uzoefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Top gun maverick

    JamiiForums Tanzania Natafuta uzoefu wa matumizi ya CCTV CAMERA

    Habari poleni na majukumu ya kazi katika kutafuta mkate wetu wa kila siku. Naenda straight to the point nimekuwa nikijifunza mtandaoni hususani education platforms Kama udemy,skillshare na courseweb kupata basics ya knowledge ya kuinstall na kufunga CCTV CAMERA. Ila practical bado siko vizuri...
  2. mshale21

    JamiiForums Tanzania Mliofanikisha kujenga nyumba, Tupeane uzoefu hapa

    wakuu natumai hamjambo! Kama jinsi ilivyoada, kila mtu anatamani kuwa na mahali pake binafsi pa kuishi yeye na family yake, ingawa kwa upande mmoja kwa baadhi ya watu hili suala si changamoto kwao kwa sababu ya uzoefu ama mfuko umekaa njema kiuchumi, lakini kwa upande mwingine kwa watu aina...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Je, hii ni hali ya kawaida kwa wale wenye uzoefu?

    Saalam! Wahenga walisema mficha maradhi kifo humuumbua, nami leo nimeona niweke wazi mambo yangu ili niweze kusaidiwa kupitia jukwaa hili ambalo kwangu limejipambanua kuwa suluhisho la matatizo mbalimbali katika jamii. Nisiwachoshe ndg wasomaji niende moja kwa moja kwenye lengo mahususi. Mimi...
  4. Burungutu lebba

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na Certified Cognitive Report kama interview

    Nimefanikiwa kuwa shortlisted kwenye moja ya NGO inayofanya kazi nchini...moja ya vigezo vyao ni kuwa na cherti rasmi Cha mtihani wa kipimo Cha maarifa online..ni interview za kisasa hizo… Sasa link waliyonipa kupata cheti hicho sio Chini ya laki moja mpaka unakipata..lakini sijawa limited...
  5. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Mbona Mbowe amesahaulika mapema hivi?

    Napenda kuwasalimu kwa jina la alietuumba. Ndugu zangu, ingawa inafahamika kuwa CCM na Serikali yake wana uzoefu, ujuzi na uwezo wa kucheza na saikolojia ya wapinzan wao kwa kuanzisha jambo baada ya jambo, lkn safari hii aisee wameweza kufanya jambo ambalo wengi hatukulitarajia hata kidogo...
  6. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na biashara ya majeneza

    Habarini wakuu, huu uzi kuna member anaitwa Mbwa dume nilimuandikia kama PM ila naona bado sijampata maana alikujaga na uzi wake wa kutangaza majeneza kipindi cha nyuma. Kwa sababu bado sijampata na mimi nna shida .. ningeomba kusaidiwa baadhi ya taarifa kama ifuatavo kwa yoyote mwenye kujua...
  7. World Logistics Company

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wetu na India: Kwanini wafanyabiashara wanaagiza mazao kutoka nje ya nchi?

    Wadau wa Biashara na Ujasiriamali, Tumeona humu kuna wazoefu wa biashara hizi za mazao ya kilimo, bila shaka ni sahihi kuleta jambo hili kwenu ili tubadilishane uzoefu. Pichani ni mzigo wa nafaka za mahindi uliagizwa na mteja wetu wiki kadhaa zilizopita. Mzigo huu ulitokea nchini India na...
  8. Munirah seiph

    JamiiForums Tanzania Nina uzoefu wa kazi za usekretari, natafuta Ajira

    Habari wana Forum Mimi ni Msichana Wa Miaka 26 Nina Elimu ya Kidato cha Nne Kwa Ngazi Ya Cheti Ninatafuta ajira Nina uzoefu wa Kutumia Computer Kwenye Maswali ya Microsoft Word, Microsoft Excel na maswala mengine nilishawahi kufanya Kazi za Secretary Katika Ofisi ya madai ya mikopo Bin Huwi na...
  9. The Good

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu kwenye chanjo ya COVID-19 leo

    Leo nimebahatika kupata chanjo katika kituo cha jirani. Vitu viwili ambavyo nimeviona na nadhani kuna haja ya wahusika kuvifanyia kazi ni hivi 1. Booking Jana nilifanya on-line booking na kuweka tarehe ya leo katika kituo nilichochagua Nilipofika kituoni nikakuta hawana taarifa yoyote ya...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wako kwenye ushirikina ni upi?

    Uliwahi kurogwa? Uliwahi kuroga? Una chale mwilini? Ulisimuliwa tuu? Ulishawahi kupewa masharti magumu yasiyotekelezeka? Ulishawahi kudalaliwa? Ulishawahi kutapeliwa? Una hirizi? Ulishawahi kunyweshwa kombe? Ulishawahi kuzikiri uchi? Makaburini? Ulishawahi kuvunja nazi njia panda? Nknk Uzoefu...
  11. KasomaJr

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye uzoefu kupata US- Visa

    Hbari waja-Jamii Forum, Nakuja kwenu kuomba msaada wa uzoefu kwa wale ambao tayari wamepita huko, kupata VISA ya US hususani kwa mtu anae kwenda kusoma nje (USA), Nachotaka kufahamu ni challenge kubwa huwa ni eneo gani na namna ya kukabiliana nayo. Kwangu nina issue mbili ambazo hasa nahitaji...
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania Uzoefu kutoka USA: Kodi mbalimbali zinazotozwa nchini Marekani

    Nawaletea uzoefu wa nchi tajiri inayotupa misaada na namna inavyowakamuawananchi wake kulipa kodi Taxes are imposed on net income of individuals and corporations by the federal, most state, and some local governments. Citizens and residents are taxed on worldwide income and allowed a credit for...
  13. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu kutegemea vyombo hivi vya Umma ni hatari kuliko hatari yenyewe

    Mwaka fulani hapa Jijini Dar es salaam nikiwa naishi mitaa flani jirani yangu alipatwa na janga la moto. wakati tunapambana na huu moto jirani akawapigia simu zimamoto. tuliendelea kupambana na moto huo na baada ya muda mfupi (dk 50) walikuja zimamoto wakati huo kwa upande wa chini tumefanikiwa...
  14. Kukudume2013

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ana CPA analipwa laki tatu anataka aache kazi

    Kuna mjamaa mmoja yupo ameajiriwa sehemu rasmi ana sifa zote za kuwa na mshahara usiopungua 3m kwenda juu .maana anayo master ya fedha na anayo CPA kapata mwaka juzi lkn mpk sasa analipawa laki 3 .alikuja kwangu kuniomba ushauri nikamwambia poa nitakupa.maana yeye anataka aache kazi ili ajiajiri...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Dereva mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 10 natafuta kazi

    Habari wakuu, Natumaini mko poa. Nina ndugu yangu wa karibu, ni mtoto wa baba yangu mkubwa ambae anatafuta kazi ya udereva wa malori au gari za kawaida. Ana Leseni class C1,C2 na C3. Ana uzoefu wa zaidi ya miaka 10 wa kuendesha malori na magari ga kawaida, alikua kwenye kampuni moja ya...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mawaziri hawa ni mizigo au Wizara zimewazidi kitaaluma na uzoefu?

    Dr. Faustine Ndugulile naamini amepwaya pale mawasiliano, kasi ya mabadiliko ya teknologia ukilinganisha na uwezo wake kiubunifu kwenye ili eneo amepwaya kabisa. Waziri wa michezo Bashungwa wizara yake imemkalia vibaya. Hana hoja au maelekezo mapya yakimkakati kwenye sekta ya michezo. Ukiona...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Tulipo, Uzoefu Utumike - Katiba Ipo

    Inajulikana kuwa katiba mpya inahitajika na wengi. Wapongezwe Chadema kwa kuchukua jukumu la kuanzisha na kuratibu msukumo wa kurejelewa kwa mchakato huu muhimu wa kupatikana kwake. Hatua hii isiyokuwa na chembe ya ubinafsi iliyojaa dalili zote za hatari, ni ya kupongezwa sana na kila mpenda...
  18. Doreen27

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi, nina shahada ya Uuguzi napatikana Mbezi Beach

    Habari wanajamii? Mimi ni S jinsia Ke, umri miaka 28, elimu yangu ni shahada ya Uuguzi bado sijapata leseni ila nategemea kuipata mwezi wa 7 mwaka huu, Naomba kazi yoyote kwa sasa inayoweza kuniingizia kipato muda huo nikisubiria leseni na ajira, Nina uzoefu huu; 1) Naweza kukutafutia...
  19. Doreen27

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya uzoefu huu;-

    Habari wanajamvi? Mimi ni jinsia Ke, umri miaka 28, Elimu shahada, sekta ya afya, fani ya Uuguzi, bado sijapata leseni hivyo imekuwa ngumu kwangu kupata nafasi kwenye hospitali kwa kujishkisha muda huo nikiwa nasubiria kupata leseni yangu ambayo uwezekano wa kuipata ni mwezi wa 7 mwaka huu. Kwa...
  20. 6321

    JamiiForums Tanzania Share uzoefu wako ulivyom-date na 'Tomboy'

    Nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Yapata miaka 2 kwenda mi3 sasa, nimekuwa na uhusiano wa kimapenz na Tomboy (Binti Massawe), ni binti mzuri sana yuko smart pia. Huyu binti ni mshikaji sana na yuko real kwenye mapenzi, najivunia sababu mimi ndiye mpenzi wake wa kwanza na...
Back
Top Bottom