Nikipata utajiri nitakuwa katili sitakuwa na huruma

Mufti Lion

JF-Expert Member
Jul 25, 2013
263
500
Siku Mungu akinibariki na utajiri nitaufariji moyo wangu kwa kuwa katili na muonevu. Watu wanadharau sana. Nikinunua gari nawafuta hukohuko kwa wapita njia nakuwagonga na side mirror viunoni mwao.

Nitakuwa na nyodo na dharau iliyopitiliza. Na nitakuwa mbabe na kuonyesha jeuri ya, pesa.

Maumivu ninayo sasa hivi yani na hasira nataka kulipiza kisasi kwa wote waliniumiza kunidharau na kunitukana.

Hakuna yeyote ataingia kwenye mjengo wangu na hakuna yeyote ataingia kwenye V8 yangu.

Nitapaki gari langu mbele zao nakukaa kwenye bonet nan shampein kibao
 
Jasmoni Tegga

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
3,337
2,000
Akili kiduchu huondoa maarifa. Wanasemaga mtu aliyekosa malezi bora ya upendo anaweza kutafuta complements & appreciation hata kwa kusema na kutenda mambo hatari, hovyo, hatari na ya aibu ili tu aongeze undefined self-esteem na prestige yake. Pole sana. Dunia hadaa ulimwengu shujaa!
 
Tape measure

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,494
2,000
Shetani ana nguvu pia ipo siku atajiinua by the way utajiri ni unyonyaji hiyo ni siri karibu chamani not easy it took long hours of trying and practicing finaly you may make it happen however everything is like a game nothing absolute
 
Eminem jr

JF-Expert Member
May 21, 2018
1,969
2,000
kwa hayo matendo unayotarajia kuyafanya nadhan hata shetani anakuangalia afu anasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
8,556
2,000
Siku Mungu akinibariki na utajiri nitaufariji moyo wangu kwa kuwa katili na muonevu. Watu wanadharau sana. Nikinunua gari nawafuta hukohuko kwa wapita njia nakuwagonga na side mirror viunoni mwao.

Nitakuwa na nyodo na dharau iliyopitiliza. Na nitakuwa mbabe na kuonyesha jeuri ya, pesa.

Maumivu ninayo sasa hivi yani na hasira nataka kulipiza kisasi kwa wote waliniumiza kunidharau na kunitukana.

Hakuna yeyote ataingia kwenye mjengo wangu na hakuna yeyote ataingia kwenye V8 yangu.

Nitapaki gari langu mbele zao nakukaa kwenye bonet nan shampein kibao
Kwa nini usiwagonge wenye magari, bali watembea mguu? Mwenyezi Mungu akujalie upate utajiri na uutumie kwa nia njema siyo ovu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom