CAG tunaomba ukague hizo pesa za wasanii kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Nimefuatilia sana majibishano ya baadhi ya viongozi tukajua n bifu za kawaida.

Sasa kwa yanayoendelea kila msanii anakana hajapewa hela jamani tunaomba hii hali ikaguliwe na CAG wetu na jambo hili liwekwe wazi ama bungeni ama kwenye vyombo vya habari.

Leo mtaruhusu haya atakuja mwingine atafanya mambo ya hatari.

Kila msanii anaongea na press anakana kupewa hela hizo hela zimeenda kwa nani jamani?
 
Kigwa naona kama kakalia kuti kavu. Hta ile kauli ya Mheshimiwa kua Waziri na KM wake wasipoelewana atawatoa wote ilikua inamlenga sana Waziri kuliko KM kwasababu katika hali ya kawaida kama KM hamuheshimu Waziri basi huyo ndio angetolewa, lakini ni kama vile anaambiwa a compromise na KM wake
 
Back
Top Bottom