Piga kura tumalize utata, Chama na Pacome yupi bora zaidi

CHAMA vs PACOME nani zaidi?


  • Total voters
    85
  • Poll closed .

vvvv

JF-Expert Member
Apr 12, 2018
335
547
1709564571379.png

Kutokana na ubishi mwingi kuhusu hawa viungo tupige kura kati Chama na Pacome nani bora zaidi.

Mwenye kura nyingi ndo chaguo la wengi tumalize ubishi humu JF
 
Wakati hiyo Pa Komwe analima viazi huko kijijini kwao tayari Chama alishatengeneza jina Afrika na dunia nzima.

Ameibuka huko pa komwe zuzu ambae hata haeleweke kama ana consistency au ndio one season wonder mmeanza kupiga kelele kutala kufananisha huo utopolo na Chama.
Dunia???? Dunia gani hiyo au Kuna nyingine tofauti na hii!!!!
 
OSCAR OSCAR:

"NAHITIMISHA MJADALA KATI YA CHAMA NA PACCOME

Hatukatai Chama Jana alikuwa kwenye kiwango chake kile kile cha siku zote hasa anapo kutana na timu za daraja la kati, ndio maana hata mzee SAID NTOMBOKIZA ANT BAYOOOOTIK leo pia alikuwa moto wa kuotea mbali tofauti na inavyo kuwa anapocheza na timu ngumu ambapo mara nyingi tunasikia lawama zikienda kwa SAIDI kila anapo gusa mpira.

Hivyo basi kucheza kwake vizuri Chama kusipelekee mkaanza porojo kwamba ni bora kuliko PACOME.

Kwanza kabisa kwenye kundi la Yanga hakukuwa na timu sampuli ya Jwaneng hilo tuweke sawa.

PACOME ameziadhabu timu zote kwenye kundi.
Ameifunga nje ndani Medeama bingwa wa Ghana..

Ameifunga Al Ahly bingwa wa Misri juzi katoa pasi ya Goli kwa bingwa wa Algeria. Pia mbali na kutoa pasi ya Goli, vile vile ni mchezaji aliye sumbua ndani ya dakika 90. Sitaki kugusia mechi ile ya Goli tano, maana kila mtu aliona jinsi PACOME alivyo wafundisha mpira viungo wenu wakiongozwa na CHAMA picha na video zipo.

Hivyo basi ili uwe mchezaji hatari kuliko mwenzako, pafomu vizuri kwa kila mechi iwe ngumu au nyepesi.
Chama hakuna alicho kifanya kwa Asec wala hakufanya chochote dhidi ya Wydad. Itoshe kusema huyu ni mchezaji wa mechi nyepesi, laiti hawa Jwaneng wangekutana na Yanga pengine leo PACOME angeondoka na mpira.
Acheni kisifiana ujinga.

Nb/Chama alicho mzidi Pacomé ni umasikini na uzee tu.

Toa maoni yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom