uwezo

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usiangalie kigezo cha "Mambo mengi" tu kwa mchumba wako zingatia na "Financial management skills" zake.

    Watu wengi sana huchunguza kigezo cha uchepukaji tu kwa mchumba wake kabla ya kuamua kufunga naye pingu za maisha. Mimi Sexless kama kungwi mzoefu naomba niwaase ya kwamba kuchepuka hakuepukiki na kunavumilika sana na wanandoa walio wengi, ili mradi tu mwenzi wako asikuone. Cha kuzingatia...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nataka niagize Dye za kurudisha rangi za nguo zilizopauka rangi na kuchuja, Nipeni mawazo yenu ya ziada kuhusu hii business idea kwa bongo

    Habari zenu wakuu, nimepitia pitia mitandao ya huko kwa wenzetu nimeona kwamba huwa kuna unga ama vimiminika vinarejesha rangi za nguo zilizopauka rangi. Kwa hapa kwetu nimeona nguo hasa hizi za dukani zina janga la kuondosha rangi hara sana waweza kununu aipo fresh ila ukifua nara mbili ama...
  3. Exuberant Boe

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ufadhili wa masomo (ADA YA CHUO)kwa mwenye uwezo binafsi au taasisi.

    Habari zenu wanandugu. Naitwa Sadiki Salumu, mkazi wa Dar se salaam wilaya ya ilala. Nipo chuo mwaka wa pili kozi ya BACHEROL IN MECHANICAL ENGINEERING Samahani naombeni kupata msaada kwa anaefahamu sehemu yoyote au mtu yoyote anaehusika na ufadhili wa masomo ikiwemo Ada maana ninahitaji...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hebu tudadavue ukubwa wa tatizo la ajira nchini: Ni wangapi wanaingia kwenye soko la kutafuta ajira kwa mwaka? Uwezo wa kuajiri (serikali & private)?

    Je ni waalimu wangapi kwa mwaka wanaingia kwenye soko la ajira kutafuta ajira wakiwa na certificate, diploma na degree? Je ni kwenye sekta ya afya kwa kada mbalimbali ni wangapi wanaingia sokoni kwa mwaka kusaka ajira wakiwa na certificate, diploma, degree nk. Hali kadhalika kwa wanasheria...
  5. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua uwezo wa umeme wa 3 phase wa Tanesco

    Kutokana na shughuli zangu za mashine mbalimbali za kuchakata mazao.Nilifungiwa umeme wa 3 phase.Ambao kwa wakati mmoja unaweza kuendesha mashina tatu mashine moja ya alizeti ina mota yenye ukubwa kama.mota za mashine za kusaga na.mashine nyingine 2 zina mota ndogo zisizozidi 2Kw.Motor zote ni...
  6. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba ukienda kumtolea posa binti wa kisukuma kwao usukumani unapimwa uwezo wa kula chakula kingi?

    Habari zenu wakuu Nina rafiki yangu kapata binti wa kisukuma wa huko shinyanga. Katika story za hapa na pale nimewahi sikia kwamba unapoenda huko kwao wana utamaduni wa kumpa msosi heavy mwanaume anaemuoa binti yao, Je, hii ni kweli? huo msosi heavy ni nini unapewa kwa sahani ngapi ?
  7. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Member wa JF Nanamucho aache dharau kama vipi anikutanishe na hayo madanga yake ajue uwezo wetu kipesa mfano mimi baharia Mkataa NDOA maarufu.

    Hello family, 👇👇👇 Natuma salamu kwa huyu member mwenye picha yenye nyashi a.k.a Nanamucho amefanye dharau eti sisi wadau humu hatuna pesa, sasa natoa ofa kwake na mabasha wake nikutane nao sehemu bill ntalipa mimi, dharau za kijinga afanye huko kijijini kwao. Mfikishieni taarifa weekend hii ya...
  8. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuna uwezo wa kiimani (dini) unaoweza kumbadilisha mtu na uraibu wa kitu fulani?

    Asalaam, Bwana asifiwe... Niende kwenye mada inayonichanganya saana hasa kipindi hiki. Nahitaji shughuda wa KWELI kutoka dini zote atakae zungumza ukweli pasipo uoga wa nafsi yake katika imani yake... Ni hivi je ni kweli kuna uwezo wa kiimani (dini) unaoweza kumbadilisha mtu tabia (addiction)...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

    Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake Nimeamua kumpuuza na kumuondoa kwenye orodha ya Rafiki zangu, amesema Waziri wa zamani wa Utalii Dr Kigwangalla =====...
  10. sanalii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kupenda wanawake wazuri ni sawa, wanawake kupenda wanaume wenye uwezo ni kosa kwanini?

    Wanaume wanapiga sana kelele kua wanawake wanapenda wanaume wenye pesa/uwezo wa kuwahudumia, lakini kwa nini hatuwasikii wanawake wakilalamika kua wanaume wanapenda wanawake wenye muonekano mzuri? Wanawake wanauwelewa mkubwa sana na nature ya mwanadamu. Kama vile wanaume wanavyopenda wanawake...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwatakia Watanzania Heri ya Pasaka huku hawana uwezo wa kula pilau na nyama ni ubatili

    Watu hawana raha kabisa. Maana hata maharage tu yamefikia elfu tatu na ushehe. Watu wana maisha magumu na wanajiona kama wakimbizi hapa nchini kwao. Hii salamu haisaidii
  12. N

    JamiiForums Tanzania Watu wa Tanzania tuna uwezo wa kulifanya taifa letu liwe kubwa?

    Taifa lolote duniani linajengwa na watu wenye Historia, maono, tamaduni zenye nguvu na lugha inayowaunganisha pamoja. Tangu taifa letu lizaliwe umaarufu wetu ni nini kama taifa, watu wetu wana uwezo wa kulifanya taifa kuwa na nguvu ya kisiasa, kiuchumii, kisanaa na kijamii. Watu wetu wanaheshimu...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nitajie viongozi wawili tu shupavu kutoka Pwani nami nikutajie viongozi 10 shupavu na wenye uwezo mkubwa kutoka mikoa ya bala

    Mara ya kwanza kabisa kufika mikoa ya Pwani, kuna baadhi ya mambo yalinishangaza Nalijifunza kwamba, Mungu alituumba kwa namna ya kutofautiana sana, kutoka watu hadi wanyama na hata ndege! Watu wa Bara ni majitu makubwa makubwa na majasiri yasiyotishwa tishwa kirahisi eti yaogope kirahisi...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Je, uwezo na sifa za viongozi na watendaji wanaoteuliwa unaweza kupimwa na report ya CAG?

    Hilo ni swali: Naomba kila mmoja atoe jibu na mawazo yake:
  15. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Binadamu anaenda kukosa ajira kabisa kwakuwa teknolojia imetawala, kama uwepo wa maroboti

    Tunapenda sana ushabiki ila bila kufahamu tunachokishabikia kina faida zipi na hasara zipi. Tuko na Watanzania ndezi wengi sana kila kitu kinaonekana ni bora. Any way... Tunalia na ajira kwa kiwango kikubwa kwasasa na bado robot sio nyingi nchini Tanzania je¡ zikishika atamu hali itakuwaje na...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Naomba link ya DJ Mixer App nzuri kwa Android yenye uwezo wa kupanga BPM

    Msaada wa kupata dj mixing application kwa Android, yenye uwezo mzuri wa kucheza kwa kutafuta BPM bila kukwama
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa uongozi ambao unategemea uwezo, ujuzi na uzoefu wa mtu, badala ya uhusiano wa kichama, kifamilia au urafiki

    Ni muhimu sana kwa Serikali kuwa na mfumo wa uongozi ambao unategemea uwezo, ujuzi na uzoefu wa mtu, badala ya uhusiano wa kichama, kifamilia au urafiki. Kuweka ndugu au marafiki kwenye nafasi za uongozi bila kuzingatia uwezo wao ni hatari kwa maendeleo ya nchi yetu. Kwa hiyo, ni muhimu kuwa na...
  18. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Iwepo sheria laptops kwa wanafunzi wote vyuoni ziwe ni "Lenovo Thinkpad" kuwanusuru stress za matengenezo na kugharamika zaidi kununua laptops mpya

    Nashauri laptops za wanafunzi ziwe LENOVO THINKPAD, nje ya hapo mwanafunzi awe ana uwezo wa kifedha, vitu kama matengenezo ama kununua laptops mpya visiwe stress kwake, wale watoto wa kishua wanaopewa pesa bila mawazo na walioajiriwa tayari wenye spare money Linapokuja suala la wanafunzi kwenda...
  19. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Recycling ya viongozi,Rais asilaimiwe idadi ya watanzania ni kubwa sawa na UK na S.Africa ila watanzania wengi hatuna uwezo kichwani

    Kuna watu wanashangaa kila siku majina ya wateuliwa ni yale yale na kumlaumu Rais . Idadi ya watanzania inakaribiana na South Africa,na UK. Lakini wenzetu wana vichwa,wanaweza kuunda mabaraza ya mawaziri hata manne Tukubali sisi uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo,tuko milioni 60+ ila kati ya hao...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Onyango, Mkude, Nyoni Wasiwe mbuzi wa kafara, uwezo wa Simba ndio umeishia hapo

    Nawashangaa sana mashabiki wasiojitambua wala kujielewa na wasioitambua sayansi ya mpira wa miguu. Simba kapigwa 3 mzuka na Raja nongwa na jumba bovu wanaangushiwa Onyango, Mkude, Manula na Nyoni, ni mpuuzi tu anaweza kuongea utumbo kama huo! Wachezaji wa Simba ndio hao hao wa siku zote na...
Back
Top Bottom