Reading in between the lines & listening in between the words. Ikitokea kuna kitu amekinoti lakini hakukisema, ukikijua kuna ubaya tumseme?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,440
113,449
Wanabodi,

Hili ni Bandiko la swali, kuhusu moja ya zile mada ngumu za psychoanalysis, ambayo hoja zake ni vitu vya kufikirika tu na havijatamkwa rasmi, lakini vitu hivyo, vikisemwa na kujadiliwa kwa uwazi, vitalisaidia taifa.

Watu tumeubwa tofauti tofauti, wengine ni good observers na wengine ni just too notty, mimi ni mmoja wa watu hawa, through observations nilikuja kunote kuwa kuna vitu viongozi wetu hawapendi kusikia au kuambiwa, hivyo walio wazunguka, watawaambia yale tuu mabosi wao wanapenda kusikia, hivyo ukiwa mkweli too much wa type yangu, unakuwa hupendwi!. Miongoni mwa vitu nilivyo muomba sana Mungu ni "anifundishe kunyamaza".

Kwenye hotuba za viongozi, sometimes kuna vitu vingi ambavyo kiongozi havipendi lakini havisemi, kwasababu tangu kabla hajaingia kwenye uongozi, alivikuta ndio vinafanyika hivyo.

Sisi wasomaji wa in between the lines na wasikilizaji wa the inner voice, kama umemsikia Mama, akizungumzia jambo fulani, na wewe through analytical and logical progression thinking ukabaini kuwa kuna jambo halipendi lakini hawezi kulisemea kwasababu siku zote jambo hilo, hivyo ndivyo linavyofanyika, ikitokea, ukalijua, kuna ubaya kulisema au kumsemea mama ili jambo hilo libadilishwe?, au ukimsemea Mama jambo ambalo hajalisema huku kutakuwa ni kumlisha Mama maneno?.

Kwa vile hii ni hoja ya psychoanalysis, wengi wetu wamemjua Samia baada ya kuwa rais wetu, lakini akina sisi tuliomfahamu Samia kabla hajawa rais tunazidi kumfahamu zaidi na zaidi as days go by, hivyo nakushauri anza kwa kumfahamu Samia kupitia mabandiko haya mawili haya Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” na Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...

Wanabodi,

Conclusion
Trends za Samia, zinaonyesha tunaelekea kwenye Tanzania njema yenye rais humble, mpole, mnyenyekevu, mstahimilivu
Paskali
Hii humbleness ya huyu Mama, na being down to earth, nimeiona tena jana, kwenye kuhitimisha Nane Nane Mbeya.

Baada ya kukamilisha kuhutubia, wakati anaondoka, badala ya kuelekea direct kwenye gari, akatuzungukia wananchi huku tukipo, mimi nikamwamkia kwa sauti, akageuka, akanitazama, akaijibu shikamoo yangu, tena I think, naomba nisimalizie maana.

Na wakati anahitimisha hotuba yake kuhitimisha Maonyesho ya Nane Nane Viwanja vya John Mwakangale, Mbeya kuna kitu sio cha kawaida, Rais Samia amekifanya, hakijawahi kufanywa na rais wetu mwingine yoyote, ukimuondoa Nyerere.

Siku zote kwenye matukio rasmi, viongozi wanatayarishiwa hotuba kwa kuandikiwa na Viongozi huhutubia ama kwa kusoma hotuba alioandikiwa, ama kwa kutumia talking points.

Lakini licha ya rais kuandikiwa hotuba, kuna baadhi ya vitu huwa anavisema kwenye hotuba ni vyake mwenyewe kutoka moyoni na sio kuandikiwa,

Wengi wa wenye uwezo wa to read in between the lines, pia wana uwezo to listen in between the world's hivyo Mama anapohutubia, ma psychoanalysits wenye uwezo wa kubaini hili ni ameandikiwa na hili ni lake mwenyewe kutoka moyoni.

Kwenye hotuba ya jana kule mwisho, aliwashukuru watu mbalimbali wakiwemo wana usalama na madereva.

Kwa wasio na jicho la roho, jicho la ndani, wanaweza wasione kitu au kuona this is a small thing!, si ni amewashukuru tuu madereva, what is so special about this?. Take it from me, this is not a small thing!.

Hii shukrani kwa madereva kila mtu huwa anaitoa kwa dereva wake akifika salama, lakini ile shukrani kuwashukuru madereva publically for the first time, japo jicho la kawaida inaonekana ni shukrani tuu, kwa sisi ma psychoanalysits, tumeona kitu zaidi ya just shukrani tuu.

Japo shukrani hii ni shukrani ya appreciation ya being arrived safely, shukrani hii inamaanisha Samia ni mtu heshima na shukrani kwa wakubwa na wadogo, kikawaida siku zote wanashukuriwaga wakubwa tuu!.

Kwenye shukrani hizi, kuna kitu hapa Rais Samia amekisema bila kukitamka, uwezo wa kumwelewa rais wetu bila hata kutamka kitu ni plus kwetu sisi waandishi hivyo unakuwa ni mtu wa kiasi, kwenye ku deal na utawala wa nchi.

Katika shukrani hizi za rais, Rais Samia kawasifu na kuwapongeza madereva wa msafara kwa umahiri wao na car control kwenye ile mipindo na mikunjo!.

Sijui ni wangapi kati yetu wana uwezo wa kusoma body language na facial expressions wakati mtu akiongea!, Rais Samia wakati amewashukuru madereva kwa kuwafikisha salama, kauli na mdomo ni kuwashukuru madereva, lakini ishara ya mikono ni kumshukuru someone else kufika salama!.

Mwangalie body language ya mikono yake wakati akiwashukuru madereva

Mdomo na kauli ni kuwashukuru madereva, lakini body language ya mikono ni kumshukuru mtu mwingine!

Kitu ambacho Mama Samia hakukisema ni the speed of msafara was very high, mnamuweka Mama Roho Juu kwa hiyo mi mbio, kila gari ya Mama ikifika kwenye mikunjo na mipindo, roho mkononi!.

Kwa vile tumetawaliwa na wazungu, watu wetu wa usalama wanafunzwa msafara kwenda kwa kasi ya ajabu hivyo hivyo na wao kuiapply hivyo hivyo hata kama in reality in Tanzania haina security threat ya kiasi hicho kwa rais wetu to warrant such speed!.

Kwenye msafara wa rais kuna rake 3, kabla ya msafara, hivyo madereva wanakimbiza msafara kwa speed ya ajabu for what?!

Halafu unaambiwa eti wanakijiji au wananchi wa eneo fulani wamezuia msafara!.

All and all, asante sana Mama kuonyesha concern for this.

Hata hii democrasia tunayoitumia ni imposed democracy, kama sasa tunaotumia the African Democracy ambapo nchi ya vyama vingi vya siasa, vinaweza kufanya uchaguzi Mkuu na chama kimoja kikashinda Kwa 99% na uchaguzi huo bado ukawa huru wa haki na wa kidemocrasia, tuachane na imposed security protocols, to embrace African security protocols, viongozi wetu wakimaliza kuhutubia wanasalimia na kujichanganya kidogo na watu tuna amkuana, kisha ndio anaondoka!.
NB- alipopita karibu na mimi, nilimuamkia kwa sauti, aligeuka akanitazama na alijibu! shikamoo yangu!, ila...

Paskali.
 
Wanabodi,
Hili ni Bandiko la swali, kuhusu moja ya zile mada ngumu za psychoanalysis, ambayo hoja zake ni vitu vya kufikirika tuu na havijatamkwa rasmi, lakini vitu hivyo, vikisemwa na kujadiliwa kwa uwazi, vitalisaidia taifa...
Twende kazi baba! Twende kazi!

Ila tu usisahau! bado hujapitishwa kwenye lile chujio kule Dodoma.
 
Wanabodi,
Hili ni Bandiko la swali, kuhusu moja ya zile mada ngumu za psychoanalysis, ambayo hoja zake ni vitu vya kufikirika tuu na havijatamkwa rasmi, lakini vitu hivyo, vikisemwa na kujadiliwa kwa uwazi, vitalisaidia taifa...
Ujinga.'Analytical and logical progression thinking' ndio nini sasa? Embu wewe kwepa huu ujinga wa kutumia maneno ya kiingereza kwa namna hii! Kwa umri wako na fani yako, hii ni aibu.
 
Sema wewe ankori unahangaikaga sana sijui kwa nini..

Mama alishasemaga "Msimlishe Maneno"... Kwanza wewe unamsemea kama nani? Huyu mama hana mafumbo kama mlivyozoea kwa mwendazake.

Kaeni kwa kutulia nyie walamba nyayo, mwenzenu yule wa Mara (Happy) aliwasemea mbaya wenzie lakini akaishia kutumbuliwa yeye.

Wanabodi,

Hili ni Bandiko la swali, kuhusu moja ya zile mada ngumu za psychoanalysis, ambayo hoja zake ni vitu vya kufikirika tu na havijatamkwa rasmi, lakini vitu hivyo, vikisemwa na kujadiliwa kwa uwazi, vitalisaidia taifa.

Watu tumeubwa tofauti tofauti, wengine ni good observers na wengine ni just too notty, mimi ni mmoja wa watu hawa, through observations nilikuja kunote kuwa kuna vitu viongozi wetu hawapendi kusikia au kuambiwa, hivyo walio wazunguka, watawaambia yale tuu mabosi wao wanapenda kusikia, hivyo ukiwa mkweli too much wa type yangu, unakuwa hupendwi!. Miongoni mwa vitu nilivyo muomba sana Mungu ni "anifundishe kunyamaza".

Kwenye hotuba za viongozi, sometimes kuna vitu vingi ambavyo kiongozi havipendi lakini havisemi, kwasababu tangu kabla hajaingia kwenye uongozi, alivikuta ndio vinafanyika hivyo.

Sisi wasomaji wa in between the lines na wasikilizaji wa the inner voice, kama umemsikia Mama, akizungumzia jambo fulani, na wewe through analytical and logical progression thinking ukabaini kuwa kuna jambo halipendi lakini hawezi kulisemea kwasababu siku zote jambo hilo, hivyo ndivyo linavyofanyika, ikitokea, ukalijua, kuna ubaya kulisema au kumsemea mama ili jambo hilo libadilishwe?, au ukimsemea Mama jambo ambalo hajalisema huku kutakuwa ni kumlisha Mama maneno?.

Kwa vile hii ni hoja ya psychoanalysis, wengi wetu wamemjua Samia baada ya kuwa rais wetu, lakini akina sisi tuliomfahamu Samia kabla hajawa rais tunazidi kumfahamu zaidi na zaidi as days go by, hivyo nakushauri anza kwa kumfahamu Samia kupitia mabandiko haya mawili haya Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” na Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...

Hii humbleness ya huyu Mama, na being down to earth, nimeiona tena jana, kwenye kuhitimisha Nane Nane Mbeya.

Baada ya kukamilisha kuhutubia, wakati anaondoka, badala ya kuelekea direct kwenye gari, akatuzungukia wananchi huku tukipo, mimi nikamwamkia kwa sauti, akageuka, akanitazama, akaijibu shikamoo yangu, tena I think, naomba nisimalizie maana.

Na wakati anahitimisha hotuba yake kuhitimisha Maonyesho ya Nane Nane Viwanja vya John Mwakangale, Mbeya kuna kitu sio cha kawaida, Rais Samia amekifanya, hakijawahi kufanywa na rais wetu mwingine yoyote, ukimuondoa Nyerere.

Siku zote kwenye matukio rasmi, viongozi wanatayarishiwa hotuba kwa kuandikiwa na Viongozi huhutubia ama kwa kusoma hotuba alioandikiwa, ama kwa kutumia talking points.

Lakini licha ya rais kuandikiwa hotuba, kuna baadhi ya vitu huwa anavisema kwenye hotuba ni vyake mwenyewe kutoka moyoni na sio kuandikiwa,

Wengi wa wenye uwezo wa to read in between the lines, pia wana uwezo to listen in between the world's hivyo Mama anapohutubia, ma psychoanalysits wenye uwezo wa kubaini hili ni ameandikiwa na hili ni lake kutoka moyoni.

Kwenye hotuba ya jana kule mwisho, aliwashukuru madereva.

Ukimuondoa Nyerere na hotuba zake za kulihutubia taifa kwa njia ya redio, hii ndio mara yangu ya kwanza kumsikia rais wetu yoyote akiwashukuru publically madereva!

Wasio na jicho la roho, jicho la ndani, wanaweza kuona this is a small thing!. It's not!.

Hii shukrani kwa madereva kila mtu huwa anaitoa kwa dereva wake akifika salama, lakini ile shukrani kuwashukuru madereva publically for the first time, japo inaonekana ni shukrani tuu, kwa sisi ma psychoanalysits, sio shukrani tuu, ile ni shukrani ya appreciation ya being arrived safely out of.

Kwenye shukrani hizi, kuna kitu hapa Rais Samia amekisema bila kukitamka, uwezo wa kumwelewa rais wetu bila hata kutamka kitu ni plus kwenye utawala wa nchi.

Katika shukrani hizi za rais, Rais Samia kawasifu na kuwapongeza madereva wa msafara kwa umahiri wao na car control.

Sijui ni wangapi kati yetu wana uwezo wa kusoma facial expressions wakati mtu akiongea!, Rais Samia amewashukuru madereva kwa kuwafikisha salama na kushukuru Mungu kufika salama.

Kitu ambacho Mama Samia hakukisema ni the speed of msafara was very high, mnamuweka Mama Roho Juu!.

Kwa vile tumetawaliwa na wazungu, watu wetu wa usalama wanafunzwa msafara kwenda kwa kasi ya ajabu hivyo hivyo na wao kuiapply hivyo hivyo hata kama in reality Tanzania haina security threat kwa rais wetu kivile!.

Kwenye msafara wa rais kuna rake 3, kabla ya msafara, hivyo madereva wanakimbiza msafara kwa speed ya ajabu for what?

Halafu unaambiwa eti wanakijiji au wananchi wa eneo fulani wamezuia msafara!.

All and all, asante sana Mama kuonyesha concern for this.

Hata hii democrasia tunayoitumia ni imposed democracy, kama sasa tunaotumia the African Democracy ambapo nchi ya vyama vingi vya siasa, vinaweza kufanya uchaguzi Mkuu na chama kimoja kikashinda Kwa 99% na uchaguzi huo ukawa huru wa haki na wa kidemocrasia, tuachane na imposed security protocols, to embrace African security protocols, viongozi wetu wakimaliza kuhutubia wanasalimia na kujichanganya kidogo na watu tuna amkuana, kisha ndio anaondoka!

Paskali.
Asante poti, lakini ulichoandika ni kile kilichomo kichwani mwako, na wakati mwingine ni cha kufikirika .
 
Hata hii democrasia tunayoitumia ni imposed democracy, kama sasa tunaotumia the African Democracy ambapo nchi ya vyama vingi vya siasa, vinaweza kufanya uchaguzi Mkuu na chama kimoja kikashinda Kwa 99% na uchaguzi huo ukawa huru wa haki na wa kidemocrasia,
we mzee iyo kwenye 99% hapo nakataa huo ni wizi wa mchana. hata ukichukua ndani ya chama chenu huyo mgombea anapita kwa mseleleko ila sio uwezo na uzoefu ndio ije kwenye uchaguzi mkuu?!
 
Ulinzi wa viongozi ni taaluma ya watu, hata kiongozi mwenyewe anaweza asielewe vizuri sababu za mambo fulani fulani lakini ni vema akaheshimu na kuwaamini wazalendo walioapa kumlinda kwa gharana yoyote, hata ikibidi kupoteza uhai wao.

Tuwaache wafanye kazi yao.
 
halafu kuna kitu nimenote toka akiwa VP , umekua na heshima kubwa kwake sijui kwa nini maana hata maandiko yako hujawahi kumponda Rais Samia sijui kuna nini
Wasukuma tunaheshimu sana Wanawake, unaweza kumtukana mwanaume mwenzio but not a lady, ila pia na mimi ni binadamu tuu kama binadamu wengine wote, huyu Mama nimetokea tuu kumpenda hata kabla hajawa rais na kiukweli hajawahi kuniangusha!. Tena hata humu jf hili nililisema wazi

Na kwa vile kauli huumba, huwezi jua, kuna uwezekano hata huo urais, usikute ameupata kutokana na kauli za kwenye mabandiko haya mawili
Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” na "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza

P
 
Hapa ni Ubunge wa EA unatafutwa.
No sio ubunge EALA unatafutwa, kwenye EALA tuko 186, kwa vile sijabahatika kuwajua who is who, siwezi kujua my position, ila watu wote genuine kama mimi, we want the best for our country, ikitokea kuna watu wazuri, kunipita, wakachaguliwa, itakuwa poa.
P
 
Back
Top Bottom