uzoefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Graphics designer mwenye uzoefu na masoko anahitaji haraka

    Utangulizi Glaness graphics and design inamilikiwa na Flydream Company Limited. Inahusika na huduma mbalimbali mfano kutengeneza flyers, banners, video editing, video shooting, T-shirt printing n.k Tunatafuta mtu aliye tayari na uzoefu katika maeneo haya: Sifa 1. Uwezo wa kutumia computer...
  2. buffalo44

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba Kazi ya graphics. Kazi zangu na uzoefu nimeambatanisha

    Salaam wakuu. Natumai wote mpo wazima. Naomba kazi ya Graphic Design kama • Kudesign logo • Kudesign business cards • Kudesign presentation Yaani kiujumla any design kwa kutumia • Adobe photoshop • Adobe Illustrator Uzoefu wangu ni miaka 2, Sijafundishwa chuo nimejifunza...
  3. Palina

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu wa kuishi kwa ndugu nipeni muongozo

    Binafsi mwezi huu wa tatu hivi karibuni nilisafiri kwenda mkoa X ila ni ndani ndani mpakani na Msumbiji huku. Kwakuwa ni kwa kaka yangu sikua na mashaka kwenda, bro ameshaoa tayari na pia ana watoto wawili sema anaeishi ni mmoja mwingine yupo kwa shangazi (yaani bibi) Haya wiki ya kwanza picha...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Uzoefu ukoje wa mitaa ya Malamba Mawili kwa anayeishi huko

    Wakuu msaada tutani. Kuna mwenye amewahi kuishi au anaishi huko malamba mawili anisaidie uzoefu pakoje kwa maana ya ni tambarare au miinuko, vp maji si tatizo? Na mengine yatayofaa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Simba yapoteza kwa Asec Mimosa, lakini kuna fundisho kwa wasio na uzoefu

    Nalitazama Kundi C CAF CL, Jwaneng Galaxy ana Point 1 mpaka sasa na mechi 1 mkononi,Mamelodi Sundowns na Al Ahly Wana Nafasi Kubwa Ya Kupita. Halafu,Natazama Kundi A, Timu mbili Za Sudan Hapo zilipofika kwa kweli CAF Wanatakiwa wazishukuru Kwa Kuja,Matumaini ya Kupita ni Zero! Simba...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu na Ajira za serikalini kupitia Utumishi

    Habari zenu waheshimiwa.Leo nimeona tangazo la kuitwa watu kwenye usaili NHC & TPC kupitia utumishi kama ilivyo kwenye document niliyo attachment hapo chini , MimiBinafsi niliomba nafasi ya Systems Administrator shirika la NHC ila kwenye kuitwa kwenye sahili Systems Administrator haipo...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Mwenye uzoefu na aina ya wanawake ambao wanadai wametingwa na shughuli kila saa

    Hi guys kwenye mahusiano yangu yaliyopita sijawahi kusumbuliwa na wadada wakati wa kutongoza kwa style hii Kuna mdada nlionana naye juzi, nikamwomba namba tuchat akanipa kirahisi, nikamtext jioni hiyo alijibu, shida ni kuwa Kila nikimwomba nikutane nae sehem ya canteen au public place anadai...
  8. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Watumishi wazoefu ndio wapelekwe Wizarani

    Ukienda Wizara ya Afya, utakuta kuna watumishi kedekede, wanaosimamia jambo ambalo hawajawahi lifanya. Kuna wafamasia, ambao hawajawahi toa hata kidonge kimoja kwa mgonjwa, kuna madaktari ambao hata ndugu yake akiumwa Typhoid atapiga simu kwa daktari mzoefu hospitalini amtajie dawa nzuri. Kuna...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu wa kufanya kazi na wahindi jamani

    Jamani nataka nitoke kwa mswahili nikafanye kazi na mhindi. Naombeni ushauri, tahadhari na maonyo niweze kufanya hiyo kazi. Muongee uhalisia ili nisije nikatupa mbachao. Uzi umeisha
  10. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Wakuu, Kutokana na wadau kadhaa kuja na mijadala anuai inayoonyesha kuwa wanayo mitaji yenye kuanzia kiasi cha TZS 100,000/= hadi TZS 999,999/=, tumeona ni vema tukawa na mjadala mmoja endelevu ambao utatoa mawazo mbalimbali ya jinsi ya kutoka kimaisha ukiwa na mtaji huo. Aidha, tunashauri...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa biashara ya uji

    Kama tittle inavyojielezea naomba kujua kwa wazoefu wa biashara za uji ambazo mara nyingi huwa zinafanyika asubuhi na jioni aweze kunipa nondo zaidi.
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ukraine: Wafungwa wenye uzoefu wa kijeshi kuachiwa ili wasaidie kupambania nchi yao

    Muendesha Mshataka Mkuu wa Serikali ya Ukraine ametangaza kuwaachia wafungwa wote wenye uzoefu wa kijeshi ili wasaidie kuipigania nchi yao Baadhi ya wafungwa wameshaanza kuachiwa. Ili kuweza kupambana na majeshi ya Urusi ambayo yameendelea kupiga nchi hiyo Aidha wanawake wa nchi hiyo wamesema...
  13. Kimemeta

    JamiiForums Tanzania Nataka kujikita katika shughuli za ufyatuaji matofali ya Block kibiashara, naomba uzoefu

    Wakuu za jumamosi. Tuzidi kuomba Amani Ulaya Mashariki Nataka kujikita katika shughuli za ufyatuaji matofali ya Block kibiashara. Kabla naomba kupata uzoefu kdg. Aina na gharama ya mashine nzuri za kufyatulia, maeneo mazuri ya kufungulia biashara hiyo, usimamizi wake ukoje, faida na hasara...
  14. stevhinoz

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi: Nina Uzoefu Miaka 10 + Ujuzi Maeneo Zaidi Ya 17

    Habari za majukumu ndugu zangu! Nawasilisha hapa ombi kwa yoyote ataeguswa na kunisaidia kupata kazi. Nimefanya kazi kwa miaka 10 katika maeneo tofauti mpaka mwaka 2020 ndio ilikuwa mara yangu ya mwisho kupata ajira. Kilichotokea ni kwamba mradi niliokuwa nafanya kazi ulifika mwisho na shirika...
  15. Evari77

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa kusafirisha mizigo kwa njia ya meli

    Habari wakuu, Nimekuwa mzoefu kidogo kuagiza vitu kwa njia ya air kupitia makampuni mbalimbali. Kwa leo nahitaji mwenye uzoefu wa njia ya meli. Maana mizigo ya ndege inaenda kwa uzito. Ila ya meli wanatumia cubic meters. Naombeni ndondo zake.
  16. NYUNDO YA MOTO

    JamiiForums Tanzania Uzoefu na ugeni katika mapenzi ulivyosababisha kula kitumbua kwa shida au kutokula kabisa

    Ilikuwa Ni siku ya weekend jumosi Siku ilikuwa na hali ya hewa tulivu kama Dalili ya mvua kunyesha. Niliamka asubuhi na mapema nikafanya usafi wa mwili na mazingira, Nikanywa chai nzito, nikaenda Chumbani nikachukua kitabu nisome ili nijiliwaze na kupoteza mawazo ya ahadi ya tunda tuliyo wekeana...
  17. No SQL

    JamiiForums Tanzania "AUCTION HOUSE JAPAN'' Naomba uzoefu wenu kuhusu huu mtandao wa kuuza magari japan

    Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na hao jamaa wa AHJ nikaona offer zao sio mbaya sana, sasa wadau wa kuagiza magari, naomba 123 kuhusu huu mtandao.
  18. RWANTANG

    JamiiForums Tanzania Tubadilishane uzoefu: Unawasaidiaje vibaka wa maeneo ulipo kuwa raia wema?

    Kama kichwa cha mada kinavyo jieleza tubadilishane uzoefu kuhusu hilo. Kwa upande wangu hujichanganya nao na kupiga nao stori mbili tatu lengo ni kujua misimamo yako na maisha yao ya baadae pia kutambua ambao hawapendi ukibaka bali kuna msukumo unao wapelekea kuwa hivyo Kisha huwaweka pamoja...
  19. Nyani Mzee Snr

    JamiiForums Tanzania Mchango na uzoefu wenu kwenye Discovery 4 5.0L V8 (Mawazo)

    Kuna jamaa mwamba wangu amenipa sugestion ya hii chuma katika kusakanya mkangafu wa kutunishiana misuri rodini huko.. toka jana nimekua na google nacheki youtube kuhusu hii chuma.. Mie ni mpenzi wa sedan ila huku mikoani ambapo nahamia kubaya sana kila siku kuna uwezekano wa kung'oa au bumper...
  20. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kuna mwenye uzoefu wa kudate na mwanamke Engineer humu?

    Naje wazee? Aisee,kuna mdada ni engineer tuko nae kwenye mahusiano huu mwezi wa pili lakini dezaini flani kama sizisomi pigo zake.huyu manzi ni engineer by profession ila yuko busy balaa, inaweza ikapita hata week nzima hapatikani ukimuuliza anasema alikua site porini huko kwenye project na...
Back
Top Bottom