Kuna uhusiano mkubwa kati ya uwezo wa kimasomo ya sayansi na maisha magumu aliyokulia mtu.
Kwa utafiti wangu mdogo nimegundua wengi ambao huwa na stamina na uwezo wa kusoma digrii ya pili na ya tatu ya masomo ya sayansi hapa nazungumzia "pure science" sio digrii za sayansi za arts kama...
Wakuu nafahamu hapa JamiiForums kuna watu wenye connection mbalimbali, tafadhali sana kama mnaweza kunisaidia kwenye jambo hili maana nahisi kama sijaitendea haki field yangu.
Katika zama hizi za sayansi na teknolojia usomaji wa vitabu hasa kwa nchi zinazoendelea bado umekuwa mdogo ukilinganisha na zile zilizoendelea.
Lakini kupitia kusoma vitabu ndipo kizazi chenye uwezo mzuri wa kupambanua mambo na kuyaelezea kwa undani kinapopatikana.
Swali la kujiuliza ni kwa...
Wanajamvi habari za mapumziko.
Nikiri kwamba mimi nilisoma Mlimani, naumia sana nikisikia serikali hii inayonunua mindege inashindwa kuwakopesha wanafunzi kwa wakati.
Nikiri kwamba nilikuwepo na niligoma na kuandamana haswa pale mwaka 2004, serikali ya srlikali ya CCM chini ya Mzee Mkapa...
Wanabodi,
Nimeiangalia hii picha ya wanawake hawa wa wenzetu, na age zao, nikajiuliza sana kuhusu sisi Tanzania na wanawake wetu katika nafasi za uongozi wa kisiasa, tatizo ni nini?.
Jee wanawake wetu Tanzania ni duni au dhaifu Kiongozi wa siasa?. Kama wanawake wetu si duni na si dhaifu na...
Dunia ya utandawazi imerahisisha sana elimu. Siku hizi mtoto kujua jina la mji mkuu wa Zambia hahitaji kusoma vitabu library, ana Google tu search engine inampa jibu.
Pamoja na hayo matumizi ya computer, smart phones, tablets nk yamepunguza uwezo na ushawishi wa vijana na watoto kuwa na...
Leo niliangalia marudio ya Bongo Star Search ya Jumapili nimeona kabisa huyo Hamisi uwezo wake wa kuimba ni mdogo sana wakati wenzake uwezo wao ni mkubwa. Na amshukuru Mungu kufika hatua ya 10 Bora, hakustahili kufika hatua hiyo.
Ifike kipindi watanzania tuache unafiki pale Bongo Star Search...
Salute.
Wagiriki wana msemo wao unaitwa πολυμαθής "polymaths" wakimaanisha aliye na elimu pana au ni mtu ambae
anauwezo mkubwa katika mambo mbalimbali, anaweza kusovu mafumbo na kutatua au kutengeneza mambo magumu.
Unapotaja polymaths basi unakua unamtaja Leonardo Davinci baba wa vipaji...
Dunia inakwenda kwa kasi sana! Teknolojia ya mawasiliano nayo inazidi kubadilika kila kukicha. Miaka kadhaa iliyopita, hakukuwa na simu janja! Smart phones.
Wajanja wote walikuwa wanatumia simu za ‘buttons’, na ili uonekane mjanja zaidi, unaivaa kiunoni! Mapinduzi makubwa katika sekta ya...
Nafahamu kwamba watu wengi wameanzisha threads wakijaribu kuelezea suala la CAG Kisheria! Hata hivyo, wengi wao kama sio wote walichofanya ni kurundika vifungu vya kisheria bila kutoa ufafanuzi!
Mbaya zaidi, hawatoi ufafanuzi wa matumizi ya neno SHALL kwa mujibu wa sheria zetu! Nimelazimika...
Ndugu Zero IQ mratibu, muandaaji na mtayarishaji wa JF Hardtalk umepotea ni muda sasa nini tatizo?!
Uhitaji wa hardtalk ungali upo kwa sababu ilianza kusaidia kuwatambua wana-JF uwezo, mitazamo na maono yao kwa uwazi mkubwa.
Ndugu Zero IQ kama ulisitisha muendelezo wa hardtalk tafadhari anza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.