Je, ndiyo kusema kuwa kwa hili Bodi ya Utalii na Serikali imefanikiwa au ni jambo la Kawaida ila Ushamba unatusumbua tu?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Kocha Ole Gunnar Solskjaer atumia mfano wa Mlima Kilimanjaro kuhamasisha wachezaji wa Manchester United.

"Imefanyika kazi kubwa na uvumilivu kufika hapa tulipo. Lakini ni kama kupanda Mlima Kilimanjaro au Everest hadi kileleni kisha ukakaa na kupumzika. Unajua ni nini kitatokea?-utaganda na kufa"-Ole Gunnar Solskjaer, Kocha wa Manchester United.

Kumbe hata Mimi All - Rounder katika Mazungumzo yangu ya kawaida nikiisifia tu Beach Kubwa na pendwa ya Copa Cabana Wabrazili wafurahie?

Taarifa: HabariLeo
 
Back
Top Bottom