Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,226
- 77,659
Kutokana na taarifa rasmi za JWTZ kwamba jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani. Katika uzi huu nitajikita katika kuchambua kwa kina uwezo wa majeshi mengine hapa duniani. Nitatumia statistics zilizopo kwenye mitandao mbalimbali na kuonesha picha za vifaa vinavyotumika.
Nitajikita zaidi katika kuongelea mambo:-
1. Bajeti ya Jeshi
2. Idadi ya wanajeshi
3. Vifaa vya kijeshi
4. Operation zilizofanyika
5. Uwezo katika electronic warfare
6. Umilki wa silaha vya nuclear
7. Uwezo wa Jeshi la anga
8. Uwezo wa Jeshi la Majini
9. Mitambo ya kiulinzi
10. Idadi ya Majenerali
Upande wa Bajeti
Bajeti kuu ya serikali ya Tanzania ni USD 18.4 billion. Yaani ndani ya hiyo bajeti kuna bajeti ya jeshi, wizara zingine nk.
Zifuatazo ni bajeti ya majeshi tu katika nchi kumi duniani ya mwaka 2020
- The United States — $778 billion
- China — $252 billion
- India — $72.9 billion
- Russia — $61.7 billion
- United Kingdom — $59.2 billion
- Saudi Arabia — $57.5 billion
- Germany — $52.8 billion
- France — $52.7 billion
- Japan — $49.1 billion
- South Korea — $45.7 billion
Tanzania haimo kwenye top 10 kwenye upande wa Budget..... Tunaendelea