kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 1,996
- 5,054
Hello bosses and roses,
Miezi kadhaa iliopita nilisikia watu wanatishia kwamba kwa kuwa ChatGPT ina uwezo wa kugenerate 'codes' na kutengeneza algorithms basi sector ya programming nayo imeingiliwa na hili 'TOY'. Naliita toy sababu kwangu mimi naona ni Toy tu hasa tukilileta kwenye sector ya programming na kufuma algorithms.
Kabla ya kuendelea Kwanza niweke vitu kadhaa sawa,
1) Programming sio tu kuandika codes, programming inahusisha pia kutengeneza algorithms
2) ChatGPT na A.I model yake inayotumia (GPT3 na GPT3.5), ni helpful, lakini sio 'super-helpful' kama ilivyokuwa inaaminishwa hapo zamani. Kwa tasks ndogo ndogo na zisizohitaji uangalizi sana hili 'Toy' linafaa sana. Ila kama wewe ni programmer na unalitumia kutengeneza baadhi ya codes za kwenye project zako basi umepotea njia, sababu codes zenyewe ukizipitia kiundani kunakua na error nyingi hasahasa kama algorithm ipo complicated.
Tukirudi kwenye lengo la uzi, baada ya kusikia hizo tetesi nimejitahidi kutafuta muda ili niende kui-challenge na mimi nijionee kama kweli hizo sifa wanazoipa ChatGPT upate wa algorithms na coding ziko sawa.
Jana nikapata muda ikabidi nii-challenge na algorithm mojawapo. Ikawa inatengeneza flow na code kisha mimi nazipitia then naiambia hapa na hapa umekosea inabidi iwe hivi na hivi. Ushahidi naweka hapa chini
Na hio ilikua ni algo simple tu ambayo mimi nilitengeneza kwa sio zaidi ya siku moja ila ikawa perfect lkn ya chatGPT imejaza inefficiences nyingi sana, hizo ni baadhi tu ya apologies alizokua anafanya baada ya kumkosoa.
Sasa kwa mnaotumia hii tool kufanya projects serious (kama wanavyojinadi baadhi) jitahidini kuzipitia vizuri hizo codes, sababu hakuna raha(hahahahaa) kama kupata bugs kwenye program yako na hujui zinapotokea na raha zaidi ni pale ambapo huelewi hata operation-flow ya hizo codes ulizo-copy na ku-paste kwenye hio project.
CONCLUSION
Nimebakiza kutest uwezo wa COPILOT ya github sababu nayo ni tishio kwenye hii sector hasa upande wa kupunguza nafasi za kazi. Lakini kwa matokeo yoyote yale, UNIQUE HUMAN INTELLIGENCE itadumu na hivyo shule na taasisi za elimu hata watu binafsi, mmoja mmoja kwa nafasi yake wajue education system ya sasahivi haina nafasi tena sababu haijalenga kukuza 'UNIQUE HUMAN INTELLIGENCE' imelenga zaidi kutusomesha kwa namna ambavyo na sisi tunasomesha hizihizi AI models.
Yaan kama wewe ni mzazi na una mtoto shule ujue kwamba mbinu ilotumika kufundisha hili toy la CHATGPT ndio mbinu ile ile inayotumika kwa sasa kumfundishia mtoto wako shuleni, tofauti ni kwamba mtoto wako hana speed ya kutosha na memory yake haifanani na ya computer, Kama umenielewa hadi hapo basi hiki kizazi cha elimu ya kukaririshana hasa kwenye field za Computer Science na Programming ndicho kitakachokuja kuwa replaced na tools kama ChatGPT lakini sio wale mabingwa wa kusuka systems na algos, kwa hawa ChatGPT bado ni Toy 'labda' mpaka miaka 50 ijayo.
Na pia kama wewe ni Programmer au Developer lakini unaogopa kwamba ChatGPT itakuja kuchukua kazi yako basi jua tu uwezo wako bado hautoshi kujiita Developer au Programmer, so aidha quit ukafanye mambo mengine au rudi ukajifunze tena
Happy coding!