Utata katika Biblia

ts9_dna

Member
Jun 9, 2023
28
96
Habari zenu wana jamii bila kupoteza muda naomba niwasilishe utata uliopo kwenye maneno ya biblia na mwenye majinu atanithibitishia tukianza na mwanzo Biblia inasema baada ya adam na hawa kuumbwa waliwekwa bustanini ya Eden na unaambiwa Mungu aliumba wanyama wengi na kati ya hao nyoka akawa mwerevu kuliko wote akaweza kumshawishi mke wa adamu kula tunda walilokatazwa kula.

UTATA. Kwa mantiki hiyo nyoka na wanyama wengine walikuwa wanauwezo wa kuongea na binadamu hapo zaman si ndiyo? (Mwanzo 3 msatri wa 4 "Nyoka akamwambia mwanamke, Hakika hamtakufa kwa maana Mungu anajua) Inamaana nyoka alikuwa anauwezo wa kuongea bana😁 sasa em imagine kidogo nyoka anaongea na binadamu imagine tu.

Alaf baadae unaambiwa baadaye baada ya kugundulika nyoka alilaaniwa na mwanamke alilaaniwa na mwanaume akaambiwa atakula kwa jasho baada ya hapo Ilikuwaje mpk nyoka akaacha kuongea mpk leo?

Kwa maana laana yake hakuambiwa hatoongea aliambiwa amelaaniwa kuliko wanyama wote kwa tumbo utakwenda na mavumbini utakula siku zote kwahiyo Inamaana hakuambiwa hautoongea.

Alafu pia kama wanyama wengine hawakulaaniwa Ilikuwaje wakaacha kuongea mpk leo. Naona hizi ni stori kama stori za Kuku kupoteza sindano ya mwewe ndo maana anachukuaga watoto wake mpk leo.

KAMA UNA MAJIBU WEKA HAPO CHINI ALAFU NALETA UTATA MWINGINE KWENYE UZI UNAOFUATA.
 
Simple logic
 
Back
Top Bottom