Serikali imesema iwapo mipango ya kuongeza uzalishaji umeme itakwenda kama inavyokusudiwa itasaidia kupunguza gharama za matumizi ya gesi kwa wananchi wa kipato cha kati na chini.
Hayo yameelezwa leo Machi 15 na Naibu Waziri wa Uwekezaji, Biashara na Viwanda, Exaud Kigahe kwa niaba ya Waziri wa...
Urusi imesema itapunguza uzalishaji wa mafuta ghafi kwa kiwango cha asilimia tano kuanzia mwezi ujao ikiwa ni kukabliana na hatua ya mataifa ya magharibi ya kuweka ukomo wa bei.
Naibu Waziri Mkuu wa Urusi, Alexander Novak amesema Urusi itapunguza uzalishaji wa mafuta ghafi kwa kiwango cha...
Imeelezwa kuwa uwezo wa mitambo ya kuzalisha umeme iliyoungwa katika mfumo wa Gridi ya Taifa umeongezeka na kufikia megawati 1,777.05 Desemba 2022 sawa na ongezeko la asilimia 4.87, ikilinganishwa na megawati 1,694.55 zilizokuwepo hadi kufikia Septemba 2022.
Aidha, katika kipindi cha Julai hadi...
Elia Wilinasi amechapisha andiko la tafiti linalohusu uzalishaji wa mafuta kwenye journal ya kimataifa inayoitwa Energies.
Kichwa cha andiko: Numerical Simulation of the Oil Production Performance of Different Well Patterns with Water Injection
Link: Numerical Simulation of the Oil Production...
..Majirani wako makini kwelikweli ktk masuala ya kilimo, na wanazingatia viwango.
..angalia video hizi mbili kuna mengi ya kujifunza kuhusu namna ya kufanya kilimo.
Waziri wa Ulinzi na JKT, Innocent Lugha Bashungwa (Mb) amesema anajivunia kuongezeka kwa uzalishaji wa zao la msingi katika Shirika la Mzinga.
Ameyasema hayo Disemba 13, 2022, alipofanya ziara ya kutembelea Shirika hilo.
Hiyo ni ziara ya kwanza kufanywa na Waziri Bashungwa katika Shirika la...
Changamoto za Upungufu wa umeme Kupatiwa Ufumbuzi
Mkurugenzi mkuu wa TANESCO Bw. Maharage Chande akizungumza na waandishi wa habari leo December 2, 2022 kuhusu hatua za muda mfupi na muda mrefu kumaliza upungufu wa umeme .
Mkurugenzi ameongeza kuwa mvua zinazonyesha muda huu nchini bado...
Mkurugenzi wa Tanesco, Maharage Chande ameongelea mahitaji ya umeme miaka ijayo ambapo amesema mpaka 2035 angalau megawatt 80,000 zitahitajika akikadiria nchi itakuwa na watu milioni 70-80 kutoka milioni 61 iliyopo sasa ili watoto wanaokua wapate ajira kwenye viwanda na kinyume chake itakuwa...
Leo tarehe 22/11/2022 TANESCO wametoa taarifa kwa vyombo vya habari kuelezea sababu za mgao unaoendelea nchini.
Kwa habari zaidi soma Press release Hapa chini
====
Shirika la Umeme Tanzania limetangaza upungufu wa Megawati 155 za Umeme wa Maji uliosababishwa na Ukame kwenye Mabwawa ya Kihansi...
Ni kweli kumekua na tatizo la upungufu wa maji uliosababishwa na ukame.
Swala hilo linapelekea maji ya kwenye mabwawa yanayotumika kufua umeme kupungua.
Lakini pamoja na hayo yote tunaweza kuongeza ufuaji wa umeme wa kutumia gesi.
Tunajua asilimia 62 ya umeme tunaotumia Tanzania ni wa gesi...
Howdy,
Wakuu hivi tuseme ule ukweli, kibongobongo ni aina ya biashara ipi rahisi kutusua kati ya uzalishaji, uchuuzi(ulanguzi) au udalali? By kutusua simaanishi Levo za kina Mo na bakhresa.
Namaanisha zile level za kujisustain middle income, nyumba kali ila sio mansion, ndinga kali ila siyo...
Ripoti ya ‘Tanzania in figures 2021’ inayotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inaonyesha uzalishaji wa bia nchini umeshuka kutoka lita milioni 386 mwaka 2020, hadi lita milioni 380, ikiwa ni sawa na anguko la asilimia 1.5.
Kwa upande wa pombe aina ya konyagi nayo uzalishaji wake...
Nchi za Opec Plus zimekubaliana kupunguza uzalishaji wa mafuta kwa sababu za kiuchumi. Lakini marekani yakurupuka na kusema Saudia amefanya njama na Urusi ili kupitisha azimio hilo.
Matokeo yake bunge lao wameanza kusema wataanza kupitia upya sera ya mahusiano na kati yake na Saudia.
Naona...
Biden amesema uamuzi huo haujatazama mbali na hivyo atalishawishi Bunge la Congress lijaribu kudhibiti ushawishi wa kundi linaloongozwa na Nchi Zinazozalisha Mafuta kutoka Mashariki ya Kati ikiwemo Saudi Arabia.
OPEC na washirika wake wanaojulikana kama OPEC+, wamekubaliana kupunguza uzalishaji...
Bei ya nishati ya makaa na ukosefu wa kaboni dioksidi inaripotiwa kutishia uzalishaji wa bia.
Watengenezaji bia wa Uingereza wanakabiliwa na ongezeko la bei mara kumi kwa CO2 wanayotumia kutengenezea kaboni na kufunga bia.
=========
Soaring energy prices and lack of carbon dioxide reportedly...
Kikao hiki kimefanyika kwa siku mbili ambapo jana Septemba 15, 2022 wadau walilalamikia baadhi ya sheria kuminya uwanja wa ubunifu na utengenezaji wa maudhui shindani.
kwa upande mwingine, wadau wa maudhui walieleza kutokuwa na uwezo wa kulinda kazi zao, kutafuta vyanzo vya mapato na kuziweka...
Opec wana kikao leo kitachojadili ama wasitishe uzalishaji wa mafuta ili kujibu tuhuma za nchi za Magharibi za wao kutokuzalisha mafuta kwa wingi ili wamlinde Urusi apate kuuza mafuta yake.
Vilevile Opec hawafurahishwi na bei ya chini ya mafuta iliyopo sokoni.
Ndugu zangu Watanzania tumwombe...
Wenzetu wako mbele sana ,wakati sisi tunapambana na tozo.
Jimbo la California ndilo ltaanza na hiyo program ,sidhani kama mbeleni vitukuu vyetu vitaendesha magar ya mafuta.
California has laid out an audacious goal: In 13 years, it should no longer be possible anywhere in the state to buy a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.