Marekani kuanza kusitisha uzalishaji wa magari yanayotumia petrol kuanzia2035

mtarimbo

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
1,529
3,919
Wenzetu wako mbele sana ,wakati sisi tunapambana na tozo.

Jimbo la California ndilo ltaanza na hiyo program ,sidhani kama mbeleni vitukuu vyetu vitaendesha magar ya mafuta.

California has laid out an audacious goal: In 13 years, it should no longer be possible anywhere in the state to buy a new car that runs purely on gasoline.

Yet it remains to be seen whether California can turn that vision into a reality. The state’s plan to ban sales of new internal-combustion engine vehicles by 2035, approved by regulators on Thursday, sets strict limits on what automakers can and can’t sell.

Failure to meet those targets carries the threat of stiff penalties.
 
Raha yake ni kuona dunia ina njaa ,bei ya gesi na mafuta imepaa....kwa kifupi anapenda kuona watu wakihangaika
Tusimsingizie Putin. Kama waafrika huyu jamaa katufungua Sana:
1. Tuna mafuta
2. Gas
3. Madini
4. Ardhi nzuri ya kilimo. Nk
Yaan tunashindwa kutumia vyote hivyo?
Ulaya walikuwa Wana enjoy mafuta na Gas kwa bei ya kutupwa kutoka Russia. Afrika pia tuamke tuachane na ujinga wa kudhani bila Western tutakufa
 
Kwa hiyo Ukraine ndiye aliyeanzisha vita na sio Putin?
Ana ujinga wa kijima huyu Putin kama issue ni NATO mbona Finland na swedeen wameomba kujiunga nayo na asipeleke huko VITA?

Nachouliza Ukraine ilikuwa kosa kujiunga NATO kapigwa, Je Finland na Sweeden je?
Putin anapenda kubabaikiwa ...kutukuzwa ndio maana Dunia nzima tumeingia kwenye njaa kwa ujinga wake
 
Ila mwaka huu tutashuhudia uchi mzima wa Russia tulifichwa mengi mno
 
Kwani mkuu ukisema arusha si Tanzania ,au vip jombaa
Mifumo wa kiutawala US ipo tofauti sana na Tanzania karibu kila kitu, Mf. California wanapitisha sheria ya kuzuia magari yanayotumia fossil fuels kuuzwa jimboni mwao ila Texas ni ruhusa kabisa na hawataki hizo limits.
Marekani kuna baadhi ya mambo yanasimamiwa na federal government na mengine ni kwa level ya kijimbo pekee na serikali kuu haina mamlaka ya kuyaingilia.
Kusema kwamba marekani imepitisha sheria ya kutumia magari ya umeme ilhali ni mambo ya state ni kukosea, unless state zote Marekani zikubaliane kimsingi na kisheria kupiga marufuku au ipitishwe sheria na Congress kupinga fossil fuels nchi nzima.
 
Kwa hiyo Ukraine ndiye aliyeanzisha vita na sio Putin?
Ana ujinga wa kijima huyu Putin kama issue ni NATO mbona Finland na swedeen wameomba kujiunga nayo na asipeleke huko VITA?

Nachouliza Ukraine ilikuwa kosa kujiunga NATO kapigwa, Je Finland na Sweeden je?
Putin anapenda kubabaikiwa ...kutukuzwa ndio maana Dunia nzima tumeingia kwenye njaa kwa ujinga wake
Finland na sweeden sio wajamaa.
Hii ni vita ya mabepari dhidi ya wajamaa kugombea umiliki wa Dunia
 
US wametoka mbali wamepitia hatua nyingi mbaya za jasho na damu mpaka leo hii wapo hapo walipo.
Ni kweli....hata Roma haikujengwa kwa usiku mmoja.

Tz bado tupo safarini, inshaallah tutaifikia neema siku moja
 
... vipi Putin; plan zake za kuachana na gasoline zikoje? Au akili zake kwa sasa ni kuvamia na kuteka nchi nyingine kama enzi za ujima?
Madikteta huwa wanawazia makalioni...angalia hata yule kiduku kazi ubabe wa kipumbavu badala ya kujenga nchi yenye uchumi imara
 
Back
Top Bottom