uzoefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kutana na haya makitu. Uzoefu wenu please. Hasa kwa Vijana wa siku hizi wabishi na mabinti

    Miaka yetu tunakua kulikuwa na magonjwa hatarishi sana ya sex. Ilikuwa hatari sana... Na ukumbuke Condoms zilikuwa bidhaa adimu sana hasa vijijini. Na pia ilikuwa ngumu kumuelewesha mtu kuvaa condom. Yaani ukanunue pipi halafu uanze kumung'unya ikiwa kwenye karatasi? Aaaah wapi..... Hawakuelewi...
  2. GoldDhahabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya Tupeni Uzoefu Wenu Kuhusu Passport

    Kwa Tanzania, sharti uwe na safari ndiyo utapewa pasi ya kusafiria(passport). Utaratibu ukoje Kenya?
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Karibu elimu, tiba na uzoefu wa kuhimili, kusamehe, kusahau na kuvuka changamoto za ndoa, mahusiano na mapenzi

    Hello hello Family! Wasalaam? Nichukue fursa hii kipekee kufungua jukwaa la elimu, kushare tiba, uzoefu, kinga, kuhimili, kusamehe, kusahau na kuvukq changamoto ndani ya ndoa, mahusiano na mapenzi. Kwa kuzingatia migogoro na mikwaruzano na madhara yake katika jamii. Tafadhari ushiriki wenu ni...
  4. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Uzoefu: B1 Visa Interview, nikifanya hivi nitawahi?

    Wakuu nategemea kwenda US tarehe 7 mwezi wa 7 kama ntapata VISA ya B1, swali langu, nikijaza DS-160 leo, nawezaitwa kwenye interview kwa wakati au foleni imesha jaa? Documents zote ziko vizuri.
  5. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Mimi natumia K vant na Konyagi Nina uzoefu- Dkt Musukuma ajilipua Bungeni

    Mimi natumia K vant na Konyagi Nina uzoefu- DKT. Musukuma ajilipua akichangia hoja Bungeni baada ya kuona pombe. Wabunge waangua kicheko aka waambia wasicheke hata humo Bungeni ni wengi wanatumia. Amesema sio Dhambi pia kafanya utafiti kua maprofesa na madaktari wengi ni watumiaji baada ya...
  6. Mhina Martin

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo na uzoefu juu ya biashara hii wapenda maendeleo

    Habari Wana Jf, nimeona nishare nanyi ili niweze kujikwamua Na Maisha kutokana Na Tafiti ndogo Ya mazingira niliyonayo , wazo langu la biashara ni kudili Au kuuza open shus,Kama makobazi,jamii ya yebo yebo Za dizain mpya,visendo sendo simple,vindala nk vya wanaume na wanawake Hilo Ndo wazo...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wakati Idara za ulinzi na Usalama za Tanzania zinafuatilia ya mchungaji Mackenzie wa Kenya, tusisahau mchungaji anayejiita Mbarikiwa, yuko hapa kwetu

    Kimsingi, huyu mchungaji, waziwazi, anaandika na kuchochea chuki huko YouTube. Anaporomosha matusi na hakuna anayechukua hatua. Ofisi ya msajili wa taasisi za dini nadhani kwa Sasa inatakiwa iamke usingizini kabla taifa halijapata janga. Hatukatai kwamba ana Uhuru wa kuabudu, lakini kufurumusha...
  8. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa na soko la nguo hapa bongo, Wale mnaonunua online tunaombeni mtupe uzoefu wenu tupate nguo zenye ubora

    Habari zenu wakuu, hapa bongo soko la nguo kuna baadhi yetu lishatutoa knock out, unaweza kwepa midosho ya elf 15 ukaenda kwenye duka la cadet za elf 40 ukazani hapa ndio penyewe kumbe mambo yale yale tu, ukifua mara mbili tatu ishakuwa bwanga, pindo hohe hahe, rangi imechuja. Sasa basi mimi...
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kula mpasuko maeneo hatarishi tupeane uzoefu

    Jana nilitoka na demu moja ni liyanga lenzangu ili twende tukawazomee Simba wakifunga 3 na Wydad. Hili lijidada mashallah kweli kweli toka jumatano linaniambia twende sote tukaangalie mpira. Tukapitia maeneo uhasibu kwanza tukachangamshe koo na kuchezesha taya kidogo. Tukaenda uwanjani. Kwenye...
  10. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Wajasiliamali tupeane uzoefu wa biashara

    Wajasiliamali tuambizane unafanya biashara gani saizi, ulianza na mtaji wa kiasi ngapi? Na sasa uko wapi kibiashara? Ili na wengine tupate picha wapi
  11. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Utunzaji Kumbukumbu, nina uzoefu wa miaka 3

    Natafuta kazi ya utunzaji kumbukumbu. Nina Diploma ya Utunzaji Kumbukumbu niliyopata katika Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) na nina uzoefu wa miaka mitatu katika kazi hiyo. Mwenye kuhitaji mtu wa kutunza kumbukumbu katika organization yake nipo tayari.
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa uongozi ambao unategemea uwezo, ujuzi na uzoefu wa mtu, badala ya uhusiano wa kichama, kifamilia au urafiki

    Ni muhimu sana kwa Serikali kuwa na mfumo wa uongozi ambao unategemea uwezo, ujuzi na uzoefu wa mtu, badala ya uhusiano wa kichama, kifamilia au urafiki. Kuweka ndugu au marafiki kwenye nafasi za uongozi bila kuzingatia uwezo wao ni hatari kwa maendeleo ya nchi yetu. Kwa hiyo, ni muhimu kuwa na...
  13. Akabi kemanya

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye uzoefu wa kampuni ya kusafirisha mizigo

    Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamuhuri, Nielekee kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyo jieleza Mimi natami kuanzisha kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani ya nchi ila changamoto kubwa kwangu sina uzoefu wa hii kazi kwa mwenye uzoefu tafadhari Nivitugani vya kuzingatia kabla na baada ya...
  14. SYLLOGIST!

    JamiiForums Tanzania "Mama wa Shoka, Mama shupavu na hodari, Mama mwenye kujiamini na asiye babaika, mwenye uzoefu wa kutosha"

    Sio mwingine, bali ni Katibu Muenezi wa sasa CCM Sophia Mjema. Ni mnukuu Bwana Lucas ... Naamini ya bwana Lucas, manake mifupa inayotupwa humu jamvini baada ya Ripoti ya Mkaguzi mkuu wa Serikali CAG kutoka, imekuwa hatare. Mama Sophia Mjema anastahili pongezi kweli kweli.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye uzoefu na Bajaj za Piaggio

    Nataka kufahamu hasa kuhusu hizi Bajaj za Piaggio, kuhusu bei zake, gharama yake na matengenezo.
  16. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye uzoefu na hizi gari ndogo. Hili swali watu wameshindwa kujibu

    Nimeona kwenye group moja la Telegram mdau anauliza hili swali. Tumeshindwa kujibu. Wadau nani amewahi enda Dodoma kwa IST toka Dar? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi? Au *Nani amewahi fanya safari ya Dar to Babati kwa IST? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?"
  17. Ancient Resident

    JamiiForums Tanzania Je, umeshawahi kupata mchongo mzuri wa kukuinua kimaisha ila tamaa zako zikakuharibia?

    Rejea mada tajwa hapo juu, nia ni vijana kujifunza ni jinsi gani tamaa zetu binafsi zinapoteza uaminifu wetu kwa wengine na vile zinarudisha maisha yetu nyuma. Karibuni.
  18. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Magazeti ya Mwananchi inahitaji Mlinzi: Sharti uwe na Degree na uzoefu miaka mitatu na zaidi

    Haya ndugu zangu wapambanaji. Mwamba wa Magazeti nchini huyu hapa kaachia na Kazi nafasi Moja. Wenye Bachelor zenu mtume maombi muendelee kulinda mali za watu kwa weledi mkubwa
  19. GiftedMan94

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu wanisadie nahisi kabisa sio mtu wa kawaida

    Wakuu Naombeni Msaada. Mimi ni mtumishi wa umma ila nipo likizo ni wiki ya pili sasa. Jana mida ya saa tano usiku hivi nikiwa nimechoka tu kukaa ndani siku nzima nikaamua nitoke. Kabla ya kutoka nikapiga simu kadhaa kwa vipengele vyangu nikaona navyo havieleweki vinanipangia muda wa kuvitafuta...
  20. Mzee Wa Republican

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo na uzoefu kuhusu biashara ya kukopesha pesa (Microfinance)

    Ndugu wananchi, wanabodi na great thinkers wa humu JF Salaam !! Tayari mwaka 2023 umeanza kwa kasi na kama ilivyo ada tumeendelea na pilika pilika za kusaka maisha kona mbali mbali. Katika harakati za kujikwamua kiuchumi nimefikiria kufanya biashara ya kukopesha pesa (Microfinance). Kiufupi ni...
Back
Top Bottom