Urusi yazalisha bidhaa zinazofanana na za Coca cola baada ya kampuni hiyo kusitisha uzalishaji nchini humo

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Huko Urusi Baada ya kampuni ya Coca cola kusitisha uzalishaji nchini Russia kupinga uvamizi wa Russia nchini ukraine.

Sasa Warusi wamevichukua Viwanda vya Coca Cola Vilivyoko na kuendelea na uzalishaji wa vinywaji hivyo ambavyo sasa haiitwi Coca Cola tena bali Cool Cola.

Na Vinywaji hivyo vimeshaingia sokoni huku vikiwa na Radha zilezile za CocaCola products

IMG-20220525-WA0167.jpg


===========

A Russian beverage maker has unveiled a new range of soft drinks to replace the iconic brands that have left the Russian market in the wake of its invasion of Ukraine.

In lieu of Coca-Cola, Fanta and Sprite, Russians will be able to choose from CoolCola, Fancy and Street, Russian drink producer Ochakovo announced Monday.

The three global soda brands have been largely absent from Russian shelves since the Coca-Cola Company suspended business in Russia in March. While Coca-Cola products can still be found in shops, prices have skyrocketed by roughly 200% since the suspension.

CoolCola has the “iconic taste of cola,” Ochakovo wrote online. Meanwhile, the brand’s bottles of orange-flavored Fancy and lemon-lime Street mimic the color schemes of Fanta and Sprite.

Established in the Soviet Union in 1978, Ochakovo largely produces traditional Russian beverages such as fermented grain-based kvass and low-alcohol honey drink medovukha.

The firm isn’t the only company to try and capitalize on Coca-Cola’s step back from the Russian market.

In April, a beverages company based in Russia’s Far East, the Slavda Group, launched Grink Cola to try and capture the hearts of Russia’s soda lovers. Meanwhile in May, in the northern Russian region of Komi, the Syktyvkarpivo factory launched its own brand of soda, Komi Cola.

However, both alternatives received a mixed response, with customers complaining that neither drink was “sweet and

The Moscow Times
 
Huko Urusi Baada ya kampuni ya Coca cola kusitisha uzalishaji nchini Russia kupinga uvamizi wa Russia nchini ukraine.
.
Sasa Warusi wamevichukua Viwanda vya Coca Cola Vilivyoko na kuendelea na uzalishaji wa vinywaji hivyo ambavyo sasa haiitwi Coca Cola tena bali Cool Cola.
.
Na Vinywaji hivyo vimeshaingia sokoni huku vikiwa na Radha zilezile za CocaCola productsView attachment 2238175

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ladha haiwezi kuwa ile ile , one of the best kept secret with lots of pattent ni hiyo coca cola formula ,
Hata hapa kwetu kuna cola procucts kibao, azam cola , chemi cola , mo cola etc, lakini hazina ladha ya coca cola
 
Recipes ndo wenzetu wanaweka hati miliki, your average KFC chicken chips will taste the same all over the world , because the recipe formula is controled from single source .
Unaweza kuwa na kila kitu ila kupata mc donald taste ,lazima mwenyewe ahusike
Sasa kwani unadhani Urusi ana mpango wa kuzalisha for mass consumptions anataka watu wake waendelee kupata fleva walizoea, hii inaitwa transfer of knowledge, Wachina wamepata maarifa mengi ya machines za ulaya baada ya kuwakaribisha kuwekeza kwao wakati wao wakifanya vibarua na kuiba formulaes
 
Back
Top Bottom