utalii

  1. Midnight

    JamiiForums Tanzania Tujuzane kuhusu gharama za utalii wa ndani

    Habari wakuu. Aisee mimi Kuna kitu bado sikielewi hasa kuhusu haya masuala ya utalii wa ndani. Unakuta sehemu kiingilio cha serikali ni kidogo tu, tuseme kutembelea kivutio A ni 2000 au 2500 na kadhalika, ambapo sehemu nyingi haizidi 10000 Sasa tatizo linakuja kwa hawa waongoza watalii, Kuna...
  2. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utalii wa ndani Kenya waongeza mabilioni kwenye uchumi

    Huu ndio uzalendo wa kweli.... ===== The tourism sector rebounded last year supported by locals, as the industry pulled out of a painful two-year period since it was hit by the pandemic. The tourism sector performance report 2021 shows that the industry earnings jumped 65 percent to Sh146.51...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia kufufua utalii mahoteli, Sasa hivi yanaogelea faida. Kipindi cha Magufuli utalii ulikuwa umekufa

    Asante mama kila unachoshika kinazaa matunda bila ubabe Wala mbwembwe za eti kishindo Cha jpm tofauti mtangulizi wako ambaye kitu kidogo tu kelele nyingi. Tumeona watalii wanavyomwagika nchini na bila shaka watanzania vinana maskini wameanza kuona umuhimu wako baada ya kilazimishwa kuwa...
  4. Jesusie

    JamiiForums Tanzania Arusha yatajwa miongoni mwa majiji 10 bora duniani kwa huduma za kitalii

    Tovuti maarufu zaidi duniani ya CNN Travel imechapisha na kulitaji jiji la Arusha toka Tanzania kuwa ni miongoni mwa Majiji kumi tu ( 10 ) duniani yanayoboresha zaidi huduma za kitali mwaka baada ya mwaka, CNN-Travel imezitaja huduma hizo kuwa ni pamoja na Mwongozo au Waongoza Watalii pamoja...
  5. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kumwelewa huyu Muingereza

    Habari za leo, nilikuwa napiga story na mwingereza mmoja ambaye amewekeza kwenye sekta ya utalii hapa nchini hususani katika hoteli za kitalii, tulizungumza mengi kuhusu utalii nchini Tanzania. Nilipo muuliza kuhusu namna alivyojipanga kupokea lundo la watalii baada ya filamu ya Royal Tour...
  6. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Tanzania kinara wa Utalii Afrika 2022

    TheGrio ya Marekani waitaja nchi ya Tanzania kuwa miongoni mwanchi tano zinazofaa zaidi kwa utalii 2022 barani Africa wakati wa kipindi cha baridi, TheGrio, Chaneli maarufu zaidi nchi Marekani wakitumia Mbuga ya Serengeti, bichi mbalimbali visiwani Zanzibar na makumbusho...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Tanzania na Kenya zakubaliana kushirikiana katika mapambano dhidi ya Virusi vya Corona

    Tanzania na Kenya zimekubaliana masuala mbalimbali ikiwemo kuimarisha Mpaka, kushirikiana katika mapambano dhidi ya Virusi vya Corona na kushirikiana kwenye Sekta ya Utalii. Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza hayo Ikulu Dar es Salaam baada ya Utiaji Saini wa Hati za Makubaliano na Ushirikiano...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kenya wamewekeza kwenye utalii, design za hoteli kwenye mbuga na matangazo yao yanaeleweka

  9. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Rais Samia yuko kazini kuiokoa Sekta ya Utalii baada ya UVIKO 19

    Utalii ni kati ya sekta muhimu kwenye uchumi wa nchi yetu. Sisi hapa Arusha ukiathiri utalii ni kama kuchafua vyombo vyetui vya vyakula, hii sekta ndio inatulisha kwa kiasi kikubwa. lakini pia sehemu kubwa ya fedha za kigeni tunazipata kwenye sekta hiyo. Hata hivyo kati ya sekata zilizoathiriwa...
  10. May Day

    JamiiForums Tanzania Kuanzishwe sajili za muda, ziitwe "Holiday signing" au "Sajili za Utalii" kwa Wachezaji Maarufu Duniani.

    Badala ya kusubiri Wachezaji wakishaacha kucheza na kupoteza umaarufu ndio Waje kama Mbalozi wa bidhaa au kampeni fulani, tufike mahali kukawa na sajili za muda ambapo Wachezaji Maarufu na wenye Mashabiki wengi Ulimwenguni kote wataweza kwenda kucheza popote pale Duniani akijiridhisha kwamba ana...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Safari za Rais Samia nje ya nchi ziwe za kimkakati zaidi kuhusu masuala ya Utalii

    Awali ya yote Mimi ni mojawapo ya Kijana ambaye nafarijika kuona Mhe.Rais wetu akisafiri nje za Nchi na kufungua Fursa za mambo mengi ikiwemo kuitangaza, Nchi yetu kimataifa pamoja na kuvutia wawekezaji wengi kuja Tanzania pia. Lakini Kuna kitu nakiona kama hakipo sawa,kwenye suala la Utalii...
  12. hp4510

    JamiiForums Tanzania Mimi kama mdau wa utalii nina ombi Kwa TANAPA

    Wakuu habari za weekend, Last week nilienda kupumzika mbugani mikumi, na nikalala kwenye bandas za Tanapa. Mambo ambayo nimejionea Aisee ni mambo ya aibu Sana hasa tukijua kuwa Tanapa inakusanya ela nyingi Sana kutoka kwa watalii. Bandas zote zina matatizo, na hata mhusika mwenyewe anakwambia...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu, Coplo Hafidh Abdallah Mohamed atoa ushahidi wake, kesi kuendelea Jumatatu 01 November 2021

    Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea leo katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo upande wa mashitaka utaleta shahidi mwingine. Fuatilia hapa kujua kitakachojiri katika mchakato mzima wa kesi hiyo kwa siku ya leo 29/10/2021 UPDATES Mpaka sasa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Pongezi: Zanzibar inaenda vizuri kwenye utalii

    Kwa miaka yote nilikuwa nikitaka kwenda Tanzania kwa KLM ilikuwa lazima ipitie KIA kushusha wageni lakini kwa mara ya kwanza ndege yangu itatua Zanzibar halafu inaenda Dar. KLM siku moja wanaenda Zanzibar na siku inayofuata wanaenda KIA. Lakini hoteli za Zanzibar nimeona zimepanda bei sana...
  15. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Serikali inatoa msaada gani kwa sekta ya utalii ambayo imeathiriwa zaidi na COVID-19

    Ni ukweli tu kuwa sector ya Utalii ambayo kwa asilimia kubwa inaendesha na private sector imeadhirika kuliko idara zote kipindi hiki cha corona Naomba kujuzwa Serikali inatoa mchango gani kwa hiyo sector na waadhirika wake kwani zaidi ya nusu wamekosa ajira?
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Maliasili na Utalii, Iko wapi nguvu yenu katika kanda za Kati, Nyanda za Juu kusini, Kusini na Mashariki?

    Leo napenda kuwauliza Wizara ya Maliasili ya Utalii; 1. Kumekuwa na kupungua Wanyama Mbuga za Mikumi na Saadani kwa kiwango cha kutisha! Leo hii ukienda Hifadhi ya Saadani unaweza tembea saa zima bila kuona mnyama yeyote, hali hii ipo Mikumi pia ambapo imekuwa na hali kwa kasi ya kutisha sasa...
  17. msani

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vita ya Jirani na Utalii Tanzania

    VITA YA JIRANI NA UTALII TANZANIA Lazima tuingie gharama ili kuitangaza Tanzania na kuwavutia watalii Tanzania. Pamoja nan chi yetu kuwa na vivutio vingi vya utalii, yani vingi sana na nikivitaja hapa nitaishia kuvitaja tu hadi kuchoka kuandika, lakini ukweli ni kwamba tuna idadi ndogo ya...
  18. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Yanga kutangaza utalii kwenye jezi yao kimataifa

    Klabu ya Yanga imeamua kutangaza utalii katika jezi zao katika mechi za kimataifa! Wamefikia makubaliano hayo na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia waziri wa wizara hiyo Dr. Damas Ndumbaro. Yanga itatangaza bure Mlima Kilimanjaro pamoja na Visiwa vya marashi na karafuu (Zanzibar). "Tumeamu...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Makala ya Tanzania itaongeza utalii

    Nimeshiriki kuandaa makala ya Tanzania itakayorushwa katika kipindi maarufu Duniani cha Royal Tour. Ni matarajio yangu kuwa makala hii itasaidia kuitangaza vizuri nchi yetu, kuinua utalii, kuvutia wafanyabiashara na wawekezaji na kuondoa upotoshaji wa makusudi kuhusu Tanzania.
  20. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kwenye wilaya yako kuna maeneo gani mazuri na vivutio gani kwa utalii wa ndani?

    Utalii wa ndani siyo mpaka kwenda Serengeti au kupanda mlima kilimanjaro. Unaweza kutoka Dar ukaenda Bagamoyo kuangalia majengo, ni utalii. Unaweza enda Pugu hill, ni utalii. Siku hizi watu binafsi wameanza kuwekeza na kuboresha maeneo haya. Hii inatengeneza ajira na halmashauri zinapata pesa...
Back
Top Bottom