uzoefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzee Wa Republican

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo na uzoefu kuhusu biashara ya kukopesha pesa (Microfinance)

    Ndugu wananchi, wanabodi na great thinkers wa humu JF Salaam !! Tayari mwaka 2023 umeanza kwa kasi na kama ilivyo ada tumeendelea na pilika pilika za kusaka maisha kona mbali mbali. Katika harakati za kujikwamua kiuchumi nimefikiria kufanya biashara ya kukopesha pesa (Microfinance). Kiufupi ni...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Cameroon atoa uzoefu wake wa kusoma nchini China

    Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Pili cha Yaounde nchini Cameroon imefanya mkutano wa hadhara wa “Soma nchini China, changamsha maisha yako", na kumwalika Joseph Olivier Mendo’o, ambaye ni mhitimu wa Taasisi hiyo kutoa uzoefu wake wa kusoma nchini China. Takriban watu 200, wakiwemo...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mliokuwepo wakati 'bana ba cameroon' inatoka naomba uzoefu wenu!

    Ndo hivyo! Sijazaliwa kipindi hicho, lakini haki ya nani huu wimbo huwa sichoki kuusikiliza. Waheshimiwa mliokuwepo kipindi unatoka naomba mnipatie picha tu la vibe Lake lilikuaje maana hiki kibao si cha mchezomchezo!
  4. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nimesoma computer science pia nina uzoefu wa ualimu

    Habari ndugu zangu!! Natafuta kazi ili nijikwamue kiuchumi maana mtaani ni kugumu sana. Elimu: Degree ya Computer Science UWEZO 1. Programing (C++, Python, Visual basic) 2. Computer Mantainance and troubleshooting 3. Photocopy Mantainance and troubleshooting 4. Printer Mantainance and...
  5. Grahams

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye Uzoefu na Biashara ya Vituo vya Mafuta [Fuel Stations]

    Habari za Muda huu Wakuu! Kadri Umri unavyosogea, na majukumu yanapoongezeka ndivyo tunavyozidi kutafuta namna mpya ya kuwekeza ili kupata Uhuru wa Kiuchumi (Financial Freedom) kuelekea kwenye Umri wa Uzee. Kwa muda mrefu nimekuwa nawiwa kufanya uwekezaji kupitia kujenga na kumiliki Kituo cha...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wenye ujuzi na uzoefu kuhusu kazi ya uvuvi

    Namaanisha ile kwenda baharini na kuomba kibarua cha kazi ya kuanza kuvua samaki hlf ni mgeni na sina uzoefu wa kuogelea. Nimeongea na wavuvi wenyeji Wenye mtumbwi wa kawaida tu, wamekubali nijiunge nao, je ni kazi yenye maslahi? Malipo yake kwa siku ni tshs ngapi? Majukumu yangu yatakuwa...
  7. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Je, waliooana wanakula bata sana kuliko sisi tunaolala kama baiskeli imepaki? Uzoefu wenu tafadhali

    Hasa msimu huu wa mvua na kibaridi huwa nahisi waliooa na kuolewa wanafadi Sana hasa nyakati za usiku. Au Ni mawazo yangu? Maoni yenu hasa wenye ndoa zao sio michepuko.
  8. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kama uliwahi kurogwa au unamfahamu aliyerogwa elezea hapa na wengine wajifunze

    1. Ndugu mmoja alipigwa marufuku kukatiza katika uwanja wa jirani akiwa anatoka kuteka maji. Huyu dada hakusikia akawa analazimisha, Yule mzee akampa onyo la mwisho, Kwa kiburi ndugu yule akalazimisha kupita. Siku iliyofuata alishangaa miguu inaishiwa nguvu na inakuwa ya baridi. Tangu siku hiyo...
  9. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Wazee labda tupeane uzoefu hili swala huwa mnalimaliza kwa mtindo gani?

    Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati. Wazee hapa mimi nimekwama hivi hili swala la unaenda pub unamnunulia bia manzi mnapanga kabisa kuwa hapa tunaondoka wote anakubali hapo mnapo yapanga hayo yote ni mida ya saa nne usiku ndiyo unaingia pub na umeshamchora mtoto kuwa hana mtu. Lakini inafika...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania BAVICHA: Uzoefu wa kazi usiwe kigezo kwenye kuajiriwa

    Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), John Pambalu ameiomba serikali kulegeza kigezo cha uzoefu wa kazi kama mojawapo ya sharti la ajira kwa vijana. Pambalu alisema hayo Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya...
  11. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha tovuti kwa ajili ya addiction ili tuweze peana uzoefu wa kukabiliana nao

    Habariiii viongozi baada ya kufikiria kwa sana nataka kuanzisha tovuti ambako watu wenye addiction mbalimbali watakutana na kujadili nini cha kufanya hasa kwa lugha yetu hadhimu Addiction kama 1.punyeto 2.ulevi 3.uvutaji sigara 4.kuangalia porn 5.uvivu 6.kuwaza ngono all time(uzinzi) N.k...
  12. MrsPablo1

    JamiiForums Tanzania Wasaidizi wa kazi za nyumbani wenye uzoefu na maadili mema

    Kuna mabinti watatu wanatafuta kazi Umri ni miaka 21,20,18, Elimu kidato cha nne, Wanauzoefu wa kutosha na kazi zote za nyumbani. Mimi nafahamia na binti mmoja huyo wa miaka 21, hao wengine ni wadogo zake. Mshahara utategemea na ukubwa wa familia yako, kati ya 70,000/ mpaka 100,000/. Wapo...
  13. Gooluckyshy

    JamiiForums Tanzania Nimesoma NIT kozi ya Advanced Driver's Grade II VIP. Naomba kazi nina uzoefu wa miaka 4

    Naitwa Goodluck nina umri wa miaka 3, nimesoma NIT kozi ya Advanced Driver's Grade Two-VIP. Nina uzoefu wa miaka 4 katika kazi ya udereva na nina endesha gari za aina zote. License Class A, A2, B, C1,C2,C3,D na E.
  14. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Tigo wameniibia pesa: Naomba uzoefu wenu kupambana na wizi huu

    Leo ni siku kadhaa nikipambana na wizi wa pesa niliyokuwa nayo ndani ya tigopesa. Huduma kwa wateja wameleta hadithi tofauti za aina tatu zote nimekataa. Walianza na kusema zimerudi benki, benki imesema haina ujinga huo. Wakasema zitarudi baada ya masaa 24 bado hazikurudi. Mwisho wanasema...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Uzoefu, uongozi, jamii, serikali, UVCCM twende na Mwakibinga

    UZOEFU ,UONGOZI,JAMII, SERIKALI,UVCCM TWENDE NA MWAKIBINGA 2012-Waziri wa Michezo Chuo cha Uandishi wa Habari DSJ(DASJOSO) 2013-Mjumbe Uangalizi Uchaguzi Mkuu Nchini ZIMBABWE 🇿🇼 Kupitia SADC 2016-Mhariri Msaidizi Gazeti la JKT, Mwandishi wa Habari Makao Makuu JKT, Afisa Idara Matangazo Makao...
  16. Mr_Plan

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na hii pcmcia kwenye TV atupe muongozo

    Hii Slot nimeona kwenye TV Yangu Aina ya LG Lakini Hadi Sasa Sijajua Matumizi Yake Wenye Ufahamu ni Slot ya PCMCIA Atupe Muongozo
  17. K

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu kuhusu wanaojiita wataalam tiba

    Naomba na mimi leo nitoe uzoefu wangu kuhusu hawa wanaojiita wataalamu tiba za asili. Nilipatwa na changamoto mwaka huu mwanzoni mtoto wangu binti wa kike yupo kidato cha tatu alipatwa na hali isiyo kawaida. Alikuwa anasoma Boarding darasani akawa analala tu na anaweza kulala masaa24 bila kuamka...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Nimepata uzoefu kuzuia wizi wa mtandaoni

    Kwanza nitafurahi nikipokea pole baada ya kuibiwa mara 2 kwa njia ya mtandao.Vile vile wanaoibiwa na serikali itafaidika ikinisikiliza namna wizi huo unavyoweza kama si kuzuilika basi kupunguzwa kwa kiasi kikubwa.. Wezi daima watakuwepo isipokuwa kama kuna nia safi ya kuwashughulikia basi huwa...
  19. youngsharo

    JamiiForums Tanzania Kitakachoibeba Yanga tarehe 16 OKtoba ni uzoefu na kujiamini

    𝘽𝘼𝙍𝙐𝘼 𝙔𝘼 𝙒𝘼𝙕𝙄 𝙆𝙒𝘼 𝙐𝙊𝙉𝙂𝙊𝙕𝙄 𝙒𝘼 𝙏𝙄𝙈𝙐 𝙔𝘼 𝙔𝙊𝙐𝙉𝙂 𝘼𝙁𝙍𝙄𝘾𝘼𝙉𝙎 (𝐘𝐀𝐍𝐆𝐀) 13/10/2022 Habari ndugu viongozi wa timu yangu pendwa 𝙙𝙖𝙧 𝙚𝙨 𝙨𝙖𝙡𝙖𝙖𝙢 𝙔𝙤𝙪𝙣𝙜 𝘼𝙛𝙧𝙞𝙘𝙖𝗻𝙨, au kama mnavojiita kiswahili 𝗬𝗮𝗻𝗴𝗮, au mnavotambulika 𝗧𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮 𝘄𝗮𝗻𝗮𝗻𝗰𝗵𝗶. Kwanza kabisa nitoe kongole kwenu viongozi na wote mlioiwezesha Yanga kufikia...
  20. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Tupeane uzoefu na mafundisho kutokana na visa na Mikasa tuliopitia

    Maisha ni safari ndefu yenye vikwazo na changamoto nyingi, wakati mwingine unaweza kusema maisha hayana raha na Kama ipo ni kidogo Sana. Hauta sahau nini katika maisha yako?
Back
Top Bottom