Kufungua kampuni ya utalii

BRAVER

Senior Member
Jun 23, 2015
105
95
Naomba mwongozo iwapo nataka kuanzisha biashara ya Utalii, mambo gani ni ya muhimu kuyazingatia?

1620112096854.png

 
Naomba mwongozo iwapo nataka kuanzisha Biashara ya Utalii-mambo gani ni ya muhimu kuyazingatia?
1. Sajili kampuni yako brela
2. Chagua destinations na itineraries ambazo utakuwa unapeleka watalii
3. Panga bei kutokana na itineraries.
4. Tengeneza website ya kampuni ambayo utaweka maelezo kuhusu huduma za kampuni.
Baada ya hayo unaweza kuanza kutangaza kampuni yako ili kupata wateja.
 
Asante Mkuu. Ninaweza kufanya Biashara hii bila ya kuwa Na magari?
Sikukatishi tamaa, ila kwenye kujieleza tu kwenyewe umeisha feli
Sio kazi rahisi kama unavyodhania na kuona.Na hujui hata unachoenda kufanya ni kipi.

Maana hata kujieleza kwako ni tatizo,hivi unaposema kuanzisha biashara ya Utalii kwanza ujue ni nini.

Halafu unauliza unaanzisha bila gari,hapo ndio umepoteza kabisaaaa
 
Mkuu wa
Asa utakuwa unawabeba mgongoni hao watalii ama vipi?
Wasikukatishe tamaa .Kuna vitu vya kuzingatia roughly
Hakikisha una lesseni ya biashara
Umesajiriwa na BRELA
Ukate TALA
Na vizuri for marketing purporses uwe member wa TATO (Tanzania Assosiation of Tour Operators) kama unataka kuwa Tour operator

Kuhusu kuanzisha bila gari inawezekana kabisa ,Ila lazima utafute watu wenye magari uingie nao mkataba unachagausha activity base ya kuweka rate yako (may be KIA-Arusha,KIA-Marangu,....) halafu mna-sign hiyo rate kwa msimu ili wasikunzugushe na unaweka na terms akichelewa kuchukua wageni wako.Then kila mwisho wa week unaanda pick-ups zako zote ,timings, flight#, na arrival time ,na Mabango ya majina ya kupokelea.

Kuhusu kwenda porini unakodi magari na dereva ,unabaki unatoa mpishi na chakula
Mimi nilifanya kazi na African walking Company ni kampuni kubwa sana na wana wageni nadhani now wanafikia 9000-11000 kwa msimu ,ila hawana gari hata moja.
Biashara hii inahitaji intensive marketing especially kuhudhuria tourism exhibitions ili utengeneze network
 
Mkuu Sethshalon unathibitisha hii Biashara unaijua. Hao waliotsngalia wanaonekana hawajui lolote juu ya sekta hii. Humu kwenye JF tumo kupeana moyo Na miongongozo. Nashukuru sana
Nimefanya kazi tours kwa miaka 2 na najua in and out .Si lazima kua na magari kwenye tours na hii inakusaidia kupunguza badhi ya gharama za mainntenance cost,kuajiri dereva permanent,kodi za serekali,na vitu vingine.

Ukiweza kupata wageni ambao you just need kua na website nzuri well organised ,self explanatory, ku organise weekly and/or monthly departures (hii ndo wabongo tunashindwa kwenye marketing na hii ndo njia ya kutengeneza groups of tourists from different corners in one car or in a convoy),na ku attend tourism exhibition kama indaba,World Tourism Exhibition ya London,na ile ya Germany.Lazima upate wageni
 
Nimefanya kazi tours kwa miaka 2 na najua in and out .Si lazima kua na magari kwenye tours na hii inakusaidia kupunguza badhi ya gharama za mainntenance cost,kuajiri dereva permanent,kodi za serekali,na vitu vingine.Ukiweza kupata wageni ambao you just need kua na website nzuri well organised ,self explanatory,ku organise weekly and/or monthly departures (hii ndo wabongo tunashindwa kwenye marketing na hii ndo njia ya kutengeneza groups of tourists from different corners in one car or in a convoy),na ku attend tourism exhibition kama indaba,World Tourism Exhibition ya London,na ile ya Germany.Lazima upate wageni
Mkuu kwa uzoefu uliopata ni destinations zipi zinatembelewa sana na watalii wa kigeni hapa Tanzania? Namaanisha kama vile mbuga, beaches n.k
 
Sikukatishi tamaa,ila kwenye kujieleza tu kwenyewe umeisha feli
Sio kazi rahisi kama unavyodhania na kuona.Na hujui hata unachoenda kufanya ni kipi.
Maana hata kujieleza kwako ni tatizo,hivi unaposema kuanzisha biashara ya Utalii kwanza ujue ni nini.
Halafu unauliza unaanzisha bila gari,hapo ndio umepoteza kabisaaaa
Baiskeli.
Asa utakuwa unawabeba mgongoni hao watalii ama vipi?
 
Dah Mkuu Nisaidie hata Email Yako Tafadhali Hii Biashara Naikubali Kinyama na Nataka Kuianza mzee.
Nimefanya kazi tours kwa miaka 2 na najua in and out .Si lazima kua na magari kwenye tours na hii inakusaidia kupunguza badhi ya gharama za mainntenance cost,kuajiri dereva permanent,kodi za serekali,na vitu vingine.Ukiweza kupata wageni ambao you just need kua na website nzuri well organised ,self explanatory,ku organise weekly and/or monthly departures (hii ndo wabongo tunashindwa kwenye marketing na hii ndo njia ya kutengeneza groups of tourists from different corners in one car or in a convoy),na ku attend tourism exhibition kama indaba,World Tourism Exhibition ya London,na ile ya Germany.
 
Nadhani kubwa ni hilo la kuwa na website na connection na wadau wengine wa utalii kwenye destination tofauti tofauti.
 
Everything is possible ila mwanzo ni mgumu sana! kwa kuwa mtaji ni mkubwa, lkn ukiwa kwenye industry yenyewe inarahisisha mambo.
1. Sajili kwanza kampuni yako Brela unaweza chagua Business name au Kampuni kuna tofauti zake japo kampuni ina mlolongo mwingi sana na masharti ni mengi hivyo inatakiwa utafute mtaalam akueleweshe vzr!

2. Ukishasajili kampuni Brela maana yake utakuwa na umiliki halali wa jina la kampuni yako na hakuna mtu mwingine ataweza kutumia tena, njia hii ni nzuri sana maana hata online ukienda kutengeneza website unaweza kuta domain tayari ishachukuliwa na kampuni nyingine. Baada ya kukamilika usajili akikisha unaanza process za kutengeneza website, website ndio shamba lako inatakiwa iwe designed vzr ikidhi viwango vya kimataifa maana biashara yenyewe ni ya kimataifa, tafuta web designer mzuri anayejua kupanga itinerary vzr, weka bei kwenye package zako ikiwezekana, website ionekane vzr kwenye simu au tablet (mobile user friendly) website ifanyiwe SEO kwa kutumia yoast plugin au Rank math ni vzr utumie wordpress platform maana inasaidia sana website kuwa ranked higher kwenye search engines hapa unatafuta direct customers

3.Nenda kwenye halmashauri husika ukalipie leseni ya biashara kuonyesha kuwa kampuni yako inafanya kazi kwenye halmashauri husika! ukimaliza kafungue account ya bank kwenye bank uipendayo inayoendana na jina la kampuni yako.

4.Kalipie TALA hapa inategemeana shughuli zako zitakuwa ni zipi kama ni upande wa kupandisha wageni upande wa mlima ni Dollar 2000 kwa mwaka wakati upande wa safari za porini kuna complications kidogo maana kigezo kimoja wapo unatakiwa uwe na gari la safari unalipia $500 hii ni kwa wale wenye kampuni yenye gari 1-3, hizi TALA za safari zinategemeana kwenye ulipaji wake kwa sababu ya ukubwa wa kampuni so wanaangalia idadi ya magari inayomiliki.

5. Ukishapata TALA maana yake unafanya kazi kisheria sasa, tafuta wateja kwa nguvu zote wekeza sana online huko ndiko kwenye wateja, tumia social media, attend exhibitions, hakikisha unakuwa na watu wenye uelewa watakaouza hizo itinerary.

Mambo ni mengi sana japo kwa leo acha niishie hapo, cha msingi biashara ya utalii inahitaji uwekezaji mkubwa sana, mtaji ni mkubwa inaweza katisha tamaa, lakini hakuna kukata tamaa focus kwenye lengo lako.
 
Nimefanya kazi tours kwa miaka 2 na najua in and out .Si lazima kua na magari kwenye tours na hii inakusaidia kupunguza badhi ya gharama za mainntenance cost,kuajiri dereva permanent,kodi za serekali,na vitu vingine.

Ukiweza kupata wageni ambao you just need kua na website nzuri well organised ,self explanatory, ku organise weekly and/or monthly departures (hii ndo wabongo tunashindwa kwenye marketing na hii ndo njia ya kutengeneza groups of tourists from different corners in one car or in a convoy),na ku attend tourism exhibition kama indaba,World Tourism Exhibition ya London,na ile ya Germany.Lazima upate wageni
Kwa miaka 2 kusema unajua in and out kuhusu tourism utakuwa umeteleza kuna mambo mengi sana kwenye utalii na Tanzania hii ni kubwa sana kuna mambo mengi sana mzee sema una basic knowledge tu!
 
Kwa miaka 2 kusema unajua in and out kuhusu tourism utakuwa umeteleza kuna mambo mengi sana kwenye utalii na Tanzania hii ni kubwa sana kuna mambo mengi sana mzee sema una basic knowledge tu!
Wewe mwenye intensive knowledge mbona huweki mambo hadharani?
 
Back
Top Bottom