    JamiiForums Tanzania AVN inanisumbua, nifanyaje?

    Habarini ndugu, mimi nimemaliza diploma ya [clinical medicine] CO mwaka jana nahitaji kwenda kusoma degree but AVN number inasumbua kuipata kwenye mtandao nifanyeje ,ama tatizo linaweza kuwa ni nini
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Reading in between the lines & listening in between the words. Ikitokea kuna kitu amekinoti lakini hakukisema, ukikijua kuna ubaya tumseme?

    Wanabodi, Hili ni Bandiko la swali, kuhusu moja ya zile mada ngumu za psychoanalysis, ambayo hoja zake ni vitu vya kufikirika tu na havijatamkwa rasmi, lakini vitu hivyo, vikisemwa na kujadiliwa kwa uwazi, vitalisaidia taifa. Watu tumeubwa tofauti tofauti, wengine ni good observers na wengine...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ubunge EALA, Wito Kwa CCM, Msiangalie Ukwasi, Tuteulieni, Wazalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Wenye Uwezo na Uzoefu wa Kimataifa Kutuwakilisha Ipasavyo

    Kuna msemo usemao, Tanzania itajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno!. Hao wenye moyo ni wazalendo wa kweli wa nchi yetu. Tangu baada ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, amekufa na Azimio lake la Arusha lililoweka miiko ya uongozi, sifa ya uongozi wa umma enzi za Mwalimu ilikuwa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Afrika inaweza kujifunza nini kutokana na uzoefu wa China?

    Na Umaru Napoleon Koroma, Katibu mkuu wa Chama cha Umma cha Sierra Leone Kwenye hotuba iliyotolewa na Makhtar Diop, Naibu Mkuu wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika, alisema mwaka 1978 China ilikuwa miongoni mwa nchi maskini zaidi duniani. Kuanzia mwaka huo, mapato halisi ya kila mtu wa China...
  10. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Tupe uzoefu wako juu ya biashara

    Binafsi nimekaa chini nikafikilia nimeona biashara ya mavazi ni biashara nzuri mno mno mno Sana hasa ukiwa unachukua kutoka kwa wazalishaji (kiwandani) unakuja kuuza Kama retailer utapiga supernormal profit. Wewe kwa upande wako juu ya uzoefu wa biashara ni upi? Ni biashara gani nzuri unaikubali?
  11. cold water

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu kuhusu internship TaESA

    Naomba kuni PM kwa yeyote ambae amewahi kuomba internship TaESA Nina maswali kadhaa ya kuuliza.
  12. Mamaya

    JamiiForums Tanzania Naombeni uzoefu wa induction cooker: Je ni kweli linatumia umeme kidogo? Je lina unafuu wa gharama kuliko gesi?

    Salamu wadau!ambao mmewahi au mnatumia aina hii ya jiko naombeni uzoefu wenu, maana gesi ulimepanda sana bei, ninekuta muuzaji mmoja ameniambia linautumia umeme kidogo sana, 1unit per hour. Sasa nikasema za kuambiwa changanya na za kwako. Nawasilisha
  13. B

    JamiiForums Tanzania Western Union kukataa transaction yangu kisa herufi moja tu, hivi imekaaje kwa wenye uzoefu?

    Nimeenda branch ya western union moja hapa moshi, kutoa hela nlotumiwa, details zote (mtcn, senders name, my name, receiver name, country of origin) zilikuwa sahihi Isipokuwa mtumaji hakuandika herufi moja tu inayoonesha jina langu la kati Kama ilivyo kwenye kadi yangu ya mpiga kura, hii ni kwa...
  14. kelphin

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza. Karibu Nieleze kidogo kuhusu subwoofer Je, unataka kununua, basi zingatia haya. Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au...
  15. Emmanuel180

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na hizi kazi za kwenye nguzo Dar-es-Salaam

    Ebhan hapa Dar unaweza pita kwenye nguzo wamebandika tangazo la kazi mara nyingiiiiii mnooo mfano Ds max wanahitaji watu wa kazi wanakuandikia kabisa mshahara may be 275k nafasi za kazi zimegawanyika mfano. Ofisini Store keeper Usambazaji Udereva N.k Nataka kujua kwa wenye uzoefu wa hizi kaz...
  16. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa kuibiwa/kutapeliwa Dar es Salaam

    Sisi watu wa kuja Dar ambao tuliletwa hasa na mambo ya shule nk kwa namna moja ama nyingine tumewahi kulizwa katika jiji letu hili pendwa. Mimi nina matukio kadhaa ya wizi ambayo nimewahi kufanyiwa hapa Dar. Tukio la kwanza, ilikua miaka ya 2009, enzi hizo nakaa maeneo ya riverside hapo karibu...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye uzoefu na Elimu ya Nje naomba kufahamishwa haya

    Habari wadau, Naomba kufahamishwa kitu kimoja, Mimi nikipata admission kwenda kufanya master University of Texas na tayari nimepata F1 visa last week, ila chuo kitafunguliwa Katikati ya August ninachotaka kufahamu ni je naweza kusafiri 60 days before program state date? Je kwenye pot of...
  18. JF Member

    JamiiForums Tanzania Naomba Uzoefu wa zao la nazi

    Kwa haraka haraka nimeambiwa hiki kilimo kina lipa. Naambiwa shina Moja la Nazi linatoa Nazi 15 hadi 20 kila baada ya miezi 2. Ukiwa na mashina 1,000 una Nazi 15,000. Ukiuza kwa 600 kila Nazi ( 1,500 x Shilingi 600) ni sawa na Shilingi 9,000,000 kila baada ya miezi miwili. Wastani wa...
  19. Planet Open School

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa History na Kiswahili mwenye uzoefu anahitajika Mwanza

    Habari za asubuhi wakuu, Planet Open School inahitaji mwalimu wa kiswahili na History mwenye uzoefu wa kufundisha kidato cha kwanza hadi cha sita. Planet Open school inapatikana Mwanza Mjini barabara ya Balewa. Kwa mawasiliano: 0737-988897/ 0752-137196
  20. emmarki

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu wa nafasi ya Afisa Maendeleo ya Jamii, written interview

    Hello, Ninajiandaa na usaili wa written, nafasi ya Afisa Maendeleo ya Jamii kutoka utumishi Naomba mwenye vidokezo, written yao inalenga maeneo gani haswa?
Back
Top Bottom