utajiri

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nikipata utajiri nitakuwa katili sitakuwa na huruma

    Siku Mungu akinibariki na utajiri nitaufariji moyo wangu kwa kuwa katili na muonevu. Watu wanadharau sana. Nikinunua gari nawafuta hukohuko kwa wapita njia nakuwagonga na side mirror viunoni mwao. Nitakuwa na nyodo na dharau iliyopitiliza. Na nitakuwa mbabe na kuonyesha jeuri ya, pesa...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli asilimia kubwa ya watu mashuhuri na matajiri kwenye hii dunia, utajiri wao sio wa halali au umetokana na mambo ya kichawi au Masonic?

    Bhasi habari za wakati huu wana JF wote poleni na hongera katika kuendelea kupambana na hizi changamoto za haya maisha. Bhasi bhana leo nikiwa naendelea na mapumziko ya sikukuu hiii ya Christmas. Huku nikiwa nina uchovu wa ajabu nikasema siku ya leo sio mbaya nikatumia na wadau wangu wa hapa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kama Diamond anashindwa kumsitiri baba yake kwenye ukata utajiri wake una faida gani?

    Mimi Kama mzazi naumizwa kuona watu wamejaaliwa Mali lakini hizo fedha haziwezi kusaidia familia yake. Kama uwezi kusaidia familia yako unaondikaje kusaidia familia za wengine? Naomba niwakumbushe vijana; sote tuna dhambi na hakuna namna tutakwepa ilo. Wanaume wengi wametelekeza watoto na...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania "Umoja wa ndani, na Umoja wa Nje" Nguvu, uweza na Utajiri

    "UMOJA WA NDANI, NA UMOJA WA NJE" NI NGUVU, UWEZA NA UTAJIRI. Kwa Mkono wa, Robert Heriel Jumbe hii isomwe na wapenda hekima, wenye kutafuta ufahamu, iwe taa kwao wapendao heri, lakini iwe giza kwao wenye hila na njama, hao wenye kudhulumu. Leo Taikon nimekuja na somo muhimu na lalazima kwao...
  5. Millionaire Mindset

    JamiiForums Tanzania Karibu kwenye njia ya mwendokasi kuelekea utajiri na mafanikio, huku ni spidi kali kama unaogopa basi shika

    Njia ya mwendokasi ni njia spidi kali, kuingia njia hii lazima kwanza uachane na hofu, ukihofu mara nyingi utakanyaga pedali ya breki bila sababu, na spidi yako itapungua na utapitwa na kuachwa nyuma. Njia hii ina changamoto nyingi, na ndiyo maana watu wengi wanaamua kupita kwenye njia ya mguu...
  6. Millionaire Mindset

    JamiiForums Tanzania Tumia vigezo hivi vitano (5) kuichuja njia ya polepole na nyinginezo za kuelekea kwenye mafanikio yako na utajiri

    KIGEZO #1: MAHITAJI YA NJIA YA FOLENI Ukisikiliza swaga za watu wa njia ya foleni ni kama hizi; “Nikasomee kitu gani, kitakachonifanya nipate mshahara mkubwa?”, “Hivi ni kampuni gani nikaajiriwe, inayolipa vizuri kuliko nyingine?”, “Nikiajiriwa serikalini itakuwa poa sana, Nitakuwa na uhakika wa...
  7. Millionaire Mindset

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane; njia ya foleni kuelekea kwenye mafanikio na utajiri haina “future” kwa watoto wetu wala kizazi kijacho!

    Unafikiri ninapozungumzia habari za kuondoka kwenye njia ya foleni na kuhamia mwendokasi ninazungumzia ubinafsi wako na kupenda sifa kwako? Eti umesoma, una cheo, mtaa mzima wanakujua, kampuni yote wewe ndo wewe, na una vyeti kama vyote! Ninazungumzia habari za watoto wako na mamilioni ya kizazi...
  8. Millionaire Mindset

    JamiiForums Tanzania Usikae sana kwenye njia ya foleni katika safari ya kuelekea mafanikio au utajiri, utachelewa!

    NJIA YA FOLENI (POLE POLE NDIYO MWENDO) Njia ya foleni ni njia ya wazee wa “polepole ndiyo mwendo”, wao huamini kuwa ili kuelekea mafanikio au umilionea inakulazimu kuwa na mvumilivu sana na mwenye subira. Watu hawa wana maarifa na wengi wao wamesoma sana, kiasi kwamba wanashindwa kujichunguza...
  9. Millionaire Mindset

    JamiiForums Tanzania Usitembee kwa mguu kuelekea kwenye utajiri au mafanikio utakwama!

    Njia ya watembea kwa mguu kuielekea safari ya mafanikio na ukwasi Watembea kwa mguu watachukua muda mrefu sana kufika mwisho wa safari yao. Umbali kati ya Mwanza mpaka Dar ni kilometa karibu 853. Kwa umbali huu, mwenda kwa miguu anaweza kutumia zaidi ya masaa 420, sawa na siku 17; yaani hapo...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Utajiri ni Siri, na Siri ndio Utajiri wenyewe

    UTAJIRI NI SIRI, NA SIRI NDIO UTAJIRI WENYEWE Kwa Mkono wa, Robert Heriel Kabla hujaanza kutafuta utajiri, basi kwanza kabisa jifunze kuwa na Siri. Huwezi kutafuta utajiri kama huna siri, na kamwe huwezi pata utajiri kama wewe sio mtu wa Siri. Huwezi pewa nafasi nyeti, nafasi kubwa kama wewe...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Utumiaji wa Rasilimali za Asili kwa ufanisi ndio mbinu inayoleta utajiri ndani ya nchi

    Habari za Leo wa ungwana. Natamani sana taifa langu liwe tajiri. Kuna msemo unasema kwamba utajiri unapatikana ardhini. Huu msemo ni wa kweli kabisa. Kwasababu ndani ya ardhi ndio kuna mali, kuna madini, kuna maji, kuna mafuta, kuna gesi, kuna makaa ya mawe kuna misitu, kuna miti, kuna...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hifadhi ya Selous ina utajiri wa madini unaoweza kuwaondoa Watanzania kwenye ufukara na umaskini

    Habarini wakuu! Leo ngoja niandike kitu ambacho huenda kitaamsha ari ya viongozi wetu. Binafsi mimi ni mwenyeji wa mkoa wa Ruvuma(Myao) ila nimekulia na kuzaliwa Liwale (Lindi). Ulinzi wa hifadhi ile hasa kipindi cha masika ulikuwa duni. Hii ilisababishwa na poor infrastructure (barabara)...
  13. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe ilikuwa na vikwazo vya kiuchumi lakini ilikuwa na bilionea kama Ginimbi

    Milionea wa Zimbabwe atazikwa na utajiri wake na watakaohudhuria kuvalia mavazi meupe. Marafiki wa milionea raia wa Zimbwabwe, Genius Kadungure aliyejulikana kama Ginimbi kwa muktadha wa kijamii, wamesema atazikwa na gunia lilojaa Dola, vyombo vya habari nchini humo vimeripoti...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.

    Sitaandika mengi Leo, Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S. Ila yangu ni haya, Tusimsikilize U. S kwa lolote kwani U. S hajawai kuwa mtu mwema. Huwa ni mtu wa ku take advantage nyakati za vita na nyakati za uchaguzi. Rejea vita ya kwanza ya...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani wamkumbuka Mwl. Nyerere. Wasema "maendeleo ni watu sio vitu"

    Ubalozi wa Marekani umeungana na Watanzania wote katika kumkumbuka ya kumuenzi Baba wa Taifa. Kwenye statement waliyoitoa hivi leo tarehe 14/10/2020 ubalozi huo umesisitiza kuwa Kwa karibu miaka 60 Mwalimu alituelezea imani yake kuwa maendeleo endelevu yanamaanisha kuwekeza katika watu...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Fahamu utajiri wa kudumu uliojificha kwenye zao la Parachichi Mkoani Njombe

    Habari ya majukumu wakuu. Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Maparachichi ni matunda bustanini na mashambani. Maparachichi yana matumizi mengi yenye faida kubwa kwa wakulima na wadau wengine. Maparachichi ni chakula chenye viini lishe bora kama vitamini {A, B2, C, D, E, K} na...
  17. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tabasamu kutumia nusu ya utajiri wake kuwahudumia wana Sengerema

    Mgombea ubunge wa jimbo la Sengerema alivyokuwa kwenye mkutano katika kijiji cha Mchangani kasema changamoto zingine atazimaliza kwa pesa yake mwenyewe, kwa kuanzia atatoa mifuko 200 ya saruji kumalizia ujenzi wa sekondari ili januari watoto waanze kusoma. Kasema kwa sasa katingwa na kampeni...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ili Kupambana na 'Umasikini' Serikali ya Tanzania haiwezi 'Kutulazimisha' Watanzania wote tuutumie 'Ubini' wa 'Laizer' ambao una 'Nyota' ya Utajiri?

    Mshindi wa Jackpot ya SportPesa, Lilian Ngitoria Laizer, amekabidhiwa kitita chake kiasi cha Sh. 267,800,060 na Kampuni ya Michezo na Burudani ya SportPesa Tanzania, huku akieleza mipango yake ni kufungua biashara kubwa. Nipashe Kuna Mtu aliwahi kuniambia huko zamani kuwa Pesa, Elimu na...
  19. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 SAU: Tukishinda deni la Taifa halitagawanywa kwa wananchi bali wananchi watagawiwa utajiri wa nchi deni ni la viongozi

    Kiukweli uchaguzi wa mwaka huu tutasikia mengi. Mgombea urais wa SAU Mh Mutameghwa amesema endapo atachaguliwa basi deni la taifa halitagawanywa kwa wananchi bali viongozi na wananchi watagawiwa utajiri wa nchi. Pia vivuko kama pantoni havitatoza nauli itakuwa bure kwa sababu vivuko ni sehemu...
  20. Kiburi si uungwana

    JamiiForums Tanzania Kuku ni utajiri ulio ndani ya sayansi na utaalamu na siyo mazoea

    Kuku ni mingoni mwa wanyama wanaopendwa sana duniani kwasababu huliwa na karibu watu wote,huzaliana kwa wingi, huishi popote na hula chochote. Kwasababu hizo kuku ndiyo ndege pekee aliyeenea kwa wingi duniani na kuliwa sana kuliko mnyama yoyote. kwa takwimu za sasa za dunia ni kuwa mahitaji ya...
Back
Top Bottom