Uzoefu wa kuibiwa/kutapeliwa Dar es Salaam

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Sisi watu wa kuja Dar ambao tuliletwa hasa na mambo ya shule nk kwa namna moja ama nyingine tumewahi kulizwa katika jiji letu hili pendwa.

Mimi nina matukio kadhaa ya wizi ambayo nimewahi kufanyiwa hapa Dar.

Tukio la kwanza, ilikua miaka ya 2009, enzi hizo nakaa maeneo ya riverside hapo karibu na Mabibo Hosteli, sasa siku moja wakati natokea Ubungo pale darajani karibu kabisa na landmark hotel, nikauziwa simu fake mchana kweupe jua limewaka nikapigwa 20,500.

Nimeuziwa nikaambiwa nisiifungue kwanza, kweli nikawa mjinga sikufungua ile nimefika home kufungua kumbe ni udongo kwa ndani, nilijiona mjinga wa nambari moja.

Tukio la 2, miaka hiyo hiyo ya 2009 nilipanda daladala kutoka Mnazi mmoja kuja ubungo, sa 2 usiku na kisimu changu cha nokia 1100 ama nokia ya tochi, nimepanda daladala nimeshikilia mfuko lakini nikashangaa kufika Buguruni sina simu.

Tukio la 3, baada ya kumaliza masomo hapa Dar nikapata kazi mkoani, nikakaa muda baadae nikapata kazi tena kampuni nyingine hapa Dar ikanibidi kurudi Dar.

Nilipofika nikatafta madalali wa nyumba, nikapata mtandao wa kupatana, nikapata madalali wakanionyesha hadi nyumba maeneo ya Mbezi Kwa Zena/Mbezi ya chini.

Kisha nikapelekwa kwa mwenye nyumba upanga, nikalipia kisha niliporudi kwenye nyumba ili kufanya usafi nikakuta watu tofauti, hapo nikajua nimepiwa.

Nikapeleka kesi Kawe, ikawa kila siku ni danadana, nikaamua kutulia na kufanya mambo mengine. Wale jamaa wakaendelea kua wanafanya utapeli wao mtandaoni kama kawaida, mimi nikawaacha wakajisahau kwa miezi 3, kisha nikawatafta kwa kutumia vijana wangu hapa Dar, nikakamata mmoja. Tulichomfanya baadae niliamua kumsamehe kabisa. Sijui kama yuko hai ama alikufa. Wenzake walikimbia mji.

Tukio la 4, mwaka 2019, bodaboda alinyakua simu yangu kali kabisa Note 9 ndio zimetoka tu nikanunua jamaa akanyakua. Akaendelea kua nayo hewani siku 2 nzima. Nikatafta vijana wangu tukamsakua na kumkamata huko porini Mbagala, hatanisahau.

Tukio la 5, kipindi naishi Tabata kwa Ashura, wezi wameingia ndani nikiwemo nimelala wakaiba tv nchi 65 wakanywa juice kwenye friji, hiyo sikuhangaika kuitafta ikanibidi nihame tu mtaa.

Sasa nikikamata kijana ameniibia simpeleki polisi tena, nampiga miti kisha namuachia
 
Mimi sijui niseme niliibiwa au vipi hata sielewi.

Ilikuwa mjini kati wale wajamaa wana vitu vingi wanafanya kama mnada.

Sasa kwakuwa mimi mgeni nikashawishika nikajitosa, kawa zali nikashinda spika (yale maspika makubwa hasa yanayotumika makanisani)
Hilo dude nakumbuka nilishinda kwa shilingi mia tatu.

Huku na huku mizunguko yote nikajikuta nimetoa elfu stini na spika nikaikosa.

Sasa pale nikawa najiuliza, niende pale polisi msimbazi nikawashtaki jamaa wanirudishie hela yangu au vipi.
 
😀😀nilipigwa simu sina hamu nao nipo makumbusho jamaa nimekumbana nae kapanic kinoma wengine wakajaa kugeuka simu na washapotea

Siku nyingine tulikuwa na test nikiwa mwaka wa kwana term ya pili tukaweka simu Kama 5 kwa mkoba wa sister mmoja mi nilimaliza test mapema natoka nikakaa nje namsubiri atoke atupe simu zetu anatoka mkoba haupo mpaka watu wamechukua mikoba yote empty simu yangu haikuwa kali ilikuwa tecno ila palikuwa na iphone 1, Samsung 3 na kimeo changu tumesaka mpaka tumekoma yule wa iphone alikuwa demu mmoja alilia kinoma.
 
Mimi sijui niseme niliibiwa au vipi hata sielewi.

Ilikuwa mjini kati wale wajamaa wana vitu vingi wanafanya kama mnada.

Sasa kwakuwa mimi mgeni nikashawishika nikajitosa, kawa zali nikashinda spika (yale maspika makubwa hasa yanayotumika makanisani)
Hilo dude nakumbuka nilishinda kwa shilingi mia tatu.

Huku na huku mizunguko yote nikajikuta nimetoa elfu stini na spika nikaikosa.

Sasa pale nikawa najiuliza, niende pale polisi msimbazi nikawashtaki jamaa wanirudishie hela yangu au vipi.
nimewahi kutapeliwa kwa mtindo huo, sh 70k
 
Niliibiwa simu kwenye dalala za makimbusho wakaniachia kava.

Nnachoshangaa adi leo ni kuwa walichoaje simu nakuacha kava la simu.

Nilikuwa nikijishika mfukoni najua simu ipo kumbe kava. Kuna mda nikasema wacha niingie JF kidogo ndo nakuta kava make hapo nkacheka kwanza
 
Wana dawa hawakosei hamna ujanja wakipanga utaliwa tu
 
Mimi sijui niseme niliibiwa au vipi hata sielewi.

Ilikuwa mjini kati wale wajamaa wana vitu vingi wanafanya kama mnada.

Sasa kwakuwa mimi mgeni nikashawishika nikajitosa, kawa zali nikashinda spika (yale maspika makubwa hasa yanayotumika makanisani)
Hilo dude nakumbuka nilishinda kwa shilingi mia tatu.

Huku na huku mizunguko yote nikajikuta nimetoa elfu stini na spika nikaikosa.

Sasa pale nikawa najiuliza, niende pale polisi msimbazi nikawashtaki jamaa wanirudishie hela yangu au vipi.
Wale jamaa ni nyoko wanacheza na saikolojia yako mpaka unawapa hela yote ulonayo
 
Niliibiwa simu kwenye dalala za makimbusho wakaniachia kava.
Nnachoshangaa adi leo ni kuwa walichoaje simu nakuacha kava la simu.
Nilikuwa nikijishika mfukoni najua simu ipo kumbe kava. Kuna mda nikasema wacha niingie JF kidogo ndo nakuta kava make hapo nkacheka kwanza
Hapo kava walikubadilishia ila la kwenye simu hawakulitoa
 
Bora wewe kava!!Mimi stand ya mabasi kipindi hicho ipo ubungo,saaa 11 alfajiri msongamano hatari wakatoa simu mfukoni wakaniwekea kibao chenyewe cheusi wamepaka Rangi kama simu!nimestuka tunaitafta kibaha.
 
Sisi watu wa kuja Dar ambao tuliletwa hasa na mambo ya shule nk kwa namna moja ama nyingine tumewahi kulizwa katika jiji letu hili pendwa.

Mimi nina matukio kadhaa ya wizi ambayo nimewahi kufanyiwa hapa Dar.

Tukio la kwanza, ilikua miaka ya 2009, enzi hizo nakaa maeneo ya riverside hapo karibu na Mabibo Hosteli, sasa siku moja wakati natokea Ubungo pale darajani karibu kabisa na landmark hotel, nikauziwa simu fake mchana kweupe jua limewaka nikapigwa 20,500.

Nimeuziwa nikaambiwa nisiifungue kwanza, kweli nikawa mjinga sikufungua ile nimefika home kufungua kumbe ni udongo kwa ndani, nilijiona mjinga wa nambari moja.

Tukio la 2, miaka hiyo hiyo ya 2009 nilipanda daladala kutoka Mnazi mmoja kuja ubungo, sa 2 usiku na kisimu changu cha nokia 1100 ama nokia ya tochi, nimepanda daladala nimeshikilia mfuko lakini nikashangaa kufika Buguruni sina simu.

Tukio la 3, baada ya kumaliza masomo hapa Dar nikapata kazi mkoani, nikakaa muda baadae nikapata kazi tena kampuni nyingine hapa Dar ikanibidi kurudi Dar.

Nilipofika nikatafta madalali wa nyumba, nikapata mtandao wa kupatana, nikapata madalali wakanionyesha hadi nyumba maeneo ya Mbezi Kwa Zena/Mbezi ya chini.

Kisha nikapelekwa kwa mwenye nyumba upanga, nikalipia kisha niliporudi kwenye nyumba ili kufanya usafi nikakuta watu tofauti, hapo nikajua nimepiwa.

Nikapeleka kesi Kawe, ikawa kila siku ni danadana, nikaamua kutulia na kufanya mambo mengine. Wale jamaa wakaendelea kua wanafanya utapeli wao mtandaoni kama kawaida, mimi nikawaacha wakajisahau kwa miezi 3, kisha nikawatafta kwa kutumia vijana wangu hapa Dar, nikakamata mmoja. Tulichomfanya baadae niliamua kumsamehe kabisa. Sijui kama yuko hai ama alikufa. Wenzake walikimbia mji.

Tukio la 4, mwaka 2019, bodaboda alinyakua simu yangu kali kabisa Note 9 ndio zimetoka tu nikanunua jamaa akanyakua. Akaendelea kua nayo hewani siku 2 nzima. Nikatafta vijana wangu tukamsakua na kumkamata huko porini Mbagala, hatanisahau.

Tukio la 5, kipindi naishi Tabata kwa Ashura, wezi wameingia ndani nikiwemo nimelala wakaiba tv nchi 65 wakanywa juice kwenye friji, hiyo sikuhangaika kuitafta ikanibidi nihame tu mtaa.

Sasa nikikamata kijana ameniibia simpeleki polisi tena, nampiga miti kisha namuachia
Kwani ujui chuo cha utapeli kipo mtaa wa lumumba pale utamkuta mkuu wa chuo anaitwa Shaka
 
Back
Top Bottom