utata

Utata (Russian: Утата) is a rural locality (an ulus) in Zakamensky District, Republic of Buryatia, Russia. The population was 653 as of 2010. There are 10 streets.

View More On Wikipedia.org
  1. MKILINDI

    Wanahisabati toeni utata wa alama za ufaulu, majibu ya interview ya TRA

    Napata mkanganyiko kuelewa juu ya alama za matokeo ya majibu ya interview ya TRA. Majibu yaliyotoka tarehe 26.04.2025 1. Hapa nitazungumzia paper ya academic officer na warden ambazo zilikuwa na jumla ya maswali 40 na mgawanyo wa alama ni 2.5 kwa kila swali kufanya junla ya 100 katika mtihani...
  2. De Opera

    Ndoto nyevu yenye utata, na damu halisi

    Habari za muda huu mwana JF? Natumaini siku yako iko poa kabisa. Leo kuna ndoto umempata rafiki yangu ambaye mara kadhaa huwa akinieleza kuhusu baadhi ya ndoto zake ambazo huwa zinamshinda kuzielewa. Iko hivi: Leo usiku muda wa saa 9 usiku kuelekea saa 10, ameota ndoto akifanya mapenzi na...
  3. JanguKamaJangu

    'Nyaraka yenye utata' yaibuka Mahakamani wakati shahidi akitoa ushahidi katika Kesi ya Mwalimu kutuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake

    Shahidi wa tatu upande wa Jamhuri katika Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39), Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi (11) ametoa ushahidi Aprili 15, 2025. Katika ushahidi huo ambao ulitumia takribani saa tano...
  4. E

    Utata wa G55 CHADEMA

    Tangu kundi la G55 linalohusisha makada wa Chadema wanaotaka chama hicho kishiriki uchaguzi, kumekuwa na maswali mengi kuhusu malengo ya kundi hilo. Kundi hilo linakuja na msimamo wa kutaka kushiriki uchaguzi kinyume na kampeni ya No reforms No election (Hakuna mmabadiliko, hakuna uchaguzi)...
  5. Scars

    Mchezaji wa Yanga Princess alivyozua gumzo na utata wa jinsia yake

    Hapa binafsi nilijua ni Azizi Ki akimpa mkono Che Malone. Lakini kumbe siyo. Hapa nilijua ni Drogber Lakini hapa ndio alinichanganya zaidi
  6. Megalodon

    Utata Juu ya Kifo cha Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.

    Tulipata Rais ambaye ni SCIENTIST first time in History. Sifa kubwa ya Scientist ni kuona mambo yanatokea. Kuna Nadharia mbili juu ya Kifo cha JPM inayopelekea kila mtanzania anaongea lake. Hizi Hapa ; 1. Rais JPM Uhai wake ulikatishwa Madhuluma 2. Kifo cha Dkt. JPM( PhD holder ya Darasani)...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    Tumalize utata, DStv Vs AzamTv, unaenda na ipi?

    Wakuu njooni tumalize utata, DStv Vs AzamTv unaenda na ipi kutokana na content unazopenda?
  8. Daby

    Utata uliopo Mashariki mwa DRC

    Historia Inaonyesha Wanyamlenge/ wanyarwanda wameishi Mashariki mwa DRC kuanzia karne ya 19. Wengi walipelekwa na serikali ya kibelgiji na baadae wengi walihamia miaka ya 60-65. 1971 serikali ya Mobutu iliwapa uraia japo wananchi wengi wa Congo walilipinga hili. Hii tension ilisababishwa na wao...
  9. Magical power

    Uzi wa kijobless na mbinu za kidigree (utatu wenye utata)

    UZI WA KIJOBLESS NA MBINU ZA KIDIGREE (Utatu wenye utata) GAP YEAR......!!! Kati ya mwaka 2017_2018, inaweza kuwa mwanzoni au mwishoni mwa miaka hio kumbukumbu zangu hazijakaa vizuri. Nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni ya kusambaza vinywaji. Yaani mimi ndio nilikuwa natembea na gari...
  10. Cannabis

    Dr. Zakir Naik awasili Zanzibar, afafanua kuhusu mhadhara atakaofanya, asema hakuna utata kwa wale wanayoyajua maandiko

    Dr. Zaik Nakir amwesasili nchini Zanzibar na katika mahojiano aliyoyafanya amesema kuwa mhadhara atakaofanya hauna utata wowote kwani ataongelea vitu vilivyopo katika maandiko ya Biblia na Quran. Amesema kuwa Biblia imemuongelea Muhammad na pia Quran imemuongelea Yesu. Source...
  11. Zanzibar-ASP

    Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

    Mara baada ya Rais Samia kutangaza kumpigia debe Professor Janabi ili kuiwakilisha Tanzania kwenye kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika, watu wenye akili kubwa ikabidi waingie chimbo kufukua file lenye kubeba wasifu mbali mbali kumhusu Profesa Mohamed Janabi ili kuona ana...
  12. Loading failed

    Hoja na maswali utata kwenye uumbwaji wa mwanadamu katika imani ya Kikristo. Je, wenzetu imani zao zinasemaje?

    Harakari za uumbaji wa mwanadamu kiimani na utata unaojitokeza yapi maswali ya kujiuliza kwa kina. Je nani mwenye majibu yake au nani anaweza kutujibia. Ndugu zangu. A) Uumbwaji wa mwanamke na mwanaume bila udogo, tena wenye usawa ndani yake Tukiangazia kitabu cha mwazo 1: 26-28 tutagundua...
  13. Loading failed

    Kwanini maumbo na majina ya kijinsi yalikuwa hivi?

    Ndugu zangu, Tukiweka imani za dini pembeni na ukikaa ukichunguza sana huku unajiuliza maswali mengi utakuja kugundua kwamba kuna utata wa majina ya kijinsia , maumbo ya kijinsia na mavazi yake? . Swali. 1: Ni kwanini basi jinsia ya kike ikaumbwa kwa umbo lile na imekuaje kuaje mpaka ikawa...
  14. B

    UTATA: Kazi ya kampuni mkataba miaka miwili 50 milioni versus laki 7 serikalini mkataba wa kudumu

    Ungelikua ni wewe mkuu ungeenda ipi? kati ya hizi mbili Mimi binafsi ningeenda hiyo private company kwa sababu Najiamini naweza kufanya biashara. Mara kibao huwa naona zinatoka kazi kama hizi za short term lakini vijana wanakimbilia serikalini. 👉huwa sijui ni kwanini ni uoga? wakuogopa...
  15. SaintErick

    PreGE2025 Uchaguzi mkuu 2025: Sheria iruhusu kurudia uhesabuji wa kura inapotokea utata

    Mchakato wa uchaguzi wa viongozi hua ni mgumu na mrefu na hivyo huruhusu makosa ya kibinadamu na kimfumo na kiteknolojia kutokea katika mchakato huo. Tatizo kubwa Afrika ni Kutokukubali matokeo ya mwisho kwa washiriki wa uchaguzi na katika nchi nyingi kushindwa kupinga matokeo mahakamani kwani...
  16. Yoda

    Alan Turing: Baba(pioneer) wa computer za kisasa aliyeishi maisha ya utata kama shoga na kufa kifo tata kilichohusisha ushoga wake

    Alan Turing anachukuliwa kama baba(mwanzilishi) wa computer za kisasa, Muingireza aliyezaliwa mwaka 1912 na kufariki mwaka 1954 katika kifo chenye utata mkubwa akiwa na miaka 41 tu. Huyu ndiye aliyepangilia na kurasimisha nadharia za ufanyaji kazi wa computer za kisasa na pia kutengeneza Turing...
  17. K

    Uajiri Ndani ya JWTZ Bado Una Utata na Ukakasi.

    Masiku kadhaa ulipita mjadala juu ya mchakato wa ajira ndani ya JWTZ,mchakato ambao umeonekana kugubikwa sana na walakini kutokana na ulivyoendesha. Tangazo la ajira lilitolewa,ila baada ya watu kuomba hakukuwa na taarifa yeyote kuhusiana na waliochaguliwa.Zaidi tu tulipata taarifa kwamba...
  18. T

    Mikataba ya Kagoma je ina utata? Mwanasheria tujuze

    Tusichoshane, moja Kwa moja kwenye mada. Huyo mwanasheria aliyeonyesha MIKATABA ya Kagoma kuna maswali hapa atusaidie, inaonekana HAJUI kuwa HAJUI! Inawezekana huyu mtu ni aina ya wale wasomi darasani katika mitihani walikuwa ni wazuri lakini mpe Kazi NI sifuri kabisa 0%. Theory 120% sasa njoo...
  19. E

    Ukweli usemwa Maamuzi yenye utata ndio yaliyoirudisha kwenye reli Yanga .

    VAR ni muhimu sana , ingekuwepo Yanga ingetumia nguvu sana kurudi kwenye form .
  20. Gemini AI

    Tumalize utata: Jezi ipi kali msimu huu kati ya Yanga na Simba?

Back
Top Bottom