utata

Utata (Russian: Утата) is a rural locality (an ulus) in Zakamensky District, Republic of Buryatia, Russia. The population was 653 as of 2010. There are 10 streets.

View More On Wikipedia.org
  1. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Tumalize utata: Chama Vs Moloko

    Habari wanajukwaa, Leo naona tumalize utata wa nani zaidi kati ya viungo hawa wawili. Wote ni viungo wazuri, ila mmoja ana uwezo zaidi anapokuwa kulia na mwingine anapokuwa upande wa kushoto. Kitakwimu za ufungaji wa magoli tofauti si kubwa sana katika idadi ya magoli. Ukija katika uwezo wa...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Orodha ya nadharia zenye utata duniani (conspiracies)

    Hizi ni nadharia zenye utata hapa duniani hii ndio list yangu km unayo ongeza chini hapo ● Rebirth and reincarnation ● Time travelling ● Human clone ● Magic mushroom ● Mermaid (samaki watu) ● Allen's and UFO ● Ark of the Covenant (Sanduku la agano) ● Satan Bible ● De javuu theory ●meditation...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mama yake Feisal Salum 'Fei Toto' Kamaliza Utata na Kutema Nyongo dhidi ya Yanga SC

    "Mwanangu Fei Toto Kanyanyasika sana, tumevumilia mengi, kuna mengine ya Siri tunayajua ila tunaomba Kamati itende Haki kwa Mwanangu Fei Toto. Wanafamilia wote tuko nyuma ya Feisal Salum Fei Toto juu ya hili Suala lake na Mimi kama Mama yake Mzazi nasema hapa yaje Maamuzi yoyote ila Mwanangu...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania MOI: Mwanaume aliyegongwa na Basi la Mwendokasi yuko ICU

    Taasisi ya tiba ya mifupa kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili (MOI) imesema Mwanaume aliyeonekana akigongwa na Basi la abiria “mwendokasi” Jijini Dar es salaam jana, amelazwa Hospitalini hapo kwenye chumba cha Uangalizi Maalum (ICU). Meneja wa Kitengo cha Uhusiano cha MOI Patrick Mvungi...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Wachumi jitokezeni mmalize utata kati ya Mwigulu na Mpina

    Wachumi wakubwa Tanzania na mlioko nje ya Tanzania tusaidieni kufanya uchambuzi kati ya Mpina na Mwigulu nani yuko sahihi kwenye hoja ya Mfumko wa Bei na usimamizi hafifu wa Sera za Fedha. Hebu tuwasikilize kwa makini hawa viongozi wetu wawili alafu mtusaidie uelewa tanzania ni yetu sote.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hukumu zenye utata kama hii ya Askari Morogoro huwa zinasababishwa na nini?

    Kuna kesi ya askari magereza aliyekuwa na tuhuma za kubaka mtoto huko Morogoro. Alipelekwa mahakamani na ikathibitika pasi na shaka kwamba alitenda kosa hilo na hakimu msomi akaitolea hukumu ile kutumikia kifungo cha maisha jela. Hiki ni kifungo cha kikatili ambacho lazima kusiwe na chembe ya...
  7. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani wahoji utata wa kifo cha kijana wa Ki-Tanzania nchini Urusi

    Ubalozi wa Marekani kupitia taarifa waliyoweka kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, Wamehoji juu ya utata wa kifo cha kijana wa raia wa Tqnzania aliyefariki akipigana vita Urusi. Ubalozi huo umehoji pia kama Urusi inawalazimisha wafungwa wenye asili ya Afrika kupigana vita yake na Ukraine.
  8. Gama

    JamiiForums Tanzania Kifo kingine chenye utata kwa tajiri wa Urusi Pavel Antov

    Paavel Antov tajiri katika baishara ya Sausage amekufa kifo cha utata akiwa nchini India, inasemekana kifo chake kilitanguliwa na kifo cha rafiki yake. Chakushangaza ni kuwa wote wawili miili yao ilichomwa moto na hivyo wajuaje wa mambo wanashanaa kwanini miili yao ilichomwa moto ilihali wao ni...
  9. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Utata kifo cha Mchungaji Mnigeria 'pusha' anaedaiwa kufa Segerea

    Ni bwana Oezeama kama sikosei. Mwamba huyo ni Mchungaji lakini 2019 alikamatwa kwa tuhuma za kukutwa na zaidi ya kilo 20 za unga wa cocaine na pamoja naye pia walikamatwa wazungu wawili aliokutwa nao. Inasemekana bwana yule kafia Gerezani Segerea kwa shinikizo la damu. Duru za eneo lile...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Leo namaliza rasmi Utata wa Manzoki kuja Kuichezea Simba SC Dirisha hili Dogo

    Wana Simba SC Wenzangu kuanzia leo anzeni Kumsahau na kuachana nae kabisa Mshambuliaji Cesar Lobi Manzoki kwa nina Uhakika wa 100% na najiamini kabisa kuwa hatokuja tena Kuichezea Simba SC hasa kwa Dirisha hili Dogo labda itokee tu kwa Msimu ujao. Hivyo basi niwaombe Mwenyekiti wa Bodi ya Simba...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkurugenzi wa Sheria TFF amaliza utata: Asema Fei Toto amekosea, mkataba hauvunjwi kienyeji vile

  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Utata kuhusu kifo cha mwanafunzi aliyedaiwa kupigwa na mwalimu

    Utata umeibuka kufuatia kifo cha mwanafunzi wa shule ya sekondari Sabasaba, baada ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara kutoa taarifa iliyoonyesha kuwa kifo cha mwanafunzi huyo kilitokana na ugonjwa saratani ya damu. Akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 22, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  13. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Maswali yenye Utata Kifo cha Balozi C. Mushi. Nini kipo nyuma yake?

    KUTOKA KWA MALISA GJ Nimejiuliza maswali kadhaa nikakosa majibu; 1. Balozi Mushi alikua anajiendesha mwenyewe? Tena usiku wa manane? Protocal za kidiplomasia zinasemaje, Balozi anapokua na safari binafsi? Je alikua peke yake? 2. Kama ajali ni uso kwa uso means lori lilikua linatoka ielekeo wa...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Utata wa Mabehewa 'Mapya' ya SGR yaliyowasili ulishamalizwa kitambo na Rais Samia, msiwe na shaka hatujapigwa!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Dunia nzima, issues za Afya, Elimu, Maji, Umeme, Gesi, Usafiri na Usafirishaji ni issues zenye maslahi makubwa sana kwa taifa, hivyo leo tunaendelea na ile issue ya mabehewa yetu yaliyowasili hivi...
  15. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto akataa Scotland Yard kusaidia uchunguzi mauaji yenye utata

    Ni majibu ya Rais William Ruto kwa Raila Odinga aliyetaka wapelelezi hao kuchunguza mauaji ya aliyekuwa Meneja wa Mifumo ya TEHAMA wa Tume ya Uchaguzi IEBC mwaka 2017. Ruto amesema "Hatuhitaji ushauri kutoka Scotland Yard kuondoa na kuvunja vitengo vya mauaji katika jeshi letu la polisi...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Idadi ya wanaofeli Law School of Tanzania yazua utata

    Idadi iyo ni sawa na 4.1% pekee kati ya wote waliofanya mtihani, huku wengine 484 wakitakiwa kurudia mtihani na 265 wakiondolewa kabisa baada ya kufeli. Hali hiyo imefanya Wanasheria na wadau wengine kutaka iundwe Tume ya kuchunguza sababu akiwemo Jaji wa Mahakama Kuu Gabriel Malata aliyesema...
  17. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Piariz Hizza adaiwa kunyongwa na mumewe mpaka kufariki dunia

    Wakuu kuna habari mbaya Huko Tabata-Dar Es Salaam. Anasimulia Ndugu wa Marehemu. Piariz Charles Hizza ni mdogo wangu, alikuwaga humu Friends of Solo Mnamunga kipindi fulani simu yake ilipopata matatizo akatoka sikukumbuka kumrudisha tena. Leo mida ya mchana nikapokea simu nikaambiwa dogo...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Dar: Utata vifo vya vijana watatu, kuna nini vituo vya polisi?

    Utasikia mtuhumiwa alijinyonga. Utasikia alikimbia na pingu akapigwa risasi. Utasikia alitii bila shuruti... Sasa hawa nao ilikuwaje? 👇
  19. Planet FSD

    JamiiForums Tanzania Utata wa maelezo juu ya kifo cha Katibu na motive ya Mkandamizaji

    Wadau, leo kumesambaa taarifa kwenye vyombo vya habari kutoka kwa kamanda wa polisi Muliro akielezea sababu za kujiua katibu wa Feel Free Church kutokana na uchunguzi wa awali. Maelezo ya kamanda yanapeleka kwenye hitimisho moja kuwa, Mama Mchungaji (Monica) na marehemu hawakuwa na mahusiano na...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kwanini mazishi ya Kiserikali ya Shinzo Abe yana utata?

    Wiki moja iliyopita, viongozi wakubwa wa kimataifa walikusanyika London kwa ajili ya mazishi ya kiserikali ya Malkia Elizabeth II wa Uingereza. Sasa wengi wao wanaelekea upande wa pili wa dunia kwa mazishi mengine ya kiserikali ya Waziri Mkuu wa zamani wa Japan aliyeuawa, Shinzo Abe. Lakini...
Back
Top Bottom