Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake
Nimeamua kumpuuza na kumuondoa kwenye orodha ya Rafiki zangu, amesema Waziri wa zamani wa Utalii Dr Kigwangalla
=====...
Wanaume wanapiga sana kelele kua wanawake wanapenda wanaume wenye pesa/uwezo wa kuwahudumia, lakini kwa nini hatuwasikii wanawake wakilalamika kua wanaume wanapenda wanawake wenye muonekano mzuri?
Wanawake wanauwelewa mkubwa sana na nature ya mwanadamu.
Kama vile wanaume wanavyopenda wanawake...
Watu hawana raha kabisa. Maana hata maharage tu yamefikia elfu tatu na ushehe.
Watu wana maisha magumu na wanajiona kama wakimbizi hapa nchini kwao.
Hii salamu haisaidii
Taifa lolote duniani linajengwa na watu wenye Historia, maono, tamaduni zenye nguvu na lugha inayowaunganisha pamoja. Tangu taifa letu lizaliwe umaarufu wetu ni nini kama taifa, watu wetu wana uwezo wa kulifanya taifa kuwa na nguvu ya kisiasa, kiuchumii, kisanaa na kijamii. Watu wetu wanaheshimu...
Mara ya kwanza kabisa kufika mikoa ya Pwani, kuna baadhi ya mambo yalinishangaza
Nalijifunza kwamba, Mungu alituumba kwa namna ya kutofautiana sana, kutoka watu hadi wanyama na hata ndege!
Watu wa Bara ni majitu makubwa makubwa na majasiri yasiyotishwa tishwa kirahisi eti yaogope kirahisi...
Tunapenda sana ushabiki ila bila kufahamu tunachokishabikia kina faida zipi na hasara zipi. Tuko na Watanzania ndezi wengi sana kila kitu kinaonekana ni bora. Any way...
Tunalia na ajira kwa kiwango kikubwa kwasasa na bado robot sio nyingi nchini Tanzania je¡ zikishika atamu hali itakuwaje na...
Ni muhimu sana kwa Serikali kuwa na mfumo wa uongozi ambao unategemea uwezo, ujuzi na uzoefu wa mtu, badala ya uhusiano wa kichama, kifamilia au urafiki. Kuweka ndugu au marafiki kwenye nafasi za uongozi bila kuzingatia uwezo wao ni hatari kwa maendeleo ya nchi yetu.
Kwa hiyo, ni muhimu kuwa na...
Nashauri laptops za wanafunzi ziwe LENOVO THINKPAD, nje ya hapo mwanafunzi awe ana uwezo wa kifedha, vitu kama matengenezo ama kununua laptops mpya visiwe stress kwake, wale watoto wa kishua wanaopewa pesa bila mawazo na walioajiriwa tayari wenye spare money
Linapokuja suala la wanafunzi kwenda...
Kuna watu wanashangaa kila siku majina ya wateuliwa ni yale yale na kumlaumu Rais .
Idadi ya watanzania inakaribiana na South Africa,na UK.
Lakini wenzetu wana vichwa,wanaweza kuunda mabaraza ya mawaziri hata manne
Tukubali sisi uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo,tuko milioni 60+ ila kati ya hao...
Nawashangaa sana mashabiki wasiojitambua wala kujielewa na wasioitambua sayansi ya mpira wa miguu. Simba kapigwa 3 mzuka na Raja nongwa na jumba bovu wanaangushiwa Onyango, Mkude, Manula na Nyoni, ni mpuuzi tu anaweza kuongea utumbo kama huo!
Wachezaji wa Simba ndio hao hao wa siku zote na...
Tulikuwa tunaishi karibu na barabara kubwa ya lami, upande wa pili wa Ile barabara kulikuwa na kibanda flani Cha abiria wanakaa hapo kusubiria magari(checkpoint) ni Cha muda mrefu kilikuwa hakitumiki, Vijana tuliokuwa tunaishi maeneo Yale tulifanya Kama kijiwe Cha story,tunacheza drafti nk.(sio...
Watanzania,
Bado tuna safari ndefu mno ya kuyafikia mafanikio ya kisoka katika timu yetu ya Taifa. Binafsi naona bado mazonge zonge mengi sana yanaikumba timu yetu. Kikubwa zaidi nachokiona ni hawa ma Pro wetu wanaocheza nje kwa kweli hawana uwezo - hawana uwezo hata wa kubadili mchezo - kifupi...
Baada ya Mapinduzi (matukufu?) ya Zanzibar Mwaka 1964, chama cha ASP kikapiga marufuku vyama vingine vya siasa na kuharamisha viongozi wake. Ukiwa Zanzibar ilikuwa ama uwe ASP au uwe adui wa Mapinduzi. Kwa ivo kila mtu aliyetaka kufanya siasa Zanzibar ilibidi ajiunge na ASP ili afanye siasa na...
MHE. JUDITH KAPINGA - "WIZARA YA NISHATI IWAJENGEE UWEZO WAKANDARASI REA"
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini Mhe. Judith Salvio Kapinga aliongoza mafunzo ya Kamati ya Uongozi ya Makamu Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge katika...
Habari zenu wakuu
Vijana wengi na wazee tumekumbwa na hali ya kujchua iwe kwa mwanamke au mwanaume,kila mtu ana mkasa wake ilkuaje akaanza kujchua
Huu mkasa wangu.
Mwaka 2022 Januari ktk pitapita zangu nlkutana na mrembo mweupe alyejaaliwa umbo namba nane na msambwanda wa haja, nilimuomba no...
Uwezo wangu wa kununua nafaka kutoka kwa wakulima na kupeleka sokoni kwa ajili ya walaji unazidi kupungua, mzigo niliookuwa nakusanya kwa milioni kumi nahitaji kupata kwa milioni 13, 14.
Nipo Ikungi Singida muda huu nilikuwa napita kwa wakulima natafuta alizeti na mahindi, ni kweli mashambani...
Kuna mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa wilaya yanayofabyika Dodoma leo ambapo mgeni rasmi ni Mh. Makamu wa Rais Philip Mpango.
Mafunzo hayo yatatolewa kwa siku sita ambapo yanajumuisha wakuu wa wilaya wapya na wale wa zamani.
Akitoa salam za ofisi yake Mhagama amewaagiza wakuu wa wilaya...
Wasalaam wana JF,
Baada ya mama kukiri kuwa ana pita pita humu ni hakika chawa wake wataongezeka na mapambio na kaswida nazo zitaongezeka.
Si vibaya mtu kupewa sifa anayo stahili, ila watoa sifa ambao ni machawa na walamba viatu wanapaswa kuongezwa kidogo (building their capacity). Wapige...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.