utata

Utata (Russian: Утата) is a rural locality (an ulus) in Zakamensky District, Republic of Buryatia, Russia. The population was 653 as of 2010. There are 10 streets.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Utata mkubwa kifo cha Dkt. Mkamilo wa TARI

    Dk. Mkamilo akizungumza wakati wa kukabidhi Ofisi baada ya kumaliza muda wake kama Mkurugenzi wa TARI hii ilikuwa Februari 20, 2024 baada ya kutoka kwenye tukio hilo akafariki tarehe 2.3.2024 Kifo cha Dk. Mkamilo aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI kimeacha simanzi na huzuni kubwa kwa wanataaluma...
  2. JamiiForums Tanzania Piga kura tumalize utata, Chama na Pacome yupi bora zaidi

    Kutokana na ubishi mwingi kuhusu hawa viungo tupige kura kati Chama na Pacome nani bora zaidi. Mwenye kura nyingi ndo chaguo la wengi tumalize ubishi humu JF
  3. JamiiForums Tanzania Wakuu hebu tumalize utata hapa, INDUCTION COOKER vs MULTICOOKER nani ni mkombozi wa mapishi kwa umeme

    Wakuu kama thread inavojieleza either kulingana na uzoefu wako au umeskia ndugu jamaa wanasema tupate, mkombozi wa mapishi kwa umeme. Induction cooker Multi Cooker
  4. JamiiForums Tanzania Pigo la mwisho kwa Thadei Ole Mushi: Katoliki wakataa kumzika kwa kuwa aliwapinga TEC kuhusu DPW

    Kanisa Katoliki lagoma kuendesha Ibada ya misa ya mazishi ya Thadei Ole Mushi kwa sababu ALIPINGA WARAKA WA BARAZA LA MAASKOFU WA KANISA KATOLIKI TANZANIA (TEC) Uliopinga uuzwaji wa Bandari, uliotolewa tarehe 18 August 2023 na TEC. Thadei Ole Mushi alipinga hadharani waraka wa TEC, kupitia...
  5. JamiiForums Tanzania Utata wa hali tuliyonayo ulimwenguni kwa sasa

    Wanajukwaa mnaonaje ustawi wa dunia kwa sasa hapo mashariki ya kati sio mbali na sisi tulipo na hata bahari ya shamu unavuka tu nchi mbili Kenya na Djibouti au somalia. Chokochoko hizi zitaathiri zaidi uchumi wetu hali zitakuwa mbaya zaidi mnashauri tujipange vipi kwa level ya kila mmoja ili...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa amfuta kazi Mshauri wa Uchumi baada ya kuibuka utata kuhusu Elimu yake

    AFRIKA KUSINI: Rais Cyril Ramaphosa amemuondoa kazini Dkt. Thabi Leoka ambaye ni mmoja kati ya Washauri wake katika masuala ya Uchumi kufuatia hoja zilizoanza kuibuliwa kuhusu uhalali wa sifa zake Kitaaluma. Kwa mujibu wake Dkt. Leoka anadai alipata 'PhD' yake kutoka Chuo Kikuu cha London...
  7. JamiiForums Tanzania Maelezo ya kisayansi kumaliza utata wa mpira wa kona mechi ya Simba vs Singida

    Embu angalieni clip hii. Saidoo alipoupiga mpira, kwa angle na mguu aliotumia, ule mpira bila kuingiliwa na mtu mwingine ulitakiwa uzungukezunguke kwenda upande wa kulia lakini kutokana na kuparazwa na mchezaji wa Singida, ule mzunguko ukabadili uelekeo na kuanza kuzungukazunguka kushoto...
  8. JamiiForums Tanzania Sherehe ya miaka 30 ya CWT ni utata mtupu!. Je, ni kweli Rais Samia atahudhuria huku Maganga akihutubia?

    Nahisi kama Mungu ameingilia kati ili kuwanusuru walimu na hii dhahama. Uku taarifa zisizoaminika mama ndio mgeni rasmi. Taarifa zingine CCM mwanza imewanyima uwanja. Huku sisi mtaani tukilalamika cwt wanavyotupiga 2% bila kazi ya msingi.
  9. JamiiForums Tanzania Huu Hapa ukweli kuhusu Utata wa selemani aliyeimbwa na Mbosso..

    Wengi wanamfananisha Selemani na Mtoto lddi,...Mnakosea sana.... Historia kamili hii hapa, Miaka ya themanini Kalubandika wa bendi ya Orchestra Maquis Original, Aliingia katika mahusiano na binti mmoja hivi jina limenitoka,baada ya kumpa ujauzito huyu binti, Kalubandika aliukataa. Bahati...
  10. JamiiForums Tanzania Maarifa Hatari: Embu tujifunze na kumjadili huyu Shetani vizuri

    Kwanza naomba mods msihamishe uzi huu kwa kuupeleka kwenye jukwaa la dini maana nataka tumjadili huyu Shetani katika misingi ya maisha yetu ya kila siku na si katika misingi ya dini. Naileta mada hii kwa tahadhari kubwa sana. Sina nia ya kumpromote huyu jamaa ila nadhani imefika wakati...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tuondoleeni utata huu wa taarifa za kifo cha mke wa Askofu wa Anglikana Biharamulo

    Taarifa zinasema kuwa Mke wa Askofu Vitalis Yusuf, wa kanisa la Anglikan Dayosisi ya Biharamulo mkoani Kagera, maziko yake yatafanyika leo Jumamosi nyumbani kwao wilayani Chato mkoani Geita. Maziko hayo yanafuatia, kifo cha mke huyo Monica Zablon mwenye umri wa miaka 45, kilichotokea usiku wa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Utata katika Biblia

    Habari zenu wana jamii bila kupoteza muda naomba niwasilishe utata uliopo kwenye maneno ya biblia na mwenye majinu atanithibitishia tukianza na mwanzo Biblia inasema baada ya adam na hawa kuumbwa waliwekwa bustanini ya Eden na unaambiwa Mungu aliumba wanyama wengi na kati ya hao nyoka akawa...
  13. JamiiForums Tanzania Kesi yenye utata: Binti adai kuzaa na baba yake watoto 3 lakini akana mahakamani

    Kesi ya baba kuzaa na mwanaye watoto 3 imechukua sura mpya baada ya binti huyo aliyekimbilia polisi kufungua kesi kukana mashtaka baada ya kesi kufikishwa mbele ya hakimu huko Rufiji. Awali binti huyo alidai kuwa baba yake alianza kumgegeda tangu mwaka 2019 na kufanikiwa kuzaa naye watoto 3 na...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Zifahamu zaidi sababu za utata katika lugha ya kiswahili

    Utata (Ambiguity) ni hali ya neno au sentensi kuwa na maana zaidi ya moja. Mfano; Kima, kombe, meza, zama, barabara, kanda na katika sentensi "kaka zangu wote wana wake". SABABU ZA UTATA (i) Neno kuwa na maana zaidi ya moja mfano; Mbuzi, paa, tupa, pasi, Mswahili n.k. (ii) Kutozingatia alama...
  15. JamiiForums Tanzania Jina la sasa la Twitter" X" lina utata sana

    Toka billionaire Musk auchukue mtandao wa Twitter kuna mabadiliko kadha wa kadha amefanya. Moja ya mabadiliko hayo ni kutoka kuitwa Twitter mpaka kuitwa "X". Hili jina limekuwa na ukakasi mwingi sana hasa katika kulitumia kutambulisha mtandao unaotumia hata kufungua app yake katika kundi la...
  16. JamiiForums Tanzania Ujasiri na utata wa mzee wangu ushimen, uta kushangaza

    Salaam wakuu, dah nina andika Uzi wangu huu nikiwa Kijiji Cha wapiga miti. 👉Niko na mzee wangu Ushimen, tuki endelea na mapambano yetu Kama Wana familia Ila kuna vitu vya mzee wangu huyu, vina Nishangaza na kuni onyesha kuwa huyu ni zaidi ya dikteta au bepari. Ame binafsisha cheo Cha...
  17. JamiiForums Tanzania Msuluhishi wa kesi ya waliokuwa wafanyakazi wa TBL atoa maamuzi yenye utata

    Jana tarehe 14/ 09/ 23 Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ametoa maamuzi yenye utata kwenye shauri la usuluhishi lililokuwa mbele yake. Wafanyakazi wa zamani wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL) waliishtaki kampuni hiyo wakiituhumu ubadhirifu wa mabilioni ya pesa za Mfuko wa Hisa za Wafanyakazi wake...
  18. JamiiForums Tanzania Simba iombeni radhi Ngome FC

    𝙏𝙊𝙆𝙀𝙉𝙄 𝙃𝘼𝘿𝙃𝘼𝙍𝘼𝙉𝙄 𝙈𝘼𝙆𝙊𝙇𝙊 Neno samahani ni dogo sana haswa kwa yule alieyefanya makosa,,Makolo msione aibu tokeni hadharani waombeni msahama tu Ngome kwasababu kudarisha logo haitoi uhalisia Kama mmekosea kutoa taarifa yenu kwa madunduka wenu. Ombeni msamaha [emoji1666]. Cc: castor Yanga NB: how...
  19. JamiiForums Tanzania UTATA: Ni muda gani na wapi Rais anatumia Nembo ya Taifa, au Nembo ya Rais, kwenye mimbari?

    Je Serikali imebadili nembo ya taifa kimyakimya bila kufuata utaratibu wa Kikatiba na kisheria? Rais wetu Samia anatumia hii nembo ya taifa gani katika nchi ya TANZANIA? Je, watu wanaelewa kweli hatari ya jambo hili? Nani katwaa Urais wa Rais Samia? Tunamtaka aliyetwaa Urais wa Samia aurejeshe...
  20. JamiiForums Tanzania Duru: ' Utata wa Utatu', Katiba, Muungano na Kura ya Maoni

    Sehemu ya I Bandiko Duru: Hatima ya Muungano na dalili za kuvunjika mapema tulisema bila kura ya maoni na Katiba ,tuna ahirisha tatizo la Muungano kwa muda. Kuna 'utatu' wa ''Katiba, Muungano na Kura ya maoni'' . Madai ya katiba ni katika eneo la madaraka ya Rais, kuimarisha taasisi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…