johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,853
- 141,776
Ndege mpya ya Uganda Airline inayomilikiwa na Serikali ya Uganda leo imezindua rasmi safari zake za kwenda Mombasa Kenya kwa kile kilichoelezwa kuwa kutangaza na kuimarisha sekta ya utalii.
Msemaji wa Uganda amesema sasa ndege za shirika hilo zinamilikiwa na Serikali tofauti na hapo awali zilipokuwa chini ya sekta binafsi.
Chanzo: Citizen TV
My take: Maono ya Rais Magufuli yamewafungua macho viongozi wengi wa Afrika na sasa wanajifunza kwake.
Maendeleo hayana vyama!