uzalishaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi yakumbwa na uhaba wa mafuta, ilhali ndio inaongoza kwenye uzalishaji wa mafuta

    Japo inaongoza kwenye uzalishaji wa mafuta lakini vinu vyake vimekumbwa na matatizo, haviwi maintained, na anguko la hela ya Urusi yaani ruble kumechangia pakubwa...... Hawa wazungu wa Urusi sijui kwanini waliingia kwenye huu uzombi, walikua vizuri sana, wamekua kama waarabu sasa. Empty...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Massaga: Uzalishaji Maji tiba Hospitali ya Bugando kuokoa fedha ambazo zingetumika kununua maji tiba kutoka sehemu nyingine

    Idara ya famasi imefanya maboresho makubwa kupitia kitengo cha uzalishaji maji tiba, (Infusion Unit). Akizungumza katika makabidhiano Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, Dkt. Fabian Massaga amewapongeza Idara ya Famasi kwa jitahida kubwa wanazofanya ili kuongeza uzalishaji...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Iringa: Kina cha Maji Bwawa la Mtera chapungua na kuathiri uzalishaji Umeme

    Kina cha maji cha Bwawa la Mtera, Mkoani Iringa kimepungua na hivyo kupunguza Uzalishaji wa umeme kutoka megawati 80 mpaka 72. Hayo yamebainika leo Septemba 9, 2023 baada ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kutembelea bwawa hilo ili kuona uzalishaji wa umeme. Mwenyekiti wa Kamati...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji awataka Wakulima kuongeza kasi ya uzalishaji wa Malighafi za Mafuta.

    Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji awataka Wakulima kuongeza kasi ya uzalishaji wa Malighafi za Mafuta. Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji(MB) amewataka wakulima hususani wanaozalisha malighafi ya viwanda vya mafuta ya kupikia kuongeza uzalishaji kutokana na uwepo wa viwanda vingi vya...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa FCS: Teknolojia inaweza kuwa chachu ya kuongeza kasi ya maendeleo na uzalishaji

    Mkurugenzi wa Foundation For Civil Society (FCS) Francis Kiwanga, amesema kuwa Teknolojia inaweza kuwa chachu ya kuongeza kasi ya maendeleo pamoja na kuwawezesha Watanzania kuongeza uzalishaji, kutafuta masoko na hatimaye kukuza vipato vyao. Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation For Civil Society...
  6. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwekezaji sahihi kwenye sekta ya uzalishaji ndio mwarobaini wa tatizo la ajira nchini

    Huku mitaani idadi ya vijana wasio na ajira ni kubwa na inazidi kuongezeka Kila uchao. Tatizo ni kubwa na linazidi kuongezeka kwa Kasi,ajira ndio msingi wa kipato na kipato ndio msingi wa maisha. Yapo mawazo yanayowataka vijana wajiajiri,kinadharia ni dhana nyepesi kuizungumza lakini ngumu...
  7. DON YRN

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi ninavyofaidika na uzalishaji wa hizi bidhaa nilizojifunza mtaani kuliko Elimu yangu lakini tatizo ni kwamba ...

    Jina langu naitwa DON YRN. Mwaka 2012 nilihitimu elimu yangu ya kidato cha nne katika mkoa mmoja wapo ndani ya nchi yetu. Matokeo ya mtihani hayakuweza kufikia kiwango cha mimi kuingia kidato cha tano hivyo kulingana na shinikizo na ushauri mbalimbali wa wazazi, ndugu na jamaa niliamua kuangalia...
  8. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Business Partner Anahitajika Katika Upanuzi wa uzalishaji Sabuni za ngozi na Mafuta Ya Nywele

    NATURAL SKIN SOLUTION IMANI YETU Tunaamini kazi kubwa ya msimamizi wa biashara (CEO) ni kuunganisha sera, mipango , rasilimali pamoja na miundombinu kuhakikisha biashara inapata faida kubwa kwa kadri inavyowezekana Katika kufikia lengo hili , CEO atajikita kufanya maamuzi ya aina mbili; Moja...
  9. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania January Makamba: Bwawa la Nyerere limebakiza Mita 2 za Ujazo ili kuwa na uwezo wa kuzalisha Umeme

    Hatimaye mashine ya kwanza kuanza kuzalisha umeme, Mambo tayari huko 🔥🔥🔥 Hongera Serikali, Hongera Rais na Hongera Waziri Makamba ======= Picha: WAZIRI wa Nishati, January Makamba Serikali imetangaza kuwa, wiki moja ijayo kina cha maji katika bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 za kiafrika zilizoongoza kwa uzalishaji wa maliasili mbalimbali kwa mwaka 2022

    Ifuatayo ni orodha ya mataifa 10 ya kiafrika yaliyo ongoza kwa uzalishaji wa maliasili mbalimbali kama Madini, Mafuta Ghafi nk kwa mwaka uliopita 2022 kwa bahati mbaya Tanzania sio miongoni mwa mataifa hayo pamoja na kwamba tunaambiwa kwamba nchi yetu ni moja ya nchi tajiri sana Afrika kama sio...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Atoa Milioni 100, Kuongeza Uzalishaji Mbegu Bora

    RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa sh. milioni 100 kwa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) Kituo cha Hombolo, kuongeza uzalishaji wa mbegu bora za mazao kwa wakulima. Akizungumza jijini hapa mwisho wa wiki, Meneja wa Kituo cha TARI Hombolo, Dk. Joel Meliyo alisema fedha hizo zimesaidia...
  12. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kilimo, Miundombinu, Uzalishaji Kuipaisha Awamu ya Sita

    Mtaalamu wa wa Uchumi na Fedha, CPA Issa Masoud, ametaja sekta tatu zinazoipaisha nchi kiuchumi, chini ya uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Masoud alizitaja sekta hizo kuwa ni kilimo, usafirishaji na sekta ya huduma, ambazo zimeboreshwa kupitia uwekezaji mkubwa unaofanywa na serikali...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Nchi tano zinazoongoza kwa uzalishaji wa dhahabu duniani

    Hii ndio orodha ya nchi tano zinazoongoza kwa uzalishaji wa dhahabu duniani. Pamoja na wanasiasa wa Tanzania hasa wale wa ccm kutudanganya hasa miaka ya nyuma kwamba na sisi tulikuwa miongoni mwa mataifa hayo kumbe zilikuwa ni kiki za kisiasa tu. 1. China - 332 Tons 2. Russia -330.9 Tons 3...
  14. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Video: Kiwanda kikubwa cha uzalishaji magari chaanza kazi rasmi

    Wakati tukijadili namna kamati ya viwanda toka wizarani ilivyomnanga Masoud Kipanya na vigari vyake, tuangalie namna Ghana inavyotengeneza magari kama Japan kwa sasa....
  15. J

    JamiiForums Tanzania DAWASA yatangaza kuzimwa kwa mtambo wa uzalishaji maji Ruvu Juu Jumamosi April 15

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wateja na wananchi wanaohudumiwa na Mtambo wa kuzalisha maji Ruvu Juu kuwa, kutakuwa na ukosefu wa huduma ya maji kwa wastani wa saa 16 siku ya Jumamosi , Aprili 15, 2023. Muda: Kuanzia Saa 12 jioni hadi Saa 4...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Nchi 20 zinazoongoza kwa uzalishaji wa gesi asilia duniani

    Ifuatayo ni orodha ya nchi 20 zinazoongoza kwa uzalishaji wa gesi asilia duniani, Tanzania gesi yetu ni cha mtoto. 1. Marekani 2. Russia 3. Iran 4. China 5. Canada nk. Endelea kusoma hapa chini: https://finance.yahoo.com/news/top-20-natural-gas-producing-135029977.html
  17. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Uzalishaji wa chuma unatakiwa kuwa kipaumbele cha kwanza nchi hii

    Duniani hakuna nchi kubwa iliyopuuza uzalishaji wa chuma na ikaendelea. Nchi karibu zote za kiafrika zipo hohehahe sababu mojawapo ni kupuuza uzalishaji wa chuma. Kwa sasa(Pamoja na kusema tupo information age) chuma ndicho engine ya uchumi wa nchi yoyote ile. Makaburu wa South Africa...
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania Shanta Gold yaanza uzalishaji wa dhahabu kwenye mgodi wa Singida

    Kampuni ya uchimbaji dhahabu ya Shanta imesema imepata dhahabu yake ya kwanza kwenye mgodi wake wa Singida yenye uzito wa wakia 35 baada ya kufanya uchenjuaji. Wakia 35 za dhahabu zilizalishwa huku nyingine 500 zikiwa kwenye mchakato. Mkurugenzi wake, Eric Zurrin amesema hii ni hatua kubwa kwa...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia na Washirika wa OPEC+ wakubaliana kupunguza uzalishaji Mafuta ili kulinda Soko

    Muungano huo ukiongozwa na Saudi Arabia utapunguza kiasi cha Mapipa Milioni 1.5 kila siku kuanzia Mei 2023 huku ukiita hatua hiyo ni ya tahadhari na inayolenga utulivu wa soko. Saudi Arabia itapunguza Pipa 500,000, Iraq 211,000, Umoja wa Falme za Kiarabu 144,000, Kuwait 128,000, Oman 40,000...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Elia Wilinasi amechapisha andiko lingine linalohusu uzalishaji wa gesi kwenye journal ya kimataifa inayoitwa Geoenergy Science and Engineering

    Habari marafiki, Nataka kuwataarifu kuhusu andiko jipya lililochapishwa na Bwana Elia Wilinasi kwenye journal ya kimataifa inayoitwa (Geoenergy Science and Engineering) kuhusu uzalishaji wa gesi. Journal hii ina impact factor (IF) ya 5.168 na CiteScore ya 8.1 kwa mwaka 2021. Ikumbukwe journal...
Back
Top Bottom