uzalishaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi UVIKO-19 ulivyoathiri upatikanaji, utunzaji na uzalishaji wa vyakula

    JINSI HALI YA UVIKO 19 ILIVYO LETA ATHARI KATIKA UPATIKANAJI, UTUNZAJI NA UZALISHAJI WA CHAKULA. UTANGULIZI UVIKO 19 ni ugonjwa ulio anza kusambaa mwishoni mwamwaka 2019, ukianzia huko nchini CHINA katika jimbo la WUHAN. Ugonjwa huu unaushisha dalili mbalimbali ikiwepokupumua kwa shida, mafua...
  2. imem2022

    JamiiForums Tanzania SoC02 Udhibiti wa taka ngumu ngazi ya kaya, maeneo ya biashara na uzalishaji katika usimamizi wa mazingira

    Utangulizi` Mazingira ni jumla ya ardhi, maji, hewa na kila kilichopo ndani yake, mwanadamu akiwa sehemu ya mazingira anawajibu mkubwa katika usimamizi wake. Aidha, mwanadamu ana mchango mkubwa sana katika uzalishaji wa taka ikiwemo taka ngumu na aina mbalimbali za taka katika mazingira. Taka...
  3. LUS0MYA

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Cement Tanga chasimamisha uzalishaji kutokana na ukosefu wa umeme

    Taarifa ya habari ya UTV imeripoti leo magari ya kubeba cement yamekwama kwa zaidi ya siku saba kwa ukosefu wa mzigo wa cement kutokana na kusimama uzalishaji. TANESCO imeshindwa kutoa umeme wa kutosha kwa uzalishaji na meneja wa kiwanda amedai wanatumia zaidi ya milioni 500 kwa mwezi kununua...
  4. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mchango wa ufugaji nyuki katika kukuza uzalishaji katika sekta ya kilimo

    UTANGULIZI Ufugaji Nyuki ni sanaa na ni sayansi pia inayohusisha ukusanyaji , usimamizi na uongezaji wa makundi ya Nyuki kwa lengo la kuzalisha mazao ya mbalimbali ya Nyuki kama vile Asali, nta , gundi ya nyuki , sumu ya nyuki , maziwa ya nyuki , watoto wa nyuki n.k , lakini pia kufanya ustawi...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi zao la alizeti linaweza kupunguza uhaba wa mafuta ya kupikia

    UTANGULIZI Sekta ya kilimo inachangia zaidi ya 40% ya pato la taifa. Ili taifa loloteliweze kukua vizuri kiuchumi lazima liwe na mikakati dhabiti na endelevu juu ya kilimo bora na chenye tija kwa taifa na kwa wananchi wake Kilimo za alizeti...
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Azam Bagamoyo Sugar waanza uzalishaji

    Hatimaye kampuni ya Azam kupitia kiwanda chake cha Bagamoyo Sugar wameanza uzalishaji rasmi. Je tutgemee, unafuu kwenye bidhaa ya sukari nchini?
  7. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Urusi yazalisha bidhaa zinazofanana na za Coca cola baada ya kampuni hiyo kusitisha uzalishaji nchini humo

    Huko Urusi Baada ya kampuni ya Coca cola kusitisha uzalishaji nchini Russia kupinga uvamizi wa Russia nchini ukraine. Sasa Warusi wamevichukua Viwanda vya Coca Cola Vilivyoko na kuendelea na uzalishaji wa vinywaji hivyo ambavyo sasa haiitwi Coca Cola tena bali Cool Cola. Na Vinywaji hivyo...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Serikali Kufanya Mapitio ya Sera za Biashara Kwa Kuziboresha Kuwezesha Sekta Binafsi Kuchangia Uzalishaji Ajira Milioni 8- Waziri, Dr. Ashatu Kijaji

    Wanabodi, Nilihudhuria hii eventi Mshindi wa kwanza wa shindano la “STARTUPPER OF THE YEAR CHALLENGE BY TOTALENERGIES, Innocent Sule (mwenye Rasta ambaye picha yake pia inaonekana ukutani) wa kiwanda cha Soma Factories Tanzania Group ambao wanatengeneza mabegi ya shule yanye taa ya solar ya...
  9. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Tanzania itapata maendeleo makubwa iwapo fedha nyingi zitawekezwa kwenye tafiti na miradi ya uzalishaji na sio kwenye siasa

    Wakuu! Tumechelewa Sana kupata maendeleo ya kweli nchini tangu tupate uhuru kwa kuwekeza fedha nyingi kwenye siasa kuliko miradi ya uzalishaji. Nchi yetu iliamua kuwa kupiga domo kwenye siasa NDIO kulipe Sana kuliko utafiti wa mbegu Mpya za kilimo na ufugaji pale SUA. Miradi ya uzalishaji...
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Toyota kusitisha uzalishaji wa magari kutokana na marufuku ya kutoka nje mjini Shanghai

    Kampuni ya uzalishaji wa magari ya Toyota imesema itasitisha shughuli za uzalishaji katika viwanda vyake nchini Japan mwezi huu kutokana na marufuku ya kutoka nje kwa #Covid mjini Shanghai. Hii ni kampuni kubwa ya pili ya magari kutangaza kuwa inaathiriwa na marufuku ya kutoka nje ya Covid-19...
  11. mgt software

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa na maono juu ya mpango wa Magereza kuwa na shughuli za uzalishaji. DPP ndiye kikwazo

    Wana JF Nimefuatilia sana maono ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tano mawazo ya magereza kuwa na shughuli za kilimo , viwanda na ufugaji. Hayati Magufuri aliyasema hayo wakati magereza wakitaka kuongezewa chakula na fedha za kujikimu wakati wafungwa wapo bure wanasaga fedha za serikali. Kwanini...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo yanafanyika kwa Norway kuongeza uzalishaji wa mafuta na gas

    Mawaziri wa nishati wanaishauri Norway kuongeza uzalishaji wa gas na mafuta ili kuziba pengo la gas na mafuta kutoka Urusi. Bulgaria na Poland wanategemea kiasi kikubwa cha nishati kutoka Urusi. Hata hivyo hatua za kuongeza uzalishaji zinahitaji michakato, mpaka kufikia michakato hiyo labda...
  13. Njowepo

    JamiiForums Tanzania Nini kimetokea mpaka kufa kwa uzalishaji wa Ngano hecta 350,000 kule Bassotu Manyara?

    Ili shamba lina zaidi ya miaka 45 na mpaka reli ilijengwa kwenda maeneo yale. Tungekuwa tumeliendeleza huu uhaba wa ngano sasa ingwekuwa kuna ahaueni. Nadhani ni mda muafaka wadau sector binafasi kwa kushiriana na serikali kufufua kilimo cha Ngano aya maeneo. Pata habari kamili kuhusu ili...
  14. Faana

    JamiiForums Tanzania Uzalishaji na Exportation ya hizi mashine uliishia wapi?

    Ujio wa Tanzania ya viwanda ulitajwa kuwepo na vifaa hivi kwaajili ya soko la ndani na nje pia Where are we now?
  15. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Msaada: spare za magari yalisitiswa uzalishaji

    Wakuu kwema humu? Naomba msaada wa elimu na ufahamu kidogo? Hivi spare za magari ambayo makampuni ya magari yashasitisha uzalishaji wake huwa zinakua sokoni hadi muda gani zinakua hazipatikani tena? Mfano umenunua gari leo afu baadaye unagudua hizo gari hazizalishwi tena, je spare...
  16. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tujifunze: Russia inafadhili vikundi vya mazingira, vinavyopiga kelele Ulaya na Marekani kuzuia uzalishaji nishati

    Kuna vikundi vitatu vikubwa nchi za Ulaya na Marekani, ambavyo vimekuwa vikibweka sana kuzuia miradi mikubwa ya uzalishaji nishati mbadala kwa Ulaya na Marekani ambavyo vimesababisha uzalishaji wa nishati kwa nchi hizo upungue sana, hadi kuifanya Ulaya sasa kutegemea Nishati ya Russia kwa...
  17. Mtamba wa Panya

    JamiiForums Tanzania Algeria yapuuzia maombi ya kuongeza uzalishaji wa gesi kufidia gesi ya Urusi

    Taifa la Algeria mpaka sasa limeendelea kuwa "Neutral" na limekataa kuongeza uzalishaji wake wa gesi kwa ajili ya soko la Ulaya kufidia "gepu" lililoachwa na nchi ya Urusi, Vyombo vya habari vya nchi za kiarabu vimeripoti. Miundombinu ya LNG Msimamo huo wa Algeria umedhihirisha umuhimu wa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Kupunguza gharama za uzalishaji, kuongeza bidhaa na faida

    ECONOMIES OF SCALE Hiki ni kitendo cha kupungua kwa gharama ya uzalishaji (Average cost) kadri ya uzalishaji wa bidhaa unavyoongezeka. Njia ambazo zitamsaidia mfanyabiashara kupata economies of scale ni kama zifuatazo: 1. Kununua mahitaji yanayohitajika katika uzalishaji kwa bei ya jumla...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Faida katika biashara, gharama za uzalishaji, idadi ya bidhaa

    AVERAGE COST Kama tunavyofahamu neno average ni wastani, na cost ni gharama. Hivyo Average cost ni kuchukua jumla ya gharama zote fixed na variable cost (total cost) alafu ugawe kwa idadi ya vitu ulivyovizalisha (output). Mfano: Muuza mihogo ya kukaanga ametumia gharama ya 50,000 na...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya BioNTech kuwasilisha vifaa vya uzalishaji chanjo Afrika kwa nchi ya Senegal, Rwanda na Afrika Kusini

    Kampuni ya kutengeneza chanjo ya Ujerumani BioNTech leo imetangaza mpango wa kupeleka vifaa vya kutengeneza chanjo zake barani Afrika. Kampuni hiyo ambayo pamoja na kampuni kubwa ya madawa ya Pfizer ilitengeneza chanjo ya kwanza ya virusi vya corona iliyoidhinishwa na Umoja wa Ulaya na...
Back
Top Bottom